LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
⚡️Czech Rep joins Poland and Sweden in refusing to play Russia in soccer World Cup play-off for the 2022 tournament in Qatar - reports

RT
 
Unaandika mambo mazito sana kwa wepesi wepesi sana kama mchezo wa simba na yanga. Russia ya leo sio ile ya zamani, kumbuka Russia na mchina wanachotaka kukifanya.. sio rahisi kwa kila pande hii ngoma bado mbichi sana.. itakuja fumua mengine
Russia ikifungiwa SWIFT watafanyaje. Watalipua ofisi za IMF au mabenki makubwa duniani?

Aeroflot shirika la ndege kubwa la serikali la Urusi limepigwa air blockade na nchi 9 mpaka jana usiku, sijui leo zimefika ngapi. Watafanyaje au kwamba Russian Airforce itaenda kulipua airports za hizo nchi?

Makampuni yamezuiwa kuuza baadhi ya teknolojia muhimu isipokuwa za afya na za kuongozea ndege. Russia watavamia makampuni? Sasa ngoja uone kama viwanda vyao vitafanya kazi, mpaka leo hawana gas turbine engines za uhakika kutengeneza warships tangu wavamie Ukraine. Wanaishia kutengeneza corvettes tu.

Huyo China unayemsema ni yule aliyekimbia kikao cha UNSC juzi ili asipige kura ya hapana kwa Russian invasion. Siku yoyote ukisikia superpower hakuwepo kwenye kamati yoyote ya UN ujue anasikilizia upepo na mara nyingi utakuta anajua kura yake haitobadilisha chochote ila ana hasara kwa kila chaguo atalofanya. Ili kukwepa lawama anakuwa absent, ile sio ndoa kwamba Bwana Harusi kafiwa kwahiyo tuhaihirishe, ile ni uwakilishi wa nchi huwezi sema wawakilishi wote walikuwa na dharula
 
Naona mmeanza kuyageuza maneno sasa hivi,siku tano nyuma,mbwembwe zilikuwa nyingi hapa utadhani Ukraine walikuwa hawajajiandaa na Vita hata kama inazidiwa kwa kila kitu na Russia,leo upinzani umekuwa mkali mnaanza kuja na hizi excuses
MJOMBA unakomaa shingo utadhani unaongea na warusi haswa unachoka bure tu zingine zichukuliwe kama porojo tu.kwani putin alitoa tangazo la muda wa vita. Kuna wakati tunajinasibu kuwa wasomi lakini ni weupe tu. Mnawezaje kubishania kitu kwa siku kadhaa angali wote Mpo mbali na hamna ushahidi sahihi na mnaloliongelea.
 
Ukraine ishasema inapigana defensive war na silaha zote inazopewa ni defensive wala sio offensive. Ukraine haijaingia kuvamia Urusi wala haina uwezo huo.

Urusi mpaka sasa wana mji mmoja mkubwa wa Kharkiv ambao uko mpakani nao. Hapo watakuja wanasogea taratibu kwa sababu mji upo mpakani wanavusha supplies wanapiga kwa 'kuambukiza'. Hawana uwezo wa kupiga kwa stretching mpaka sasa, hawana flexibility.

Kwenye ramani: K- Kharkiv mpakani na Russia
C- mashambulizi kutoka Crimea
D- Donetsk na Luhansk regions
Hapo Kaskazini kutokea Belarus ndio wanapigana kuichukua Kyiv ambayo iko karibu tu na Belarus ila ndio concentration ya Ukraine ilipo.

Bila Russia kutumia Belarus sasa hivi tungekuwa tunawacheka. Haki ya Mungu hili sio jeshi la kukutana na vichaa kama PolandView attachment 2132819
Ukraine wamepelekwa wanamgambo waliojitenga ,jeshi kamili LA urusi lipo linasubiri risasi hata moja kutoka NATO wataanza na huyo mpolanda
 
[emoji23][emoji23][emoji23] punguza hasira mzee, tafadhali michambo ya uswahilini hatuhitaji. Wacha tuone kinachoendelea hapo Ukraine.
Mkuu watu wanakasirisha hawatumii reasoning. Wewe una gesi unauza elfu 10 nami nanunua 60% ya gesi yangu kwako, 40% nanunua mbali tena kwa elfu 12 ila nikitaka kununua yote 100% kwa hivyo vyanzo vya elfu 12 naweza ingawa inahitaji muda na nitakula hasara. Wewe usiponiuzia hutopata wa kumuuzia mwingine, wanunuaji wako wengine wametosheka na kiasi unachowapa. Mauzo yako ya nje mengi ni gesi, ukigoma kuniuzia gesi hiyo huiuzi kwingine. Tukishindwana biashara nani anapata hasara kubwa.

