LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Wanasiasa wanatafuta mileage tu hawajali watu kufa kila mtu anatizama maslahi yake ndio maana hata yule Rais aliyepita wa Ukraine naye yuko huko barabarani kutafuta kick za kisiasa.
Ni sahihi. Ila hizo milage anazipata vipi na kazidiwa anapigwa? Ilitakiwa muda huu awe amekubaliana na Puttin kuhusu usalama wake wa kisiasa sababu amezidiwa. Au hajazidiwa bado?
 
Lakini ni ajabu kidogo. Au wewe unaonaje?
Kukataa ni ile hali kwamba sisi hatukubaliani na mazungumzo yoyote mwisho wa story ila kusema tuko tayari lakini uwanja ubadilshwe sio issue. Russia mshirika wake mkubwa China kamwambia maliza kwa kuongea sasa lazima aoneshe kuwa mimi nimekubali ila mwenzangu kakataa huko mbeleni isiwe mimi ndio jeuri maana hata vita viendelee mwisho wa siku ni lazima watu watakaa meza moja kuongea sasa badala ya kupoteza maisha ya watu bila sababu kwanini msiongee kabla ya majanga zaidi.
 
Kwa maelezo yako ni kwamba Ukraine bado ana nguvu ya kuendelea kumzuia Russia. Hajazidiwa kiasi cha kukubaliana na matakwa yake. Si ndio?
 
Ni sahihi. Ila hizo milage anazipata vipi na kazidiwa anapigwa? Ilitakiwa muda huu awe amekubaliana na Puttin kuhusu usalama wake wa kisiasa sababu amezidiwa. Au hajazidiwa bado?
Na lazima ujuwe mahesabu ya wanasiasa wao kikubwa ni image yake hata Saddam wakati anapigwa alijuwa kabisa vita hawezi kushinda lakini ile pride inawatesa, Gaddafi alijuwa anapigwa akaambiwa tutakutoa ukaishi nje alisema haendi kokote atakufa Libya na matokeo tunayajuwa. Kuna watu wanaishi na pride.
 
Okey. Basi tusubiri. Unadhani kufikia lini huyu atakuwa mikononi mwa Russia?
 
Kwa maelezo yako ni kwamba Ukraine bado ana nguvu ya kuendelea kumzuia Russia. Hajazidiwa kiasi cha kukubaliana na matakwa yake. Si ndio?
Unajuwa mimi kujibu wakati niko nyuma ya keyboard nitakuwa nafanya ushabiki tu ila hata hizo Pro Ukraine media zote wanasema tu ni suala la muda tu kyiv kuanguka hilo wala hakuna anayebisha na hao ni wataalamu wa mambo ya vita lini hilo sio wa mimi kujibu ila kwa ufupi hata Baghdad pamoja na dunia nzima kujikusanya Kuwait ila iliwachukua 43 days kuwaondoa Baghdad.
 
Na lazima ujuwe mahesabu ya wanasiasa wao kikubwa ni image yake hata Saddam wakati anapigwa alijuwa kabisa vita hawezi kushinda lakini ile pride inawatesa, Gaddafi alijuwa anapigwa akaambiwa tutakutoa ukaishi nje alisema haendi kokote atakufa Libya na matokeo tunayajuwa. Kuna watu wanaishi na pride.
mimi niusifu ujasiri wao
 
Kukataa ni ile hali kwamba sisi hatukubaliani na mazungumzo yoyote mwisho wa story ila kusema tuko tayari lakini uwanja ubadilshwe sio issue. Russia mshirika wake mkubwa China kamwambia maliza kwa kuongea sasa lazima aoneshe kuwa mimi nimekubali ila mwenzangu kakataa huko mbeleni isiwe mimi ndio jeuri maana hata vita viendelee mwisho wa siku ni lazima watu watakaa meza moja kuongea sasa badala ya kupoteza maisha ya watu bila sababu kwanini msiongee kabla ya majanga zaidi.
We una ugomvi na mtu ,Ila huyo mtu anapitia kwa jirani kukurushia mawe halafu anakuambia kikao ya usuluhishi mkafanye kwa jirani utakubali?
 
Iko hivi Ukraine ameomba raia wa nchi zingine waje kumsaidia. Hii ni danganya toto. NATO na Marekani wamemtuma aseme hivyo kuuficha ukweli. Kwa sasa Mrusi anapigana na makomandoo wa NATO na Marekani.

