CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Hao warusi wanapiga na hawaoneshi hizo video. Jamaa ni wakatili mno.Aisee. Sasa hapa warusi wanashangilia huko kwao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao warusi wanapiga na hawaoneshi hizo video. Jamaa ni wakatili mno.Aisee. Sasa hapa warusi wanashangilia huko kwao?
Unafanyaje Defensive bila kuua?? Huu ujinga wapelekee FACEBOOMUkraine ishasema inapigana defensive war na silaha zote inazopewa ni defensive wala sio offensive. Ukraine haijaingia kuvamia Urusi wala haina uwezo huo.
Urusi mpaka sasa wana mji mmoja mkubwa wa Kharkiv ambao uko mpakani nao. Hapo watakuja wanasogea taratibu kwa sababu mji upo mpakani wanavusha supplies wanapiga kwa 'kuambukiza'. Hawana uwezo wa kupiga kwa stretching mpaka sasa, hawana flexibility.
Kwenye ramani: K- Kharkiv mpakani na Russia
C- mashambulizi kutoka Crimea
D- Donetsk na Luhansk regions
Hapo Kaskazini kutokea Belarus ndio wanapigana kuichukua Kyiv ambayo iko karibu tu na Belarus ila ndio concentration ya Ukraine ilipo.
Bila Russia kutumia Belarus sasa hivi tungekuwa tunawacheka. Haki ya Mungu hili sio jeshi la kukutana na vichaa kama PolandView attachment 2132819
DaaaHao warusi wanapiga na hawaoneshi hizo video. Jamaa ni wakatili mno.
[emoji23][emoji23][emoji23] punguza hasira mzee, tafadhali michambo ya uswahilini hatuhitaji. Wacha tuone kinachoendelea hapo Ukraine.Kina nani wamechoka. Hao wanaopigania kilomita 10 kwa siku mbili? Yani Belarus na Russia ndio unasema wamechoka, hata ukijumlisha uchumi wao hauathiri sana dunia. Sanasana bei ya mafuta na gesi itapanda, mafuta yatakuwa replaced na output kubwa ya OPEC. Russia ataendelea kuuza gesi Ulaya kama hataki ainywe, Ulaya ina options kibao za gharama kubwa kupata gesi. Russia isiuze gesi uchumi ufe tuone kama raia hawataandamana
Urusi anakutana na upinzani mzito kila anapokatiza mitaa... Convoy zake nyingi zinavamiwa... Ukraine wanapiga kwa kuvizia sana na ndio kinachowasaidia... Kwa ufupi Kukipambazuka ni Zamu ya Ukraine kutamba, ila kiza kikiingia ni Zamu ya Urusi kutambaHii thread ingependeza tungekuwa tunaweka updates tuone Nani anazidiwa na yapi ni propaganda Siyo kufanya ligi ya kipumbavu
Haya mambo ya talking kwa walipofikia hayana maana. Russia amalizie kisha aseme anataka nn akishachukua nchi. Kulazimisha sana mazungumzo napo ni dalili ya kuona wote inakula kwenu.⚡Belarus President Lukashenko: "They (the Russians) are sitting in Gomel and waiting. If the Ukrainians come, there will be talks. If not, as President Putin told me yesterday, what can we do, it's their choice"
RT
Jeshi la Marekani 60% yake huwa ni logistics. Vita haipiganwi na anayefyatua risasi mbele peke yake. Kabla yake kuna watu wengi mno wanaodharaulika machoni pa raia, kuna dereva aliyeleta silaha na atayeleta zikiisha (ndio hao wanaoshambuliwa mitaani na maroli yao hapo Kyiv). Kuna medic atakayetibu majeruhi, hawa ni muhimu kuliko anayepigana bila hawa utapoteza wanajeshi hata anayevuja damu mkononi tu na bila hawa hupati morali ya jeshi. Bado hawabebwi wakiumia au kufa, unakuta column ya Urusi inapita inakuta wanajeshi wake barabarani wamekufa au vifaru vimeungua. Marekani huwa inaenda na recovery vehicles kama Hercules kubeba kifaa kilichopigwa kukitoa machoni pa wanajeshi.Hapa ndugu zetu warusi itagharimu maisha vijana wao ambao wako front, humu ndani wachangiaji wengi hawaijui principles za medani zaidi yakuwa na mahaba kwa Putin na jeshi lake. Military supply kwenye uwanja wa medani ni kitu muhimu sana ambapo mara nyingi unafanikiwa kama ukipata air superiority yaana kuharibu air defence system ya adui yako, urusi ilijua itamaliza vita mapema kumbe Ukraine sio wezembe wamekata supplies kwa kuharibu barabara kwenye baadhi ya maeneo, Kuna baadhi ya convoys zimeshambuliwa na kuharibiwa vibaya, vijana wa Ukraine wengina wanatumia guerrilla warfare strategy kuharibu military hardware za urusi ndio maana urusi wameanza kurusha makombora kutokea black sea kama fire support
Samahani ndugu hivi UNATOKEA KIGOMA sehemu ganiNa wewe upunguze mahaba yako pia kwa upande unaouegemea, yale yale ya Nyani haoni........ Ni nyinyi hapa mlituletea porojo za vita kumalizika ndani ya masaa 24,sasa hivi mmegeuka mmeanza kuja na vijisababu mia kidogo,mlidhani Ukraine ilikuwa dhaifu kiasi hicho.
Haikuwa drone... Bali ni ndege vita na ilikuwa na rubani wawiliMuda mfupi uliopita drone ya ukraine imeshushwaView attachment 2132836
Huyu mtu bwege sana, yaani akili zake kama samaki wa kufugwa. Mwambie tutamwaga maji anayojivunia tumkaanga bila mafutaHuyo mwamba kama ataendelea kubaki kyv watamla kichwa kama wamemkosa inamaana bado watadili naeView attachment 2132685
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Taratibu watu waelewaInaonekana warusi wameanza kutumia nguvu kubwa sasa
mbona poland, Deutschland, Netherlands, turkey, wametoa msaada ya fedha na silaha kwa kyiv hawajafanywa chochote mpaka muda huuAnapewa jeuri na mmarekani na washirika. Kumbe hawamjui vizuri PUTTIN ee. Na atakaejifanya kumsaidia imekula kwake mammmmmaeee