LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Sasa maisha ni vita tu au unahisi vikwazo vilivyowekwa ni vya kivita. Vikwazo vya kiuchumi, North Korea hana shobo na mtu na hayuko UN wala huwa hatoi tamko lolote lisilomuhusu. Usimletee kiherehere, vita wapigane Warusi alafu umtaje North Korea
Hawa ndiyo Pro Russia,ukiwaelemea kwenye swala la Russia,wanakimbilia kukutajia China na N.Korea
 
Ukraine ishasema inapigana defensive war na silaha zote inazopewa ni defensive wala sio offensive. Ukraine haijaingia kuvamia Urusi wala haina uwezo huo.

Urusi mpaka sasa wana mji mmoja mkubwa wa Kharkiv ambao uko mpakani nao. Hapo watakuja wanasogea taratibu kwa sababu mji upo mpakani wanavusha supplies wanapiga kwa 'kuambukiza'. Hawana uwezo wa kupiga kwa stretching mpaka sasa, hawana flexibility.

Kwenye ramani: K- Kharkiv mpakani na Russia
C- mashambulizi kutoka Crimea
D- Donetsk na Luhansk regions
Hapo Kaskazini kutokea Belarus ndio wanapigana kuichukua Kyiv ambayo iko karibu tu na Belarus ila ndio concentration ya Ukraine ilipo.

Bila Russia kutumia Belarus sasa hivi tungekuwa tunawacheka. Haki ya Mungu hili sio jeshi la kukutana na vichaa kama PolandView attachment 2132819
Hhahaha..

Mwalimu Nyerere alisemaga upumbavu ni kipaji kuna watu wanazaliwa nacho..

Samahani kama nakukosea Hauna akili mkuu, wewe ni mpumbavu , shuleni watu kama nyie tulikuwa tunawaita shabiki mandazi..

Yani mtu kama wewe ukiwa shabiki wa Yanga unatasema Yanga ni bora kuliko Man city..
 
Russia ikifungiwa SWIFT watafanyaje. Watalipua ofisi za IMF au mabenki makubwa duniani?

Aeroflot shirika la ndege kubwa la serikali la Urusi limepigwa air blockade na nchi 9 mpaka jana usiku, sijui leo zimefika ngapi. Watafanyaje au kwamba Russian Airforce itaenda kulipua airports za hizo nchi?

Makampuni yamezuiwa kuuza baadhi ya teknolojia muhimu isipokuwa za afya na za kuongozea ndege. Russia watavamia makampuni? Sasa ngoja uone kama viwanda vyao vitafanya kazi, mpaka leo hawana gas turbine engines za uhakika kutengeneza warships tangu wavamie Ukraine. Wanaishia kutengeneza corvettes tu.

Huyo China unayemsema ni yule aliyekimbia kikao cha UNSC juzi ili asipige kura ya hapana kwa Russian invasion. Siku yoyote ukisikia superpower hakuwepo kwenye kamati yoyote ya UN ujue anasikilizia upepo na mara nyingi utakuta anajua kura yake haitobadilisha chochote ila ana hasara kwa kila chaguo atalofanya. Ili kukwepa lawama anakuwa absent, ile sio ndoa kwamba Bwana Harusi kafiwa kwahiyo tuhaihirishe, ile ni uwakilishi wa nchi huwezi sema wawakilishi wote walikuwa na dharula
😃😃😃 wewe unafikiri zaidi ya Russia
 
Mkuu ni ile ya kituruki?
Kwangu hii ni kati ya Drone ya mashambulizi bora kabisa kuwahi kutengenezwa duniani.


Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Achana na Waturuki wale watu nimewanyooshea mikono kwa kupambana na teknolojia. Sasa hiyo ishatumika ila kuna nyingine mpya inaitwa Akinci waliijaribu mwaka jana ikakaa angani masaa 31 inazunguka. Kuna nyingine inaitwa Aksungur hii inakaa angani masaa 50 bila kutua wala kujaza mafuta. Turkey ni drone superpower anaizidi China na Urusi. Ila hajaifikia Israel
 
Haya sasa baba wa vita na mwanzilishi wa WW1 na WW2 German kasema anaingia kumsaidia Ukraine.
Putin atashindwa na kuanguka vibaya,asingepeleka jeshi.Hawa ulaya na wa magharibi huko wapo very strategic. Unaambiwa kwa sasa majeshi ya Urusi yanakabiliwa na upinzani mkaliiii.

