Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naona mwanadiplomasia mkongwe WA marekani bwana Harry kissinger amezuru Beijing na l kufanya mazungumzo na waziri wa ulinzi aliyeekewa vikwazo na marekani bwana Lee shang fu, piano amekutana na mwanadiplomasia nguli wa china anayeitwa Wang Yi


Najua wamarekani wataendelea kusema safari ya kissinger haina uhusiano na serikali ya marekani.
 
Hao sasa ndio wachambuzi wa mchongo!
Wameshachambua sana toka SMO inaanza na kila mara wameishia kuingia chaka!
Mara Russia kaishiwa silaha
Mara Russia ana uwezo wa kuendesha vita kwa miezi mitatu tu!
Mara uchumi wa Russia utaanguka hivyo kusababisha Putin kushindwa kuendesha vita ndani ya miezi 6!

Sasa wanakuja na porojo kibao!
 
Kumekucha,

Statements by the Russian Ministry of Defense on the grain deal.

“In connection with the termination of the Black Sea Initiative and the curtailment of the maritime humanitarian corridor, from 00.00 Moscow time on July 20, 2023, all ships en route to Ukrainian ports in the Black Sea waters will be considered as potential carriers of military cargo.

The flag countries of such vessels will be considered involved in the Ukrainian conflict on the side of the Kyiv regime.”
 
Hahahahaaaaa,Russia bhana!
 
Na hiyo bandari imepata kipigo haiwezi kufanya kazi kwa Sasa
 
Yani ukiwa upande wa haki/Urusi ni raha sana.
Fikiria jana wananyeto wamefurahi sana kujeruhiwa kwa daraja la Crimea bila kujua kinachofuata... Leo wananung'unika eti Urusi kuharibu bandari ya Odessa kutaleta njaa ya chapati duniani 😁😁
Tuliwaambia,ukimpa putin robo kilo ya nyama,yeye ni muungwana anakupa ng'ombe mzima!
 
Zelensk ameamua kutuletea njaa Africa.sijui nani alimpa ushauri wa kwenda kupiga daraja la Crimea.kasababisha ngano yote imekwenda na mma
Njaa wanayo wazungu ndio maana walikuwa wanapambana kwa njia zote ili mkataba uendelee.
Wazungu wanasingizia Afrika ila meli zilizobeba ngano zikitoka bandarini wanazielekeza kwao.

Inasemekana tangu mkataba umesainiwa, ngano iliyokuja Afrika ni 3% tu ndio maana Medvedev amemshauri Putin kuwa wachome bandari ya Odessa ili kilio kitokee moja kwa moja kwa maadui zao ambao wanatamba kwa kula ngano inayopewa ulinzi na jeshi la Urusi
 
Hii issue ya Crimean Bridge imewachukiza sana Russia, na as I said majuzi hapa kua walichokifanya Ukraine kwenye hilo daraja ukilinganisha na Consequences watakazopata wao ndio wapo kwenye hali ya kuumia zaidi.

Hiyo Grain Corridor aliekua akinufaika nayo sana sana ni yeye mwenyewe Ukraine ikikadiriwa wao kuingiza up to USD 9 billions huku Russia akipata hasara inayokadiriwa kama 1 Billion rubles, takribani kama dola million 10 ila hakuacha kushiriki kuonesha Good Gestures kwa majirani zake na dunia nzima kwa ujumla.

Sasa wao wakaamua kutumia mwanya huo kufanya issue zao na leo zinawatokea puani.

Haya sasa Daraja kule linarekebishwa na soon litakua full restored je wao na Odessa watapitishia wapi ngano zao?

Waswahili tuna msemo wetu, mtoto akililia wembe mpatie kama ukim-kata atajifunza.
 
Mkuu nami nikili hawa Mashoga wa magharibi walinirubuni mno...walipomgusa Ghadafi ndo nikaanza kama kuelewa kuwa nishapigwa! ila hii SMO ya Ukraine ndo nimewachukia mazima...ni wanafiki wa viwango vyote!
 
Huyu Msanii akija kujua hii sio sanaal atakuaa mebakia na gofu
 
Duh Saaa itakuwaaaajeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…