Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 1,490
- 3,482
Wazungu ni wanafiki sanaa watakuwa na wew pale watakapo ona una nguvu kidogo lakin ukiishiwa kabisa wanakuacha Sasa ni kama zelensk Yani huyu Raisi saivi kaishiwa kabisa mpaka Sasa wanajeshi waliopo vitani na silaha wanazotumia Asilimia kubwa ni kutoka nje? Mean kwamba hao wakitoka tuu Ukraine atapigwa kama mbwa mwizi na hata NATO wenyew wanaogopa kumuunga Ukraine kweny Umoja wao kwa sabab za kiusalama, Urusi anaongea kama utani lakin anatekeleza.View attachment 2685582
Zelensky anavyotia huruma ktk kikao cha Nato,
“Za kuambiwa changanya na zako”
Huyu zelensk Hana akili kabisa Yani hata kujiongeza hawez kabisa alitwa na Putin wakae mezani wayamalize akajifanya kichwa ngumu kwa kuwakimbilia hao NATO majabu yaliyotokea Sasa NATO nao wananza kumkimbia kwa sabab tiari Alisha piteza Kila kitu Hana pa kushika
Angalia picha hapo chini Ina sadifu nn kinaendelea kati ya zelensk na NATO 👇👇