DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Sahii kabisaWakuu habari.
Naomba kutoa analysis yangu kuhusu huu mpango wa US na NATO kupeleka Cluster bombs huko Ukraine.
Huu mpango unapingwa na hata baadhi ya NATO member ikiwemo UK. UK kwa sasa anaongoza mwenye global campaign ya kupinga silaha za namna hii.
US na NATO allies wameamua kupeleka hizo cluster bombs kwa sababu wameishiwa conventional weapons. Maghala yapo empty na itachukua muda sana (wanasema months), kuweza ku replenish hizo stocks zao.
Sasa kinachotokota hapa ni kwamba hao baadhi ya NATO allies wana wanaona kwamba hii itampa greenlinght kwa Russia kuanza kutumia non conventional bombs.
Wanasema una open jinni in the bottle
Non conventional weapon kama ila Father of all bombs ambayo inatumia fuel. Kuna yale mabomu ya phosphorus.
Ndio maana Russia amekaa kimya tu anawasubiri waanze kurusha hizo cluster bombs ili apate pritex ya yeye kutumia mabomu yake.
Majibu ya Russia Kwny hili yatawatesa Sana, ngoja waendelee kujitekenya wenyewe