Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

.
1687340918457.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji779]️Russia has begun creating defensive lines near Perekop, apparently preparing for a scenario where the Ukrainian military tries to enter Crimea, the British Intelligence reported.

1687341138223.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
UK Unveils $3bn Backing for Ukraine Reconstruction

Downing Street said more than 400 companies from 38 countries with a combined annual revenue of more than $1.6 trillion had promised to back Ukraine’s recovery and reconstruction.

Read more on our website.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sisi tuna deal na kauli za babako putin halafu akizidiwa tunazileta hapa., kwa mfano jana Defence minister wa Russia amesema kwamba Ukraine, US na Britain wana mpango wa kushambulia Crimea kwa Himars, Shadow weapon akasema jambo ambalo wakijaribu itakuwa ni full escalation kwa nchi ya uengereza na US kuhusika hivyo atajibu mapigo kwenye hizo nchi.

Sasa subiri wewe uone namna Crimea itakavyoshambuliwa halafu atakavyoufyata kushambulia marekani au uengereza,

Mimi sijiskii fahari kuwa hapa jf na deal na vyombo vikubwa habari vya ulimwengu sio huu mtandao wa Africa mashariki sana huko kwenu gongolamboto, shwain
Mbna umerukia kwingine? Umeambiwa uweke ushahidi wa Putin kusema kuwa ataisambaratisha Ukraine kwa siku 3, weka kwanza huo ushahidi ndo tujadili hiyo hoja nyingine!
 
Sisi tuna deal na kauli za babako putin halafu akizidiwa tunazileta hapa., kwa mfano jana Defence minister wa Russia amesema kwamba Ukraine, US na Britain wana mpango wa kushambulia Crimea kwa Himars, Shadow weapon akasema jambo ambalo wakijaribu itakuwa ni full escalation kwa nchi ya uengereza na US kuhusika hivyo atajibu mapigo kwenye hizo nchi.

Sasa subiri wewe uone namna Crimea itakavyoshambuliwa halafu atakavyoufyata kushambulia marekani au uengereza,

Mimi sijiskii fahari kuwa hapa jf na deal na vyombo vikubwa habari vya ulimwengu sio huu mtandao wa Africa mashariki sana huko kwenu gongolamboto, shwain
Kujipa moyo ni haki yako. Nikukumbushe kidogo, muirani alivyojibu mapigo kwa kushambuia base zake zilizopo Iraq, marekani ilifanya nini? kumbuka huyo muirani ni mtoto wa mwisho wa mrusi
 
Ata sikuelewi, Iran unayoizungumzia ndio kwanza anaipigia magoti US kuondolewa vikwazo
 
Sisi tuna deal na kauli za babako putin halafu akizidiwa tunazileta hapa., kwa mfano jana Defence minister wa Russia amesema kwamba Ukraine, US na Britain wana mpango wa kushambulia Crimea kwa Himars, Shadow weapon akasema jambo ambalo wakijaribu itakuwa ni full escalation kwa nchi ya uengereza na US kuhusika hivyo atajibu mapigo kwenye hizo nchi.

Sasa subiri wewe uone namna Crimea itakavyoshambuliwa halafu atakavyoufyata kushambulia marekani au uengereza,

Mimi sijiskii fahari kuwa hapa jf na deal na vyombo vikubwa habari vya ulimwengu sio huu mtandao wa Africa mashariki sana huko kwenu gongolamboto, shwain
Mbona unarukaruka,weka hapa link ya Putin akisema SMO itachukua siku 3!
Else na wewe unaingia kwenyd kundi lilelile la wapiga porojo ambao ni mwaka sasa wameshindwa kuweka hiyo link!
 
Sisi tuna deal na kauli za babako putin halafu akizidiwa tunazileta hapa., kwa mfano jana Defence minister wa Russia amesema kwamba Ukraine, US na Britain wana mpango wa kushambulia Crimea kwa Himars, Shadow weapon akasema jambo ambalo wakijaribu itakuwa ni full escalation kwa nchi ya uengereza na US kuhusika hivyo atajibu mapigo kwenye hizo nchi.