Na Germany anapeleka vifaa vya kupiga ndege na kuua vifaru.
 
Unaongea kama kaka VP unamjua vizuri sana, ila nikutoe wasi wasi baada ya kumtwanga kisawasawa huyu fala na kinchi chake uchwara hiki tutakaa meza moja na tutafunguliwa toka vikwazoni. Mda huu mtuache kwanza kwani hatuna mda wa kusikiliza upuuzi wenu,mwacheni kaka aonyeshe njia iliyonyooka kwa makengeza
Tukuache wewe na nani? Ukute hujui hata ubalozi wa Urusi ulipo hapa Tanzania. Unaleta mambo ya mpira ya "sisi Man U tumemnunua XXX"
 
⚡Belarus President Lukashenko: "They (the Russians) are sitting in Gomel and waiting. If the Ukrainians come, there will be talks. If not, as President Putin told me yesterday, what can we do, it's their choice"

RT
Mkuu ikiwezekana tuletee na updates kutoka sources nyingine,hii TBC ya Russia na habari zake tunazijua zitakuwa zinaegemea upande upi.
 
Hhahaha..

Mwalimu Nyerere alisemaga upumbavu ni kipaji kuna watu wanazaliwa nacho..

Samahani kama nakukosea Hauna akili mkuu, wewe ni mpumbavu , shuleni watu kama nyie tulikuwa tunawaita shabiki mandazi..

Yani mtu kama wewe ukiwa shabiki wa Yanga unatasema Yanga ni bora kuliko Man city..
Hilo sanduku la kuhifadhia meno hapo juu ya mabega ndio limetoa hizi takataka? Yani mada nzito hivi unakuja na maneno ambayo darasa la tatu wanaweza sema. Ukute umeolewa na mtu yuko proud ana jiko ndani. Mada ya kilimo cha pilipili huzioni?

Ukitaka kubisha toa hoja.
 
Ukraine to free incarcerated prisoners with military experience to help with the war effort - General Prosecutor’s Office in Kiev.

Authorities will also take into account “military experience, honors and remorse”.

Among those already released are Dmitry Balabuh, jailed for murdering a civilian at a bus stop. Sergey Torbin, jailed for organizing attacks on civil activists
 
⚡️ Ukraine has submitted its application against Russia to International Court of Justice in The Hague – Zelensky

“We request an urgent decision ordering Russia to cease military activity now and expect trials to start next week.”

RT
 
Haya sasa baba wa vita na mwanzilishi wa WW1 na WW2 German kasema anaingia kumsaidia Ukraine.
Putin atashindwa na kuanguka vibaya,asingepeleka jeshi.Hawa ulaya na wa magharibi huko wapo very strategic. Unaambiwa kwa sasa majeshi ya Urusi yanakabiliwa na upinzani mkaliiii.

Na Germany anapeleka vifaa vya kupiga ndege na kuua vifaru.
Umemsikia peke yako?? Amesema atasaidia vifaa kama wanavyosaidia USA, UK nk. Huwezi ingilia hiyo Vita, maafa ni makubwa sana. Kwangu mimi, the best way ni wakae mezani UKRAINE aachane na kujiunga NATO. Au kama UKRAINE atajiunga NATO basi URUSI nae AKAJENGE BASE ZAKE CUBA NA MEXICO.
 
⚡️ ‘We stand for peace - if they refuse talks, the responsibility will lie entirely with the Ukrainian side' - Head of Russian delegation in Belarus

Moscow’s delegation is waiting for a reply from Ukraine – Russia’s deadline for potential talks ends in one hour (15:00 MSK).

RT
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mkuu ikiwezekana tuletee na updates kutoka sources nyingine,hii TBC ya Russia na habari zake tunazijua zitakuwa zinaegemea upande upi.
Sasa hao wakina aljazeera na Bbc hadi sasa wapo na habari zilizopita... At least RT Ndio yupo updated
 
Back
Top Bottom