Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

India sijui kama wana rais ila wa Israel ni Isaac "Boogie" Herzog
Wanae

Droupadi Murmu is the 15th and current president, having taken office from 25 July 2022. The office of president was created when India officially became a republic on 26 January 1950 after gaining independence on 15 August 1947, when its constitution came into force.
 
The president of India (IAST: Bhārat kē Rāṣṭrapati) is the head of state of the Republic of India. The president is the nominal head of the executive,[a] the first citizen of the country, as well as the commander-in-chief of the Indian Armed Forces. Droupadi Murmu is the 15th and current president, having taken office from 25 July 2022.

President of India
Bhārat kē Rāṣṭrapati

Emblem of India

Flag of India

Incumbent
Droupadi Murmu

since 25 July 2022
Head of state of the Republic of India
Executive branch of the Indian Government
Style
    • Rāṣṭrapati‍ Mahodaya
      (Within India (Hindi))[1]
    • Hon’ble President
      (Within India (English))[1]
    • His/Her Excellency
      (Outside India)[1]
    • The Honourable
      (WithinCommonwealth)
TypeHead of state
AbbreviationPOI
Residence

President of the State of Israel
נשיא מדינת ישראל‎
Presidential Standard of IsraelSquare.svg
Presidential standard
Isaac Herzog, July 2021 (D1233-049).JPG
Incumbent
Isaac Herzog

since 7 July 2021
StyleHis Excellency
ResidenceBeit HaNassi
AppointerKnesset
Term lengthSeven years, non-renewable
Inaugural holderChaim Weizmann
DeputySpeaker of the Knesset
SalaryUS$173,255 annually[1]
WebsiteIsrael presidential website

​

​

Mimi lee van cliff najua fika kua India na Israel Wana Marais ila kwaifumo ya nchi zao hawasikiki sana.
Niliuliuliza vile ili kusaidia kujibu hoja ya memba mmoja alihoji kua waziri Mkuu wa Urusi hajukikani.nadhani mtoa hoja alitqkankueneza propaganda kua PM wa Urusi anakandamizwa,kumbe sio Bali ni mifumo ya Urusi ndio inamfanya asisikike.ndipo NAMI nikawaunga mkono wadau wenye mawazo hayo kwa kuhoji kuwa hata Marais wa India na Israel hawasikiki lakini wapo.

Droupadi Murmu is the 15th and current president, having taken office from 25 July 2022. The office of president was created when India officially became a republic on 26 January 1950 after gaining independence on 15 August 1947, when its constitution came into force.
 
Mkuu T14 Armata huwa una madini mazuri ila kwenye huu uzi ni sawa unajaribu kuwafundisha nguruwe usafi. Hapa naona wanakutusi tu hakuna wa kujibu hoja.
Mkuu!Humu jukwaa ujana(uhuni,matusi)umekuwa umetawala.hakuna lugha za staha wala busara!
Hakuna ule u-great thinker(ni vihoja,vijembe na matusi)
Inasikitisha sana!
 
Hiyo mizigo yote imetolewa kwa kiasi kidogo sana lakini matokeo yake yameonekana, mfano Himars
Mizigo ya nchi za NATO.
Michango mbalimbali.
Imetolewa kidogo.
Kwa hiyo NATO wamekubali kutoa silaha kidogo na kuiacha ukraine ikitandikwa sana na Urusi.
Hawa NATO Wana akili kweli,kwa Nini wasitoe mizigo mingi mara moja ili kuikalisha mazima Urusi?
Sasa wewe kwa kutoa kidogo unaona NATO Wana akili au wamejaza mimaji TU vichwani?

Mfano:
Wewe mwanao ameenda porini kupambana na majambazi.walikuja zizini kwako na kuiba ng'ombe wote,na majambazi hao wana bunduki kadha.
Wewe kwako una aina mbalimbali za silaha Kali za Bora zaidi hata kuzidi za majambazi kama AK 47,machine gun na aina nyingine za silaha Bora kabisa.
Unaamini kijana wako ni hodari kabisa wa kupigana na anajua kutumia silaha zote ulizonazo ndani,lakini wewe ukamua kumpa mikuki,mishale na upinde.je unamtkia mema mwanao?
 
