LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Tayari macron ameamua kumsaidia Ukraine silaha za viata. Marekani nayo tayari imeingia mzigoni baadaya ya kumdhoofisha kiuchumi. Jamaa walikuwa wanasubili wanamwangalia Putin ana silaha gani Sansa wamemsoma tayri hapa Ni patamu Sana.

Mmarikani alivyo mjanja kahakikisha ana coordinate nchi marafiki wote na putini amejikuta yupo mtu katib china ameshamruka tayari. Sasa hapo ndo patamu
Ukraine inaenda kuwa magofu Sasa,,, imekuwa uwanja wa Vita sasa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Daaa hawa Russia ilipaswa wapate mkong'oto Wa hali ya juu sana sema ndio hivyo dunia imejaa unafiki
 
Warusi wanazidi songs mbele
Screenshot_20220227-141914.jpg


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Unajuwa mimi kujibu wakati niko nyuma ya keyboard nitakuwa nafanya ushabiki tu ila hata hizo Pro Ukraine media zote wanasema tu ni suala la muda tu kyiv kuanguka hilo wala hakuna anayebisha na hao ni wataalamu wa mambo ya vita lini hilo sio wa mimi kujibu ila kwa ufupi hata Baghdad pamoja na dunia nzima kujikusanya Kuwait ila iliwachukua 43 days kuwaondoa Baghdad.
Umeweka ushabiki pembeni kabisa. Umeeleweka.
 
Hajagoma, YEYE NDIO AMEOMBA MAZUNGUMZO, LKN URUSI WAKAWEKA MASHARTI KUWA MAZUNGUMZO HAYO YAFANYIKE BELARUS. UKRAINE AMEKATAA KUFANYIKIA BELARUS BADALA YAKE AMEOMBA IWE UTURUKI au nchi tofauti na Rafiki wa URUSI.

Maswali ya kitoto kama haya, yanachosha ndio maama hawakujibu.
Weka ushabiki pembeni. Kugoma maana yake ni kukataa. Sasa kama nimekuomba mazungumzo halafu ukanipa masharti na nikakataa sharti lako si ndo kugoma huko? Ukiwa na upande utapatwa hasira tu zisizo na maana na Russia yenyewe ikishashinda Eukrain wewe huku nyumbani hawakupi tuzo ya chawa bora.
 
Haya sasa baba wa vita na mwanzilishi wa WW1 na WW2 German kasema anaingia kumsaidia Ukraine.
Putin atashindwa na kuanguka vibaya,asingepeleka jeshi.Hawa ulaya na wa magharibi huko wapo very strategic. Unaambiwa kwa sasa majeshi ya Urusi yanakabiliwa na upinzani mkaliiii.

Na Germany anapeleka vifaa vya kupiga ndege na kuua vifaru.
Umeisikiliza vizur speech ya chancellor?!...
 
Tunahitaji data za pande zote
Nisome tena!

Huoni kama ni (ashakum si matusi) lugha ya kejeli?

Vita ya siku 3 umeua wanajeshi wa Urusi wengi ina maana si anawashinda? Ikiwa hali ni hivyo kwa nini Ukraine wanaomba msaada wasaidiwe?

Ndiyo maana nikamalizia kwa kuandika ni lini watafika Moscow?
(Kuiteka)?

Umeshanielewa?
 
UK kashatuma jeshi mambo ni fire 🔥🔥🔥🔥Russia analetwa kati sasa ivi
 
FIRST: US-made anti-bunker grenade launcher found in Ukrainian positions near the city of Mariupol
 
Haya sasa baba wa vita na mwanzilishi wa WW1 na WW2 German kasema anaingia kumsaidia Ukraine.
Putin atashindwa na kuanguka vibaya,asingepeleka jeshi.Hawa ulaya na wa magharibi huko wapo very strategic. Unaambiwa kwa sasa majeshi ya Urusi yanakabiliwa na upinzani mkaliiii.

Na Germany anapeleka vifaa vya kupiga ndege na kuua vifaru.
Kwani aliyemsambaratisha ujerumani during ww1 na 2 ni nani kama siyo usoviet chini ya Russia. Rejea historia yako vzr ujerumaji alitangaza kusarenda baada ya kichapo hevi kutoka usoviet
 
Kweli mkuu. Inafikirisha sana, Mtu anapigwa, kazidiwa na inasemekana anapokea kichapo kweli ila hataki mazungumzo na anatoa masharti .Kwanini?
Muwe mnasikiliza vizur... Ukraine haijakataa mazungumzo Bali imekataa sehem ya kufanyia mazungumzo....
 
Back
Top Bottom