Hahahahahaha....! Huyu mzee angepumzika!! Atakufa kabla ya wakati wake!Rais Biden yupo Poland anasema " Ukraine will never be a victory for Russia, Never.
Wabongo kwa Ujuaji bwana. Ukute una ka bachelor degree tu ndio kanakufanya kila hoja unauliza elimu.Una umri gani? Au elimu yako ni ya kiwango gani?
Mambo ya copyright hawawez shitakiwaWairani siyo watu wazuri. Ona Sasa walichowafanyia NATO.
View attachment 2681252
- [emoji1130] JUST IN: Iran has started producing copycat Javelins, reverse engineered from Ukrainian samples
@Middle_East_Spectator
Trump anasema jamaa anakula ngada balaa ndio anakua km zuzuHahahahahaha....! Huyu mzee angepumzika!! Atakufa kabla ya wakati wake!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo counter offensive, imefika wapi au Siku hiz vita hakuna?
Huyu mzee mbona chenga sanRais Biden yupo Poland anasema " Ukraine will never be a victory for Russia, Never.
Maamuzi mengine ni rahisi kuyafanya ukishatoka madarakani. Am sure angekuwa madarakani naye pia asingekubaliana na hili. Huu ni mtego wa hatari sana kwa natoIf Ukraine is not offered membership in NATO, it will be a big mistake, — ex-president of Lithuania Dalia Grybauskaitė.
Hrybauskaite criticized the passivity and indecision of NATO leaders on the eve of the Alliance summit in Vilnius. According to her, another series of statements of support without a promise of Ukraine's future membership in NATO will allow Russia to continue creating security threats on the continent.
Join our telegram channel for more videos - link in comments
#
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Bila kukujibu kitaalamu naweza kukwambia kuna vitu vipo tayari kitaalam na kimahesabu ambapo vikifanywa mbele ya macho yako wala hutokaa ukubali kwamba ni akili ya binadamu imetenda.Mimi huwa nashindwa kuamini hadi nitakapoona. Siamini kama kuna hilo Bomu kweli linalotumia dakika 14 kutoka Russia hadi Marekani au dakika 3 kutoka Russia kufika Uingereza . Tena lenye ukubwa wa tani 200.
Mtakaojibu hoja yangu hii jibuni bila Ushabiki na Mapenzi maana nawajua mlivyo
Mchawi lughaTutaelewana!!!!!!!!!!!!
Analysis
US cluster bombs deal is clear signal that war is not going well for Ukraine
America risks losing the moral high ground by supplying Ukraine with a weapon banned by much of the world, so why are they supplying it?
Well, the facts on the ground are not in Ukraine's favour. The transfer is a clear signal that the war is not going well for Ukraine.
The so-called spring offensive did not materialise in the spring and looks set to falter through the summer too.
Ukraine is fast running out of more conventional artillery with supply stocks in America and elsewhere running low.
A 'bridge of supply' is necessary.
Source: Sky news: 07/07/2023
Ha ha ha kichekesho ni hiki[emoji298]️ Ukraine has more tanks than Russia, according to Bloomberg.
After 16 months of war, the balance of power has changed. The journalists counted the supply of tanks and their losses and came to the conclusion that Ukraine has about 1500 tanks, and Russia has 1400.View attachment 2680187
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app