Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Wameanza kubadili majina ya makampuni na sio mda mrefu kipanya anakuja Russia kwa jina lingine ni suala la mda tu
Volkswagen Group Rus to continue work in Russia under new name: Volkswagen Group Rus to continue work in Russia under new name
Mzee alisema wameomba kurudi ila now watawadhibiti tabia kama hzii zisijirudie. Watu hawajui kwamba Russia ndo ina matajiri wanaongoza kununua magari ya kitajiri, hawa ndo wanunuzi wakubwa.
