Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 10,258
- 14,106
Wameshakomboa square kilometres 269 ,size sawa na mji wa OdessaWakuu nilikua bush nipeni maendeleo ya kaaunt ofwensive, wamekomboa vijiji vingapi?
Wameshakomboa square kilometres 269 ,size sawa na mji wa OdessaWakuu nilikua bush nipeni maendeleo ya kaaunt ofwensive, wamekomboa vijiji vingapi?
Jibu mjalabu kabisa [emoji1787]Wameshakomboa square metres 269 ,size sawa na mji wa Odessa
We jamaa huwa unaandika vitu ili kujifurahisha...Unaonaga raha kupost kama unajiongelea mwenyewe??Wakati Russia inaendelea kupoteza vifaa vyake vya kijeshi bila kuReplace kwa haraka ukiondoa msaada wa makombora ya shaheed Toka Iran na drones.Ukraine imeendelea kupata misaada ya kijeshi Toka western countries.Hii ndio sababu kubwa Ukraine kubadili game kwenye uwanja wa vita na kuendelea kuteka maeneo yaliyotwaliwa na Urusi!
....
![]()
Out with the old, in with the new: Russia-Ukraine heavy weaponry balance may shift
The balance of firepower through heavy weaponry might be shifting in the Russian war on Ukraine for the first time in more than 16 months of conflict, asenglish.alarabiya.net
Vp kuhusu statas yule kamanda wa urusi ambaye kitambo hajaonekana hadharan mpaka timu upinde wanasema ameswekwa lupango kwa kuhusika na lile zoezPutin na huyu rafiki yake siwaelewi kabisa wajamani au ilikuwa false flag
[emoji779]️ Russian President Vladimir Putin met with PMC Wagner founder Prigozhin on June 29, Kremlin says
https://en.sputniknews.africa/20230...eek-after-mutiny-kremlin-says-1060448098.html
The meeting was held in the Kremlin and lasted about three hours, there were 35 people in total, including commanders of Wagner Group detachments.
Commanders of Wagner PMC told Putin that they are his staunch supporters, ready to continue fighting for Russia, Kremlin's spokesman Dmitry Peskov said
Subscribe to @sputnik_africa
[emoji842] Sputnik Africa | TikTok | Odysee | Twitter [emoji842]
Waturuki na Waingereza hawachekani kwa Unafiki na undumila kuwili!It should be noted that Erdogan recently said that Ukraine deserves to become a full member of NATO.
Viwanda vya silaha vya Russia havina uwezo wa Kutengeneza vifaa vinavyopotea kwenye battlefield kulingana na hasara inayopatikana,tofauti na ukraine wao replacement inafanyika haraka na nchi marafiki!We jamaa huwa unaandika vitu ili kujifurahisha
Hiyo radio free Europe nayo ni mali ya Sahara media???Vikosi vya Ukraine vimekuwa vikitumia mizinga wanayoteka Toka Vikosi vya Urusi kuwatwangia Warusi wenyewe kwenye battlefield!
.....
In Photos: Kyiv's forces on the front line near Kreminna, in eastern Ukraine, have been using a captured Russian TOS-1A Solntsepyok ("Blazing Sun") heavy thermobaric rocket launcher to devastate Moscow's forces as the Ukrainian counteroffensive continues. Ukraine Punishes Russian Positions With Captured 'Blazing Sun' Rockets
View attachment 2683967
Wazee wa Reverse Engineering udenda unawatokaWairani siyo mchezo watuma maombi wapewe stormshadow wafanye yao.
View attachment 2682066
View attachment 2682064
Colonel Cassad:
The British Storm Shadow missile delivered to Moscow is already being actively studied. Both in terms of counteraction, and in terms of familiarization with British technologies for possible reproduction.
Russia does not comment on the possibility of getting acquainted with the missile from other countries. But it is quite clear that Iran has a great interest in this missile.
Ndio maana Israel hataki kabisa kupeleka machuma yake coz anajua adui yake namba 1 pale middle east atafaham tech yake bila kutumia nguvuWazee wa Reverse Engineering udenda unawatoka
Wasiwasi wa nini ?Hakuna sehemu ambayo Marekani anaishi kwa wasiwasi kama Syria ni vile tu kakaza shingo ila hajiamini sana.