mbaghato chaka
JF-Expert Member
- Jun 6, 2021
- 519
- 664
Ango ha goi nolo gange nago?Alihoi ma gilig'oma
Ango ha goi nolo gange nago?Alihoi ma gilig'oma
Na bado kanatumikaKamepigwa tena
Jeshi la Urusi lilivyoanzia huko kwenda Kyiv walipata matokeo gani?Wanajeshi wa ukraine wanaowagopa wagner kuliko kifo. Siku wagner wanaondoka Bakhmut Wakufunzi wa kijeshi walitumia clip za kuondoka kwao kuwapa motisha wanamgambo wa Ukraine. Sasa wazee wa santuri anytime wataanza kazi kuelekea kyiv sijui hali itakuwaje huko.
Umesikia Nani?Nasikia daraja la Crimea limeshambuliwa tena.