Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Wapiganaji wa jf wako vizuri[emoji119]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh,haya ngoja tuone mwisho!Mji usharudishwa muda huu
Mpaka hapa tumeelewana kuwa amegoma. Hayo maombi mengine si yale ni mapya. Huenda ni war technique tu hataki mazungumzo. Russia amalizie tu kilichompeleka.Aliomba mazungumzo ..Russia akasema yafanyikie Belarus... Ukraine amegoma.......
Tupe details maana inaonekana upo Makao Makuu ya Jeshi la Ukrainesasa ndo mchezo unaanza
Hujaelewa mzee, sasa wao hawana access na simu wanapataje video. Wao wanatumia radio call kuwasiliana picha hawapati au hujaelewa??D
Duu jeshi la Urusi liko vitani halafu hawajui kinachoendelea[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]wabongo bana.
Hayo matank, ndege vita na kila kitu ni matokeo ya intelegensia ya hatari.
Yaani kabla ya kufanya chochote Kuna kazi kubwa sana ya intelegensia inafanyika.
Yaani Urusi kwa ukubwa wao washindwe kuwa na taarifa ya kinachoendelea Ukraine,duuuuu.
Watu humu ndugu kila mtu anajua kila kitu km yuko Ukraine sshv anapigana[emoji16]Muwe mnasikiliza vizur... Ukraine haijakataa mazungumzo Bali imekataa sehem ya kufanyia mazungumzo....
Details huzioni hapo JF member @frustation anazimwaga au?Tupe details maana inaonekana upo Makao Makuu ya Jeshi la Ukraine
[emoji23][emoji23][emoji23]nimechekaBado mnaendelea kudanganyana humu!
Huna tofauti na wale wafuasi wa mfalme zumaridi period yaani nimepata mashaka na reasoning yako!Iko hivi Ukraine ameomba raia wa nchi zingine waje kumsaidia. Hii ni danganya toto. NATO na Marekani wamemtuma aseme hivyo kuuficha ukweli. Kwa sasa Mrusi anapigana na makomandoo wa NATO na Marekani.
Ujerumani kaeleka silaha na Marekani vilevile na washirika wake.
Silaha hizi ni nzito na nyepesi. Baada ya kuzisimika utasikia Ukraine ameshambulia Moscow.
Hapo sasa ndipo siioni tena Ulaya kwenye uso wa dunia.
Ataanza na Poland kisha wengine wanafuata.
Mrusi siyo zezeta.
Hajagoma, amekataa eneo la mazungumzo, ameoamba mkutano ufanyike Neutral ground. Usichoelewa nini??Weka ushabiki pembeni. Kugoma maana yake ni kukataa. Sasa kama nimekuomba mazungumzo halafu ukanipa masharti na nikakataa sharti lako si ndo kugoma huko? Ukiwa na upande utapatwa hasira tu zisizo na maana na Russia yenyewe ikishashinda Eukrain wewe huku nyumbani hawakupi tuzo ya chawa bora.
Mimi mwenyewe nashangaaDhumuni la North korea ku'test Kombora dogo inaweza kuwa ni nini ?
Africa yote?wakubali huu upupu wa putin?!sidhani! Mmh ,jisemee wewe mkuu!Putin kawabana pumbu haswaaaa!!,marekani anatamani aingilie lkn anaogopa akitia mguu tu,China nae anam join Russia hapo Sasa mtanange utakuwa mtamu zaidi!! Ila mm naombea zipigwe huko ulaya Hadi wachakae. namkubali Putin ,Africa yote tuko pamoja na Putin ,na China.
Nisichoelewa ni kwann agomee maelekezo ya mbabe wake na yeye kumpa masharti wakati yeye ndo aliomba asikilizwe na kazidiwa.Hajagoma, amekataa eneo la mazungumzo, ameoamba mkutano ufanyike Neutral ground. Usichoelewa nini??
Mji usharudi mikononi mwa Ukraine... [emoji3]Wameshachukuwa mji wa pili kwa ukubwa Ukraine na kwa report kuna vikosi viko ndani ya Kyiv ila hawajaingia full convoy Kama ni Dar basi watu tuseme wako Kibaha sasa ikiwa unaanza kugawa K47 kwa watu na kuzuia watu miaka 18 mpaka 60 kutoondoka ina maana uko katika last defence line.