Mkulima VS mfanyabiashara wa mazao, mchimbaji VS mnunuzi wa madini, mfugaji VS mmiliki wa mabucha mjini. Tangu lini mzalishaji akawa na nguvu dhidi ya mlaji?

Watu wanafyatuka hawatumii reasoning
 
Kuna watu wanachekesha sana mkuu. Urusi akiamua kutumia silaha zake za mass destructions sio tu ataipiga, bali ataipoteza kabisa Ukraine kufumba na kufumbua. Putin hataki tu kuua raia na kwenda kinyume na sheria za vita, ndio maana zoezi linachukua muda kidogo, ila Urusi kufanikiwa kupo pale pale, ni suala tu la muda. Hamna vikwazo ambavyo vitawekwa Putin hakujua kwamba vitawekwa, hilo halimtishi. Vikwazo vinazidi kuongezeka, ila mwamba hana habari, ndio kwanza anazidi kuvuka border kupeleka vifaru

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanayahamisha wanayobishania humu halafu wanataka iwe russia na Ukraine wawasikilize. Unawezaje kupigana vita na watu wenye silaha halafu usigusswe au tunacheki picha la rambo nini.
 
1645956533772.png

Angalia kama nchi yako ipo hapo kwenye hii Ramani.
Kisha uendelee kumshabikia Mmarekani aliyejenga vituo 25 vya maabara za silaha za kibaiolojia duniani kote kituo cha majaribio cha silaha hizo kikiwepo Georgia na Ukraine kwa sasa.....Katika nchi zilizokuwa wanawachama wa kisoviet kajenga vituo 11 vya maabara za silaha za kibaolojia target kubwa ni kuanza na Russia.
Marekani wanatengeneza magojnwa ya hatari kwa ajili ya kuangamiza binadamu kwa miradi inayogharimu mabilioni ya dola,lengo ni kuuwa watu na kuwa super power anayewapangia watu maisha,inawezekana Putin anataka kusambaratisha maabara hizo hapo Ukraine....maana inasemekana wanapandikiza magonjwa kwa mmbu na wadudu wengine kisha wanatumwa Russia.

Magonjwa kama Ebola,Zica,Corona,Mers, na mengine mengi yanatengenezwa kwenye maabara hizo kwa tafiti za mabilioni ya dola chini ya mpango wa Pentagon project uliochini ya jeshi la marekani DOD- department of diffence.
 
⚡️Czech Rep joins Poland and Sweden in refusing to play Russia in soccer World Cup play-off for the 2022 tournament in Qatar - reports

RT
Russia ana kazi kubwa sana ya kurudisha uhusiano na mataifa mengine. Nina wasiwasi hii ni vita ya Puttin sio warusi.
 
Kharkov ambao ni mji wa pili kwa ukubwa uko chini ya majeshi ya Urusi hadi sasa baada ya mapigano ya usiku na leo asubuhi. Bado kuna pockets chache za Ukraine
Mkuu sasa hivi inaonekana amenza kutumia nguvu zaidi ya mwanzo nadhani hawakutarajia kupata upinzani mkubwa kama ulio upata, sasa hivi wamezinduka usingizini na kugundua ya kwamba vita si ya kitoto.
Kuna miji mingine kama mitatu ime tekwa.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Yaani nyie jamaa yaani mna Yale mambo ya " Mahaba Niue". Yaani ni kama mtu aseme adui hawezi kuingia getini kwangu, halafu akiingia unasema hawezi kuingia ndani ya nyumba, kaingia hadi sebuleni mnaanza kusema adui ANAPATA SHIDA KUINGIA MASTER BEDROOM KWANGU.

