Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

View attachment 2685582
Zelensky anavyotia huruma ktk kikao cha Nato,

“Za kuambiwa changanya na zako”
Wazungu ni wanafiki sanaa watakuwa na wew pale watakapo ona una nguvu kidogo lakin ukiishiwa kabisa wanakuacha Sasa ni kama zelensk Yani huyu Raisi saivi kaishiwa kabisa mpaka Sasa wanajeshi waliopo vitani na silaha wanazotumia Asilimia kubwa ni kutoka nje? Mean kwamba hao wakitoka tuu Ukraine atapigwa kama mbwa mwizi na hata NATO wenyew wanaogopa kumuunga Ukraine kweny Umoja wao kwa sabab za kiusalama, Urusi anaongea kama utani lakin anatekeleza.

Huyu zelensk Hana akili kabisa Yani hata kujiongeza hawez kabisa alitwa na Putin wakae mezani wayamalize akajifanya kichwa ngumu kwa kuwakimbilia hao NATO majabu yaliyotokea Sasa NATO nao wananza kumkimbia kwa sabab tiari Alisha piteza Kila kitu Hana pa kushika
Angalia picha hapo chini Ina sadifu nn kinaendelea kati ya zelensk na NATO 👇👇
 

Attachments

  • 20230712_131158.jpg
    34.6 KB · Views: 27

Nkuba25,

Ninavyofahamu, Hybrid Warfare in matumizi ya vitendo mbalimbali vyenye lengo la kudistablize au kumvuruga adui iwe katika vita au isiwe katika vita.

Mfano wa vitendo vya Hybrid Warfare ni;

1. Kuingilia chaguzi (Interference in electoral process),
2. Mashambulizi ya mtandao (Cyber attack),
3. Kusambaza habari za uongo (disinformation and dissemination of false news),
4. Matumizi ya mbinu za kiuchumi (Financial instruments), nk.

Napata mashaka kama kweli huyo Generali wa Urusi ndiye aligundua haya yote.

Kwamba yeye ndiye aligundua Cyber attack! Yeye aligundua kuingilia chaguzi! Yeye huyo huyo akagudua usambazaji wa habari za uongo, nk!
 
Umesema hawa ni Socialist wa mchongo,sijui wa kweli ni wapi.Anyway that is the human way of doing things.You warn as much as you can,ili "the warned" wasikie,wasije wakasema hatukuambiwa,if the worst happens.Halafu kumbuka Nucleaur Weapons sio kitu cha mchezo,so you keep warning in the hope that labda watakusikia,before the worst happens.Warusi wana huruma sana,you can see even in the way they fight in Ukraine,they make sure as much as possible there are few civilian casualties.
 
Counter Offensive:
Kwa siku ya jana TU,July ,11,Urusi imepoteza askari zaidi ya 500,mfumo wa ulinzi wa anga,mizinga 17 na magari ya deraya/armoured vehicles 17:
...
 
Ndio ni wa mchongo kwa sababu Russia ina mabilionea kwa sasa ambayo ni pure capitalism mindset.Nchi ya kijamaa Haiwezi kuwa na billionaires!It would be almost impossible to be billionaire if you support socialist principles!
Ñikurudishe kwenye topic,kwamba Russia ni socialists au sio is not your point of concern,your point of concern ni kwamba Russia wanatoa warnings lakini hawafanyi lolote,sasa umeridhika na jibu nililokupa?
 


Kwamba yeye ndiye aligundua Cyber attack!

Kwa statement hii unaonyesha hujui unachoandika.
Ndio maana nikampa Proved homework ya kwenda kujifunza kuhusu (Gerasimov Hybrid warfare Doctrine). Sijakwambia wewe CULCULUS ndio ukafanye hiyo homework.

Sasa kwa kukusaidi tu ni kwamba. Kwenye hybrid warfare wanatumia hizo tools - applications of those tools to achieve desired outcomes (kama hiyo ya cyber attacks).
 
Tunaendelea na mzee wa kupoteza kumbukumbu!!!!!!!! Leo kamkumbuka mwamba!!!!!!!!Jamaa anamuumiza sana kichwa!!!!!!


Biden appears to call Zelenskyy 'Vladimir' as G7 launches joint declaration in support for Ukraine​



The US president said he also spoke to the Ukrainian president. He appeared to refer to him as Vladimir, .


He says: "Vladimir and I we... I shouldn't be so familiar... Mr Zelenskyy and I talked about the kind of guarantees we could amok in the meantime when I was in Ukraine and when we met in other places.


Source: Sky news:12/07/2023
 
They see him as not one of them.

Tazama wanaume wote hapo walivyovaa, halafu utazame huyo muhuni alivyovaa.
 
Ndio ni wa mchongo kwa sababu Russia ina mabilionea kwa sasa ambayo ni pure capitalism mindset.Nchi ya kijamaa Haiwezi kuwa na billionaires!It would be almost impossible to be billionaire if you support socialist principles!
Wewe una mawazo mgando kuhusu ujamaa. Nikusaidie tu, ujamaa kama mfumo unaoratibiwa na binadamu umekuwa ukibadilika kutokana na nyakati na uhalisia wa dunia. Lakini taifa lolote ambalo hadi leo linajinasibu kuwa ni la kijamaa linasifa kuu-linajitahidi kuhakikisha huduma za Msingi za kibinadamu zinapatikana kwa unafuu kadri iwezekanavyo. Mfano, taifa kama Cuba huduma za afya ni nafuu sana(usipoziita bure), lakini Marekani usiombe ukaugua.

Rudi kwetu, hospital ya umma inaruhusu matibabu binafsi, ujue uelekeo wetu ni upi.
 
BIDEN wakati niliposema Colorado itakauka, waliniangalia na kunichukulia mimi kama chizi,
AKAONGEZEA sasa hivi wananiangalia na kukumbuka nilimaanisha nini ya kuwa Putin anaweza akatumia silaha za Atomic bomb.

Wazo lile tayari lishaonekana na sasa washington inatakiwa imalize vita nchini Ukraine😂😂😂😂🤣
 
UKRAINE KUPOTEZA MIKOA MINGINE YA ODESSA NA KHARKIV.

Mshauri wa zamani wa Ikulu ya Marekani Douglas McGregor amesema kwamba, upelekwaji wa wanajeshi wa nato nchini Ukraine kutasababisha kuanza kwa vita ya tatu ya dunia.

Douglas aliendelea kwa kusema kwamba upelekwaji wa silaha zaidi nchini Ukraine haubadirishi chochote kwenye uwanja wa vita na kinavhotakiwa ni kufanya mazungumzo na Urusi la sivyo Ukraine itapoteza mikoa mingine ya Odessa na Kharkiv.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…