Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kutoka kwenye himmars, juvelin, leopard, Abraham, na hizi ndege mlizokuwa mnapiga kelele hapa juzi mpaka Leo hii cluster bombs,,,, endeleeni kujipa moyo hivyo hivyo siku mkishtuka mtakuja kuona Ukraine yote ishachukuliwa,, muda utaongea

Nikikumbuka watu walivyovaa , Makoti, mashati, tisheti , kofia mpaka chupi za leopards , lakini Sasa kimyaaa nasema hiiiii.
 
Wakati Russia inaendelea kupoteza vifaa vyake vya kijeshi bila kuReplace kwa haraka ukiondoa msaada wa makombora ya shaheed Toka Iran na drones.Ukraine imeendelea kupata misaada ya kijeshi Toka western countries.Hii ndio sababu kubwa Ukraine kubadili game kwenye uwanja wa vita na kuendelea kuteka maeneo yaliyotwaliwa na Urusi!
....
 
Mzigo wa counter offensive umeisha?
 
[emoji845][emoji779]in the Melitopol and Berdiansk directions, since the offensive started, Ukrainian warriors have liberated 169 square kilometers of native land from Russian invaders, which is equal to the area of Odesa.[emoji298]


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji1255]The Ukrainian Armed Forces have liberated 169 square kilometers of Ukrainian land from the Russians since the start of the offensive on the South.

This is roughly the size of the city of Odesa, the General Staff of the Armed Forces of Ukraine reported.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 

Hakuna sehemu ambayo Marekani anaishi kwa wasiwasi kama Syria ni vile tu kakaza shingo ila hajiamini sana.
 
Putin na huyu rafiki yake siwaelewi kabisa wajamani au ilikuwa false flag
❗️ Russian President Vladimir Putin met with PMC Wagner founder Prigozhin on June 29, Kremlin says
https://en.sputniknews.africa/20230...eek-after-mutiny-kremlin-says-1060448098.html
The meeting was held in the Kremlin and lasted about three hours, there were 35 people in total, including commanders of Wagner Group detachments.

Commanders of Wagner PMC told Putin that they are his staunch supporters, ready to continue fighting for Russia, Kremlin's spokesman Dmitry Peskov said

Subscribe to @sputnik_africa

🔸
Sputnik Africa | TikTok | Odysee | Twitter 🔸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…