Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Hao Wagner juzi walitaka "kupindua serikali".

Leo wanaruhusiwa kuendelea kuajiri wapiganaji kama kawaida..
 
Mkuu wapi nilisema Prigo ameasi? Niliandika tu ukweli kwamba vikosi vyake vilivamia makao makuu ya jeshi huko Rostov, kuelekea Moscow na kuangusha helikopta chache cha jeshi la Kirusi.
Pia kwamba Prigo alimtukana vibaya mkuu wa jeshi la urusi na waziri wa ulinzi na kudai eti wauawe.
Nasikia kwa jumla waliua askari Warusi 15 waliojaribu kuwasimamisha huko Voronesh.

Najua kwa waumini wa "Taifa Teule" hayo yote ni dalili za utii mkuu na mipango isiyo na kasoro yoyote ya genius Putin... 🙂
 
kp kipanya44 umekuwa kama sigara kali aiseee.

Jana unawachukia wagneer Leo unawashabikia Wagner, kesho huwataki tena.
Embu jaribu kuwa kwenye mstari.
Hapana. Mimi jamaa namuelewa. Ana msimamo wake-HE IS ANTI-PUTIN. So yoyote yule akiwa against putin, yeye ataside naye, hata shoigu akiasi, ataside naye.
 
Acha wafe tuuuuuuu
 
[emoji298]Russian soldiers are demotivated and do not understand what they are giving their lives for, Spokesperson for the Eastern Grouping of the Armed Forces of Ukraine Serhii Cherevatyi says, commenting on the enemy’s losses in the Lyman-Kupiansk direction[emoji298].


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Over 35 military clashes have occurred in the Lyman, Bakhmut and Marinka directions in the past 24 hours, according to the latest update from the General Staff of the Armed Forces of Ukraine.


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ita Itaimalika zaidi Kuna marekebisho yatafanyika,hasa kuhusu Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…