NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Kazi iendelee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi iendelee
Warusi ni wazungu, uzungu ni race na sio bara, ni kama wamoroko ni waarabu na si waafrica bali ni Africans by areaNaombeni mniambe tunaposema huyu ni mzungu tunaangalia ngozi ama! Mana nashangaa kuwaita warusi eti ni wazungu wakati hawatoki Ulaya.
Mzungu in English is called a European. Sasa Kama tunaangalia ngozi nyeupe Basi hata mchina, mhindi n k naye ni mzungu
Tafadhari naomba msaada!! Mzungu ni nani na je ili aitwe mzungu lazima awe na ngozi nyeupe, au aishi Ulaya au yeyote anaweza kuwa mzungu mchina ili mradi ni raia wa Ulaya au uchina
Ni sawa na mtu kila siku anatest kama yeye ni mwanaume kwa kutazama picha chafu.Dhumuni la North korea ku'test Kombora dogo inaweza kuwa ni nini ?
Soma hapaOhooo. Kama umelishwa tango pori sasa na wengine unatupa kama lilivyo.
Okey
Duuh!!! hizi akili za usiku..Ni sawa na mtu kila siku anatest kama yeye ni mwanaume kwa kutazama picha chafu.
Hiyo ni Golden chance, usisikie maneno huku jukwaani, kwa ground UKRAINE inateseka.Okey
Maana mbongo mpe mada, mengine atayajazia mwenyewe si umeona wanavyodanganyana kama wapo Moscow na Ukraine wanavyo shusha mawasiliano.[emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka
Anakera na testing testing zake zisizoisha na kuchafua hali ya hewa na bahari kwa mabaki ya makombora yake. Kama ana tatizo na nchi nyingine aseme wasuluhishwe au wapigane kama mwenzake huku.Duuh!!! hizi akili za usiku..
Unafikiri kupaisha yale makombora ni kama kuangalia porno.
Putin yumo humu pia[emoji23]Yaani ile Ukraine ipo humu. Na mipango yote na mikakati naona wapo wana JF humu wanatoa matamko kwa niaba ya Russia na Ukraine. Wanatujulisha hata yatakayofanyika Keshi.
Ninahisi ofisi kuu ya hii vita ipo humu.
M'bongo anastahili Shikamoo kwa Ujuaji
🙆♀️🙆♀️🙆♀️Huku sasa embu aache. Kwani kachokozwa na NATO? Warusi watakubalina naye katika hilo?Hiyo ni Golden chance, usisikie maneno huku jukwaani, kwa ground UKRAINE inateseka.
Afu hapa naona taarifa RAIS WA URUSI AMEMWAGIZ WAZIRI WA ULINZI KUFUNGUA SILAHA ZA NYUKLIA ILI KUKABILIANA NA VITISHO VYA NATO.
MUNGU ATUSAIDIE.
Wakati kuna wabongo shazi wako kwenye treni.. na akitaka video niitume [emoji3]
Wakati kuna wabongo shazi wako kwenye treni.. na akitaka video niitume [emoji3]