LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Sasa ukileta wanajeshi bila supplies maana yake nini. That means hukutaka kupigana muda mrefu, tunachotazama sio umetumia muda gani bali ulikuwa na lengo gani. Siku mbili zote unapigania 10km na una jeshi kubwa. Superpower anatumia siku mbili kupigana kuchukua 10km zilizo chini ya weak military. Russia ilijua yatakuwa yaleyale ya Crimea kwamba wanajeshi wa Ukraine wataweka silaha chini, ikatoa wanajeshi wake kwenye mazoezi ikawaleta kwenye battleground bila kupanga kuwapa ammunition, chakula, madawa.

Mpaka hapa tulipofikia kuna points zinapungua kwenye uwezo wa jeshi la Urusi. Ngoja wabadili tactics tuone tena
Hapa ndugu zetu warusi itagharimu maisha vijana wao ambao wako front, humu ndani wachangiaji wengi hawaijui principles za medani zaidi yakuwa na mahaba kwa Putin na jeshi lake. Military supply kwenye uwanja wa medani ni kitu muhimu sana ambapo mara nyingi unafanikiwa kama ukipata air superiority yaana kuharibu air defence system ya adui yako, urusi ilijua itamaliza vita mapema kumbe Ukraine sio wezembe wamekata supplies kwa kuharibu barabara kwenye baadhi ya maeneo, Kuna baadhi ya convoys zimeshambuliwa na kuharibiwa vibaya, vijana wa Ukraine wengina wanatumia guerrilla warfare strategy kuharibu military hardware za urusi ndio maana urusi wameanza kurusha makombora kutokea black sea kama fire support
 
Kwa nikionacho, UKRAINE anatamani huu mzozo uishe na maisha yaendelee ila msukumo wa West unawafanya wachanganyikiwe, sasa wao ndio wamekuwa kilengeo. Nchi inaharibiwa vibaya sana. Waangalie namna ya kuondoa huu mzozo, wanaoumia zaidi ni UKRAINE na hadi sasa hakuna mji wowote wa URUSI umeshambuliwa hata na JIWE.
TUACHE USHABIKI, UKRAINE akae mezani wayamalize. WASITUMIKE NA USA na NATO maana wao ndio wataumia.
Nakumbuka speech moja Ya Ben Sanders aliwaambia wenzake USA kuwa sisi USA tungekubali USSR aweke kambi zake CUBA??
Urusi anashambuliwa ki uchumi, wapo hoi bin taaban
 
Kwa nikionacho, UKRAINE anatamani huu mzozo uishe na maisha yaendelee ila msukumo wa West unawafanya wachanganyikiwe, sasa wao ndio wamekuwa kilengeo. Nchi inaharibiwa vibaya sana. Waangalie namna ya kuondoa huu mzozo, wanaoumia zaidi ni UKRAINE na hadi sasa hakuna mji wowote wa URUSI umeshambuliwa hata na JIWE.
TUACHE USHABIKI, UKRAINE akae mezani wayamalize. WASITUMIKE NA USA na NATO maana wao ndio wataumia.
Nakumbuka speech moja Ya Ben Sanders aliwaambia wenzake USA kuwa sisi USA tungekubali USSR aweke kambi zake CUBA??
Screenshot_20220227-113414_Chrome.jpg
Russia kazungukwa na nchi zilizo Nato kabla na baada ya 1997. Kwann anahofia sana Eukraine?

Halafu unajua ukifikiri kwa makini unarudi kwenye jambo moja tu PRIDE. Hakuna jingine. Hata hao Russia na USA kama sio pride wanaweza kukaa pamoja kuangalia namna nzuri ya kuendeleza maisha ya binadamu.
 
Inawezekana kulikua na makubaliano huko nyuma na yamevunjwa. Lazima kuwe na sababu
Mtu wa kwanza kuvunja makubaliano ni Russia, Ukraine walikuwa na mabomu ya Nyuklia ila waliyasalimisha kwa hiyari yarudi Russia kwa sharti Russia isije kuwavamia miaka hiyo... Ila Baadae Russia alianza chokochoko ndio miaka ya 98 huko Ukraine wakaanza harakati za kujiunga NATO
 
