D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Mwezi wa 8 unakaribia, wagner wanarudi uwanjani.
Msafara wao umeonekana mitaa ya kharkiv
Msafara wao umeonekana mitaa ya kharkiv
Acha kututisha banaMwezi wa 8 unakaribia, wagner wanarudi uwanjani.
Msafara wao umeonekana mitaa ya kharkiv
Wakijitahidi sana kusema wanakwambia Rais analipwa TGS-B😀Wenzetu wako vizuri hadi mshahara wa rais unawekwa wazi, Sisi huku kwetu hata mshahara wa mtendaji ni Siri mshahara unaojulikana ni wa mwalimu tu😄😄😄😄😄😄
.Mambo yanakaribia kuiva. Kiev kaeni chonjo.
View attachment 2690104
[emoji635][emoji1022][emoji1044] At the border crossing "Zvenchatka-Ponyatovka" between Russia and Belarus, the flag of the "Orchestra" has been raised.
[emoji837] @DDGeopolitics
Katema shudu sijapata kulisikia huyo jamaa stupid kabisaUkraine wanakomaa waingizwe Nato, article 5 ya nato inawahitaji member wote kuingia vitani pale mwenzao anapovamiwa. Ukraine yuko vitani na Urusi so nato wakimu accept Ukraine kama mwanachama wakati vita inaendelea maana yake automatically Nato wanatakiwa kuingia vitani direct dhidi ya Urusi. So kwa kwa kuliona hili nato wamemkataa ukraine hadi vita itakapokuwa imeisha. Sasa swali ni je kama vita ikiisha tu, ukraine anajiunga nato, Urusi watakubali hii vita iishe? Mpaka hapa ni dhahiri kwamba kwa maslahi mapana ya kiusalama ya Urusi, nchi yao ni salama Ukraine akiendelea kuwa vitani so hili mbungi bado tuko nalo sana haliishi leo wala kesho.
Credit: Gwandumi Mwakatobe akichangia leo kwenye maoni mbele ya meza ya duara idhaa ya kiswahili ya sauti ya Ujerumani.
Halafu Kuna vijimarekani vinavyoishi humu vinasema Urusi ni wachokozi.
Ambayo ni sawa na kias ganWakijitahidi sana kusema wanakwambia Rais analipwa TGS-B[emoji3]
Typical NATO suporter.Katema shudu sijapata kulisikia huyo jamaa stupid kabisa
Orchestra Safari Sound, mambo mpitompito.Mambo yanakaribia kuiva. Kiev kaeni chonjo.
View attachment 2690104
🇷🇺🏴🇧🇾 At the border crossing "Zvenchatka-Ponyatovka" between Russia and Belarus, the flag of the "Orchestra" has been raised.
🔴 @DDGeopolitics
Huyu alikwenda Kyiv na akauchana ule mkataba wa amani wa Russia na Ukraine.
Sijui, hua naona tu kwenye matangazo ya ajira serikaliniAmbayo ni sawa na kias gan
Bhebhe shi" hivi amawangatala gatale galiho mu si nange gashila?
Alihoi ma gilig'omaBhebhe shi" hivi amawangatala gatale galiho mu si nange gashila?