Sasa subiri wewe uone namna Crimea itakavyoshambuliwa halafu atakavyoufyata kushambulia marekani au uengereza,

Mimi sijiskii fahari kuwa hapa jf na deal na vyombo vikubwa habari vya ulimwengu sio huu mtandao wa Africa mashariki sana huko kwenu gongolamboto, shwain
Hebu weka link inayo support haya maneno yako...ni wapi kiongozi wa Russia alisema kwamba Crimea ikishambuliwa atazipiga US na UK...
kumbe hata Lugha ya Kiingereza nalo ni tatizo kwako...??...tukusaidiaje sasa ww kijana ...!!!
Unaelewa maana ya 'Decission Centres'..??
Hebu nenda kaperuz tena maneno aliyoyatamka huyo RDM....kwa umakini na Kamusi pembeni halafu urudi tena hapa...!!!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
IN VIDEO: ‘IN UKRAINE, THERE ARE QUEUES AT MILITARY ENLISTMENT OFFICES’ – ZELENSKY​

Tazama video kwenye link hapa Chini muone msululu wa wanaojitolea kujiunga na jeshi la Ukraine. Hii ni taarifa ya tarehe 19.06.2023
View attachment 2664108

Duh jamaa wanalazimishwa [emoji23][emoji23]kuna moja nimeona wanaulizwa kwann mnatishia watu nchi iko vitan wao wako kwenye mall wanaleta mikwara
 
Sisi tuna deal na kauli za babako putin halafu akizidiwa tunazileta hapa., kwa mfano jana Defence minister wa Russia amesema kwamba Ukraine, US na Britain wana mpango wa kushambulia Crimea kwa Himars, Shadow weapon akasema jambo ambalo wakijaribu itakuwa ni full escalation kwa nchi ya uengereza na US kuhusika hivyo atajibu mapigo kwenye hizo nchi.

Sasa subiri wewe uone namna Crimea itakavyoshambuliwa halafu atakavyoufyata kushambulia marekani au uengereza,

Mimi sijiskii fahari kuwa hapa jf na deal na vyombo vikubwa habari vya ulimwengu sio huu mtandao wa Africa mashariki sana huko kwenu gongolamboto, shwain

Asa mbona hadi u member unao ?kawe member wa hivyo vyombo vikubwa duniani sie tuachie jf yetu ya gongolamboto...unaponda kitu unachotomia we upinde kweli [emoji23][emoji23]c ukawe member wa aljazerra na cnn uko
 
Wajerumani wamebaki hoi Kwa teknolojia mpya ya mrusi wa kugeuza vifaru kuwa droni za kujitoa mhanga na kuangamiza kabisa maadui zao.
View attachment 2663989

The Russians are using kamikaze tanks!

The Germans at Bild are outraged. These Russians have completely lost their minds. They make drones out of captured tanks and send them to enemy positions without getting out of the trench, to inflict damage, and, well, to mine their territory in the process.

The Wall Street Journal writes: This comes at a time when Kiev is forced to suspend its counteroffensive in the south of the country due to heavy losses of Western armored vehicles.
Naomba T14 Armata , HIMARS na kp kipanya44 mshirikiane kudadavua hii strategy mpya ya Russia. Kuhusu posho baada ya kazi, wala hata msijali. Mtapewa tanker 1 la mafuta na gesi kila mmoja.
 
Ata sikuelewi, Iran unayoizungumzia ndio kwanza anaipigia magoti US kuondolewa vikwazo

Iran anataka pesa zake zirudishwe ambazo zimetapeliwa na US na shoga zake. Iran licha ya vikwazo ameweka rekodi kwenye uuzaji wa Mafuta. Huyuhuyu Iran anaidai Tanzania trillion 1+, Iran hana muda na US ila hao Marekani ndo wanahangaika na Iran.
 
Leo mamluki wa kimarekani wamekutana na mtiti mkali

wa warusi mpaka wakakimbilia kindergarten ha ha ha ...!

🇺🇸 American mercenaries in Donbass.

A terrified group of AFU foreign mercs blunder there way through grey zone ruins under heavy shelling. At the end they take refuge in a kindergarten (an AFU favourite).

Highlights:

[explosion] "F**k!"
[more explosions] "Everybody lay down!"
[explosions continue] "We don't have time!"

Join Slavyangrad chat. Your opinion matters.

@Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
 
Back
Top Bottom