MIMI SIPENDI HUO UVAMIZI WA RUSSIA lakini napenda kuongelea uhalisia.
Akiingia anajifanya huwezi kunibaka ukimbaka unakuta ni mbakwaji mzoefu.
 
mbona poland, Deutschland, Netherlands, turkey, wametoa msaada ya fedha na silaha kwa kyiv hawajafanywa chochote mpaka muda huu
Urusi hana ubavu wa kuwagusa hao ni majigambo na maneno kama ya kwenye khanga moko ya babu Putin. Ukren tu panamtoa jasho la mbupu sembuse hizo nchi tena 4 kwa mpigo.
 
View attachment 2132849
Angalia kama nchi yako ipo hapo kwenye hii Ramani.
Kisha uendelee kumshabikia Mmarekani aliyejenga vituo 25 vya maabara za silaha za kibaiolojia duniani kote kituo cha majaribio cha silaha hizo kikiwepo Georgia na Ukraine kwa sasa.....Katika nchi zilizokuwa wanawachama wa kisoviet kajenga vituo 11 vya maabara za silaha za kibaolojia target kubwa ni kuanza na Russia.
Marekani wanatengeneza magojnwa ya hatari kwa ajili ya kuangamiza binadamu kwa miradi inayogharimu mabilioni ya dola,lengo ni kuuwa watu na kuwa super power anayewapangia watu maisha,inawezekana Putin anataka kusambaratisha maabara hizo hapo Ukraine....maana inasemekana wanapandikiza magonjwa kwa mmbu na wadudu wengine kisha wanatumwa Russia.

Magonjwa kama Ebola,Zica,Corona,Mers, na mengine mengi yanatengenezwa kwenye maabara hizo kwa tafiti za mabilioni ya dola chini ya mpango wa Pentagon project uliochini ya jeshi la marekani DOD- department of diffence.

Kuna watu humu watabisha kuna doc zinasambazwa kwenye mitandao kutoka ubalozi wa marekani uliopo Ukraine walizifuta walitaka dunia isijue wale watu ni mashetani kabisa
 
⚡️Russia military enters Kupyansk near Kharkov (social media footage)

The mayor of Kupyansk posted a message on his Instagram account to confirm that Russian Armed Forces, aided by local police, are there to maintain civil order after negotiations were conducted between the two parties.

The mayor added that Ukrainian forces in the city are no longer present.

RT
 
[emoji298]️Czech Rep joins Poland and Sweden in refusing to play Russia in soccer World Cup play-off for the 2022 tournament in Qatar - reports

RT
Mwisho wa siku Urusi atakosa wa kucheza naye WC Q
 
View attachment 2132849
Angalia kama nchi yako ipo hapo kwenye hii Ramani.
Kisha uendelee kumshabikia Mmarekani aliyejenga vituo 25 vya maabara za silaha za kibaiolojia duniani kote kituo cha majaribio cha silaha hizo kikiwepo Georgia na Ukraine kwa sasa.....Katika nchi zilizokuwa wanawachama wa kisoviet kajenga vituo 11 vya maabara za silaha za kibaolojia target kubwa ni kuanza na Russia.
Marekani wanatengeneza magojnwa ya hatari kwa ajili ya kuangamiza binadamu kwa miradi inayogharimu mabilioni ya dola,lengo ni kuuwa watu na kuwa super power anayewapangia watu maisha,inawezekana Putin anataka kusambaratisha maabara hizo hapo Ukraine....maana inasemekana wanapandikiza magonjwa kwa mmbu na wadudu wengine kisha wanatumwa Russia.

Magonjwa kama Ebola,Zica,Corona,Mers, na mengine mengi yanatengenezwa kwenye maabara hizo kwa tafiti za mabilioni ya dola chini ya mpango wa Pentagon project uliochini ya jeshi la marekani DOD- department of diffence.
Russia naye anasubiri nini si ajenge naye vituo vyake ajilinde na usa au hela hana? au technolojia hana? au kama ana ubavu si alipue hivyo vituo nchi mbalimbali au ijino kwa jino hawezi? so anabaki kulialia tu kama ukreni!
 
Back
Top Bottom