LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Wekeni updates s kuleta pro Russian na pro Ukraine
Ndo kinachoniboa mi kufuatilia huu Uzi!
Yaani kuna uteam sijui uchawa kila mmoja anavutia kwake kiasi kwamba huelewi update sahihi ya kinachoendelea
 
Aliomba mazungumzo ..Russia akasema yafanyikie Belarus... Ukraine amegoma kufanyia Belarus...anataka sehem nyingine.. deadline aliyoitoa Russia ndo imeexpire saa moja lililopita..maana yake Sasa Russia hahitaji mazungumzo tena Bali kuondoa madarakan utawala wa zelensky...
Upande wa Ukraine umependekeza mazungumzo yafanyike katika mji mmoja kati ya Warsaw, Poland; Bratislava, Slovakia; Istanbul, Uturuki; Baku, Azerbaijan ama Budapest, Hungary.

Hili jambo la kufanyia mazungumzo Belarus kama Urusi inavyotaka, linazua wasiwasi kwa Ukraine. Pia, linataka kufanana na tukio moja katika historia wakati wa mapinduzi ya Hungary ya mwaka 1956 dhidi ya USSR ama Umoja wa Kisovieti. USSR ilipeleka majeshi yake nchini Hungary kwenda kuzuia mapinduzi hayo yaliyokuwa yakiongozwa na mtu mmoja aliyefahamika kama Imre Nagy, Waziri Mkuu wa Hungary baada ya awamu ya kwanza ya mapinduzi.

Imre Nagy aliwahi kuhadaiwa kufanya mazungumzo na makubaliano ya amani na USSR jijini Moscow wakati majeshi ya USSR yalikuwa tayari yameshaweka kambi Hungary kuelekea Budapest ili kumng'oa madarakani.

Ujumbe/uwakilishi wa Hungary ulipofika Moscow kwaajili ya mazungumzo, uliwekwa kizuizini kisirisiri; wakati huohuo majeshi ya USSR yaliamriwa kuendeleza mashambulizi dhidi ya majeshi ya Hungary. Hatimaye Nagy alikimbilia ubalozi wa Yugoslavia nchini Hungary kuomba hifadhi baada ya jeshi la Hungary kuzidiwa nguvu. Hata hivyo, Imre Nagy alikamatwa baadaye na kupewa kesi ya uhaini na kisha kuuawa (execution).

Nafikiri, wasiwasi huu wa Ukraine unakuwepo kwa sababu Belarus ni mshirika wa karibu sana wa Urusi katika huu mgogoro, pia ni nchi iliyotumika kuhifadhi na kupitishia majeshi kwaajili ya kuivamia Ukraine ambapo mpaka sasa, majeshi hayo yapo.
 
Ukraine President, aaah aaah Im very very sorry mr President I .......
Lukashenko. Ooh no wait just wait,first take a seat.
Ukraine President. But I would........
Lukashenko. Don't worry we will cease-fire soon.
Ukraine President thank you thank you thank you.
Putin . Are you okay(looking at ukraine President)
Ukraine President. No my president I am totally lost of.........
Lukashenko. Please have a sip of water Zenk.
Ukraine President. It is enough from now Ukraine is the street of Russia and please appoint me as your village executive officer I will work hard mr I promise you it.
Lukashenko. Are ok mr Zenk?
 
Here we gooooo
Screenshot_20220227-162718_Twitter.jpg
 
⚡️Current football world champions France have called for Russia to be kicked out of the 2022 World Cup
 
woyo woyo woyooooooooo Qomamae haendi mtu Mars hapa hapa USA inaangamizwa. Nuclear? Ile kitu inajibilingishaga kama jongoo aliyekuswa ila hii ni habari njema sana kwangu. Naipenda vita naipenda amani pia maana vita inaleta amani na amani huleta vita.
🤣🤣
 
woyo woyo woyooooooooo Qomamae haendi mtu Mars hapa hapa USA inaangamizwa. Nuclear? Ile kitu inajibilingishaga kama jongoo aliyekuswa ila hii ni habari njema sana kwangu. Naipenda vita naipenda amani pia maana vita inaleta amani na amani huleta vita.
Litue kwenu hapo uone kama utaongea Hayo
 
Ndo kinachoniboa mi kufuatilia huu Uzi!
Yaani kuna uteam sijui uchawa kila mmoja anavutia kwake kiasi kwamba huelewi update sahihi ya kinachoendelea
ndio n kweli badala ya kuleta update wanaleta Kama ubishani wa simba na yanga kuna wengine pia wakileta update analeta update ya masaa 24 yaliyopita badala ya kwenda na matukio na mda
 
Back
Top Bottom