Kwa nikionacho, UKRAINE anatamani huu mzozo uishe na maisha yaendelee ila msukumo wa West unawafanya wachanganyikiwe, sasa wao ndio wamekuwa kilengeo. Nchi inaharibiwa vibaya sana. Waangalie namna ya kuondoa huu mzozo, wanaoumia zaidi ni UKRAINE na hadi sasa hakuna mji wowote wa URUSI umeshambuliwa hata na JIWE.
TUACHE USHABIKI, UKRAINE akae mezani wayamalize. WASITUMIKE NA USA na NATO maana wao ndio wataumia.
Nakumbuka speech moja Ya Ben Sanders aliwaambia wenzake USA kuwa sisi USA tungekubali USSR aweke kambi zake CUBA??
Kosa atakalofanya Rais wa Ukraine ni kuwapa raia silaha wapambane na Urusi, Kuna hatari Urusi Ione umuhimu wa kuyalenga hata makazi ya raia kwasababu hiyo
 
Nakwambia na amini kwamba USA hatopeleka JESHI kupigana na URUSI. BIDED aliwahi kumwambia mwandishi wa habari. "URUSI SIO KIKUNDI CHA KIGAIDI, NI MOJA YA MAJESHI MAKUBWA DUNIANI. HIVYO KUINGIA VITANI NI KUBET NA LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA."
Wanasiasa wanazingua nao.....
Mbona raia wao wakija huku kwetu wanakaa pamoja mpaka na ngono wanafanya na kunywa mvinyo bila kupigana?
 
Kina nani wamechoka. Hao wanaopigania kilomita 10 kwa siku mbili? Yani Belarus na Russia ndio unasema wamechoka, hata ukijumlisha uchumi wao hauathiri sana dunia. Sanasana bei ya mafuta na gesi itapanda, mafuta yatakuwa replaced na output kubwa ya OPEC. Russia ataendelea kuuza gesi Ulaya kama hataki ainywe, Ulaya ina options kibao za gharama kubwa kupata gesi. Russia isiuze gesi uchumi ufe tuone kama raia hawataandamana
Unaandika mambo mazito sana kwa wepesi wepesi sana kama mchezo wa simba na yanga. Russia ya leo sio ile ya zamani, kumbuka Russia na mchina wanachotaka kukifanya.. sio rahisi kwa kila pande hii ngoma bado mbichi sana.. itakuja fumua mengine
 
Porojo hizi,walipue Ikulu hiyo jeuri wanayo?

Unaongea ukiwa tandale ama!! Pro amerika kaeni pembeni na mwendelee kubweka tu, kama mnauwezo ingieni mumsaidie ndugu yenu sio mnalialia na kuogopa. Putti is another level bwana
 
Kama uchumi unapigana WAAMBIE USA AKAIVAMIE CHINA, SI WANA UCHUMI MKUBWA KISHINDA CHINA?? HUNA AKILI KICHWANI
Punguza jazba mkuu. Kumbuka huyo unayemwelekeza si mmarekani na wewe si mrusi.
 
Putin si kashasema hadharani taifa lolote litakaloingilia hii vita directly litajua halijui. Waambie sasa hao Marekani na NATO wako waingie front kupigana na Urusi, wasiishie tu kutoa msaada wa silaha Ukraine, afu uone Putin atafanya nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hii vita ni dhahiri kama itakuwako vita ya Ndani ya Ukraine kati ya NATO na Urusi itakuwa Aibu kubwa Sana kwa Urusi na kisiasa italeta shida kwa Urusi
 
JAMANI WATU HUMU TUKUMBUSHANE TU. VITA NI KATI YA URUSI NA EUKRAINE NA WADAU KAMA WAMAREKANI NA NATO. SASA TUKIANZA KUTUKANANA WATANZANIA UNAWEZA KUTA UNAMTUKANA MAMA WA MDOGO WAKO AMBAYE NI MAMA YAKO KISA TU UMAREKANI NA URASIA WAKATI NYINYI NI WAGOGO.
 