Ujerumani kaeleka silaha na Marekani vilevile na washirika wake.
Silaha hizi ni nzito na nyepesi. Baada ya kuzisimika utasikia Ukraine ameshambulia Moscow.

Hapo sasa ndipo siioni tena Ulaya kwenye uso wa dunia.
Ataanza na Poland kisha wengine wanafuata.

Mrusi siyo zezeta.
 
Okey. Basi tusubiri. Unadhani kufikia lini huyu atakuwa mikononi mwa Russia?
Wameshachukuwa mji wa pili kwa ukubwa Ukraine na kwa report kuna vikosi viko ndani ya Kyiv ila hawajaingia full convoy Kama ni Dar basi watu tuseme wako Kibaha sasa ikiwa unaanza kugawa K47 kwa watu na kuzuia watu miaka 18 mpaka 60 kutoondoka ina maana uko katika last defence line.
 
Maana tayari kapokea silaha na kaonesha kummudu Urusi

Misaada kama yote kuwa Ukraine👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇​

Greece to send defence supplies to Ukraine​

Greece is sending defence supplies to Ukraine in response to a request from Kyiv, Prime Minister Kyriakos Mitsotakis’s office says.

Two C-130 military transport planes will carry the supplies to Poland, from where they will be transported onwards to Ukraine, the office said.

The move comes after Athens said on Saturday that 10 Greek nationals had been killed and six others wounded by Russian bombings near the city of Mariupol, in southeastern Ukraine.

EU should fund weapons and fuel for ‘heroic’ Ukraine, Borrell says​

The European Union’s foreign policy chief says he will propose using the bloc’s funds to help finance weapons and other supplies for Ukraine during a meeting of its foreign ministers later.

“I will propose to [EU foreign] ministers to use the European Peace Facility for two emergency assistance measures,” Josep Borrell said in a statement ahead of the virtual meeting.

“These aim to finance the supply of lethal material to the heroic Ukrainian army, which is fighting with fierce resistance against the Russian invaders and provide urgently needed non-lethal supplies, such as fuel.”
 
... facism ni hatari sana kwa ustawi wa dunia; Eastern ideology ni takataka.
 
Nyie ant russia(wapinga kristo/majafiri) baada ya Karkiv mnajua tunaenda mji gani?...... Mungu anasema "utakapoona makundi kwa makunndi wanaingia katika nchi yangu,basi nawe nenda kwa maana ukombozi haupo mbali. Huuu ndio ukombozi yaani USA na freemason wao wanaangamia na nguvu ya Mungu kupitia Urusi
 
Muda si mrefu Ujerumani imetangaza itaongeza Euro bilioni 100 ambazo ni trilioni 259 kwenye mfuko maalum wa kuimalisha ulinzi. Teknolojia ya Ujerumani ni kubwa ila hawafanyi mass production ya silaha zao.

Japan jana Shinzo Abe aliyekuwa Waziri Mkuu wao akajiuzuru kwa ugonjwa amesema wanaweza fikiria kumiliki silaha za nyuklia kutoka kwa allies wao, kama ambavyo huwa zinawekwa Uturuki au Ujerumani. Hata hivyo naona Japan akiamua kutengeneza silaha za nyuklia hatumii hata miaka minne anakuwa nazo, teknolojia yao kubwa sana.

Urusi imefanya mataifa yaliyozembea kwenye ulinzi ila yana uwezo yajishtukie.
 
Screenshot_20220227-143511.png

Ukraine: We're kicking ass but also please help us!

Ukraine wananifurahisha sana! Vita ina siku 3 kwa 4 wamewaangusha Urusi hivyo! Ok, ni lini watafika Moscow na kuizingira?
 
mimi niusifu ujasiri wao
Mimi sitaki kusema majasiri Ukraine ni nchi kubwa na wana jeshi kubwa tu tatizo hapa wanapigana na super power kuliko wao wanaonekana kama watoto lakini hawa Ukraine ingekuwa wanapigana na Belarus wangeonekana wakubwa tu. Nchi yoyote lazima uweze kupigana na nimetoa mfano vita vya kwanza vya Iraq ilikuwa ni jeshi kubwa kuvamia nchi moja yaani ilikuwa Dunia vs Iraq lakini walipigana 43 days. Hawa siku 2 tu jamaa wako Kibaha na kuanza kugawa k47
 
Back
Top Bottom