Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii ngoma acha mashoga wachezee sharubu za Putin shauri yao.
View attachment 2664541

[emoji635] Putin First @IntelRepublic

Putin announces new Sarmat intercontinental ballistic missiles (ICBM) will soon be ready for deployment.

Sarmat ICBM weighs 100 tonnes (for comparison, the US made LGM-30 Minuteman is 35 tonnes) with a range of 18,000km.

This allows it to carry around 15 warheads, up to 750kt. (For comparison - the bomb US dropped on Hiroshima was 15kt.) This would be enough to wipe out a country the size of France. It can also carry hypersonic missiles, rendering most missile defence systems ineffective.
Mwaka huu tutaona mengi.
 
Hiki kifaru Cha Mrusi si Cha dunia hii. Pamoja na kukutana na vilipuzi (mines) na kupigwa mabomu kibaao ,lakini kilikuwa kinaendelea kupiga kazi kama Kawa.

View attachment 2664452
The Russian T-90M tank, having received several hits and explosions on mines, continues to fire and advance on the Bandera fortification.

#source
Join Slavyangrad chat. Your opinion matters.

@Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community

Hii mashine mbona ni ya hatari sana aiseee.

Yaani haisikii landmines kabisa.
 
WASHINGTON (Sputnik) - Secretary of State Antony Blinken likely sought to stabilize relations with Beijing because Washington has begun to feel pressure from China's withdrawal of support for the dollar and the enormous US government deficit, analysts told Sputnik.
From June 18-19, Blinken visited China for talks with President Xi
 
Kamikaze drones
FzH3H3AX0AMGudT.jpg
 
Counter-offensive inaendeleaje?
Leo rais wao Elensky kaishawaambia kina @@T14Armata kwamba matokeo walio yatarajia kwenye kaunta offensive yameenda ndivyo sivyo ila watajitahidi kupambana
Mjinga Elensky asichokijua ni kwamba sisi wengine tulijua kua UKRAINE [emoji1255] hatoboi kwa kaunta offensive
Nb RUSSIA [emoji635] anashikilia asilimia 20 ya ardhi ya UKRAINE [emoji1255]
 
Hizi Lancet ni habari nyingine

Russian Kamikazi Lancet drones appear to be easily destroying all of the NATO equipment that we are sending to Ukraine.

This is what happened to billions of $$ in equipment sent.

[emoji344]
Kuna mchambuzi fulani hapa wakati zile tb drone za TURKEY [emoji1250] zinauwasha moto alisema RUSSIA [emoji635] sio lolote kwenye engo ya drones
Hii SMO imetoka mbali Sana tunasema acha iendeleee mpaka UKRAINE [emoji1255] ipo tee maana leo KIVU imekaa kimyaaaa haina umeme kama nchi fulani pale East Africa [emoji288]
 
Russia alitaadhalisha kwamba ataanza kupiga zile decision making centres. Ukraine wakadhani ni utani.

Akatoa mifano mitatu TU!!:

1. Akapiga decision centre ya NATO iliyopo 80m chini ya ardhi (NATO officers wakafia humo)
2. Akapiga Military Intelligence HQs - Akamuua yule mkuu wa MI (wanasema amefia German wakati akipata matibabu)
3. Wakapiga Military Planning Centre - Alikuwapo Mkuu wa Majeshi, wakamuulia humo na mpaka sasa hajaonekana tena.

Sasa hivi viongozi wote waliobakia wanaishi kama digidigi. Muda mwingi wapo Poland.
Na Poland wakijitia ujuaji wa kuruhusu armed F-16 kuruka kutoka Poland na kuja kushambulia wanajeshi na zana za kijeshi za Urusi nchini Urusi au Ukraine basi Wakuu wa Poland wakae wakijua kwamba watapigwa kipigo kitakatifu bila ya kujali sijui article gani ya NATO inayo weza kuchukuliwa - Poland wanataka kujitafutia balaa ya bure - kwa kupenda penda kwao masifa, hasa unapo tokea katika Uongozi wa Merikani.
 
Back
Top Bottom