Ukifuatilia vizuri, utagundua kwamba Urusi anatumia muda wa Asubuhi na Mchana wote kuingiza majeshi Ukraine, Kisha usiku anatumia kupigana... So kuna muda Ukraine watakuja kustuka kila kona ya nchi yao ndani na nje wamezungukwa na Urusi
Kwamba Ukraine hawajui hilo wewe ndo wajua
 
Kuna watu wanachekesha sana mkuu. Urusi akiamua kutumia silaha zake za mass destructions sio tu ataipiga, bali ataipoteza kabisa Ukraine kufumba na kufumbua. Putin hataki tu kuua raia na kwenda kinyume na sheria za vita, ndio maana zoezi linachukua muda kidogo, ila Urusi kufanikiwa kupo pale pale, ni suala tu la muda. Hamna vikwazo ambavyo vitawekwa Putin hakujua kwamba vitawekwa, hilo halimtishi. Vikwazo vinazidi kuongezeka, ila mwamba hana habari, ndio kwanza anazidi kuvuka border kupeleka vifaru

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi silaha kumbuka hamiliki peke yake na wenzake wanazo pia na wanaweza kuzitumia,

Naona Putin amechoka kuishi duniani ameamua lowalo na liwe
 
Russia represents a polygamous husband with many wives like Ukraine, Moldova, Estonia, Latvia, Lithuania, Belorussia, and the other Ex-Soviet Republics.

— In 1991, Ukraine being the most beautiful wife, demanded a divorce from her draconian husband.
— Russia grudgingly allowed her, but due to his toxicity and ego, he would rather see her remain single, subservient, and dependent.
— As a dynamic lady, Ukraine rapidly developed herself into one of the most beautiful women after the divorce.
— To the chagrin of Russia, Ukraine, his ex-wife, becomes a center of attraction wanted by other men, including his foe, NATO.
—Ukraine’s pulchritude and natural endowment earn her recognition from NATO—a counterpart to Russia.
—The relationship between NATO and Ukraine started growing at an alarming pace, unsettling the nerves of the ex-husband, Russia.
— As expected of a toxic narcissist, Russia went berserk. He insisted that a relationship between Ukraine and NATO will breed conspiratorial connivance, which poses a more significant threat to the masculinity and ego of Russia.
— NATO, a polygamist like Russia, is a liberal. His wives include the U.K., U.S., Greece, Germany, Spain, and many more.
— To NATO, the addition of Ukraine to his fleet of wives makes him more powerful and gives him an upper hand ahead of Russia.
— To Russia, NATO, and Ukraine’s marriage poses a grandiose threat to his territory. Therefore, he is committed to ensuring the relationship never happens.
— In his quest to truncate this relationship, Russia wants to reconstitute his past relationship; he is a nationalist, a fascist in the mode of Adolf Hitler.
— As a result of this, he abruptly barged into his unsuspecting ex-wife’s house a few days ago.
— The unwanted guest is currently holding her hostage, surrounding her house with hundreds of dongaris.
— NATO, at the moment, is scrambling for how best to rescue his new wife from her abusive ex.
— Russia had warned that anyone who interferes as he gobbles Ukraine would suffer consequences that they did not dream possible; that is, he has nuclear weapons to eviscerate even those who know nothing about his strained relationship with his ex.
—Right now, Ukraine is stuck between an abusive ex-husband and a new lover who has promised her the most exquisite things in the world.
— The world is perturbed as they watch this dispute in awe and fear.
— The rescue mission, if haphazardly planned, may likely boomerang into an all-out war between the two suitors and their friends.
— NATO, a businessman (Capitalist) and the controller of the G7, has threatened to impose severe sanctions against Russia if he fails to withdraw his Dongaris from Ukraine's premises.
— The G7 are the big guys around. They include the U.S., U.K., Canada, EU, Italy, Japan, France, and Germany. An affiliation with these guys is lucrative, capable of catapulting any country to booming affluence.
— The essence of these sanctions is that these big guys will ghost Russia and cut every tie with him in an attempt to humble him “economically.”

How is Africa connected to this conflict?
— Africa should be worried about one thing, her economy.
— Economically, Africa and the rest of the world will be significantly affected should a war break out in Europe.
— The world is yet to recover fully from the aftermath of COVID-19.
— Asides from that, I see no reason why any African country/leader should take sides, at least, for now.
— Russia is the only European country that stood with Africa during the colonial period. Russia fought with Angola against the South African apartheid regime and defended Lumumba.
— Africa had better be spectators rather than a participant in this conflict.
— It is not on record that Russia had once colonized or invaded the African continent like Ukraine's new husband once did.
— There is an ongoing liberation in Mali. Russia is currently liberating Mali from French Imperialism.
— The embittered ex and the new husband are inconsolable at the moment.
— Although Olori Ebi (the United Nations) has attempted to mediate, Russia is deviant to his appeasement because the U.S. is the one feeding Olori Ebi the most. Understandably, he may not favor Russia.
 
Back
Top Bottom