CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Wamekubali kwenda BELARUS mazungumzo yanaanzaAliomba mazungumzo ..Russia akasema yafanyikie Belarus... Ukraine amegoma kufanyia Belarus...anataka sehem nyingine.. deadline aliyoitoa Russia ndo imeexpire saa moja lililopita..maana yake Sasa Russia hahitaji mazungumzo tena Bali kuondoa madarakan utawala wa zelensky...