Nilicgoandika kama kinakuchekesha una matatizo, hakuna lolote la kuchekesha. Ngoja nikuulize, kama hutaki Mishustin awe famous ni ipi ranking ya powerful men in Russia?
Yani command ya Russia kiserikali watano wa juu ni kina nani. Sababu kwa Marekani unayoitaja namna ilivyo wa kwanza in command ni Rais Biden na wa pili ni Vice Kamala na wote hawa wanasikika vizuri sana na Kamala anafanya ziara na kumuwakilisha Biden mara kibao. Sasa hapo unasemaje hasikiki?

Russia haina Makamu, Waziri Mkuu Bwana Mishustin anaonekana wapi. Kwenye Victory Day Parade sherehe kubwa zaidi kitaifa haonekani, ziara kimataifa haonekani, kuunga mkono operation haonekani, media akifanya matangazo na hotuba hamna. Yani anafichwafichwa anatokea mara chache mno.

1. Dmitry Medvedev ni maarufu kumzidi, wakati Medvedev ndio aliondolewa kwenye nafasi ya PM na aliwahi kuwa Rais term moja. Sasa hivi yuko Security Council anasikika kuliko PM.
2. Dmitry Rogozin kaobdolewa ROSCOSMOS na alikuwa Deputy PM ila ni maarufu na anasikika kuliko PM sema kwa sasa anaumwa.
3. Dmitry Peskov ni msemaji wa Putin ila ni maarufu na anasikika kuliko PM.
4. Sergei Shoigu ni Defence Minister, maarufu sana na anasikika kuliko PM wake. Huyu ni untouchable.
5. Sergei Lavrov huyu hakuna haja ya kusema mengi.
6. Sergei Naryshkin mkuu wa ujasusi ni powerful, maarufu kiasi kutokana na unyeti wa kazi na ana umuhimu sana. Hata mkuu wa usalama naye anasikika kuliko Waziri Mkuu.

Hao wote ukitazama kwenye ranking Mishustin anawazidi kikatiba ila hasikiki kuliko wao. Hata kwenye vikao vya emergency, sijui kupata war briefing, kwenye maadhimisho ya kitaifa, ile baada ya Prigozhin kuasi kote uko humuoni akiwa front. Huwezi kutetea, point hamna.View attachment 2688467
Mara zote za Putin kukaa kwenye meza ndefu na fupi kumkuta Mishustin ni nadra. Yani hata msemaji wa jeshi yule Igor Konashenkov anasikika na propaganda zake na hesabu za ajabu kuzidi Waziri Mkuu. Hata Maria anasikika mara chache chache
Acha kuingilia mifumo ya nchi za watu,jaribu kwanza kuoji mfumo wa nchi yako.

Kwetu hapa makamu wa raisi ana ngumu kuliko viongozi wote ukimtoa tu raisi.ila niambie mara ya mwisho kumsikia ilikuwa mwezi gani?.
 
Mimi sikubishii sababu sina hakika, nimetumia tu logic ndio maana nimesema pengine, ila wewe uko assured, tumalize maneno nisaidie rejea za kisheria zinazoonyesha Majukumu ya waziri mkuu wa urusi.
Mishustin ni kiongozi wa serikali na kazi zake ziko hii Chapter 6 Chapter 6. The Government of the Russian Federation | The Constitution of the Russian Federation

Na Russia ina Deputies wengi wa Waziri Mkuu. Ni kama ilivyo na Deputies wengi Wizara ya Ulinzi. Kazi za Deputy Prime Ministers hizi Delegation of responsibilities among Deputy Prime Ministers - The Russian Government
 
NATO ni watoto sana kwa Russia.
IMG_1842.jpg
 
The president of India (IAST: Bhārat kē Rāṣṭrapati) is the head of state of the Republic of India. The president is the nominal head of the executive,[a] the first citizen of the country, as well as the commander-in-chief of the Indian Armed Forces. Droupadi Murmu is the 15th and current president, having taken office from 25 July 2022.

President of India
Bhārat kē Rāṣṭrapati

Emblem of India

Flag of India

Incumbent
Droupadi Murmu

since 25 July 2022
Head of state of the Republic of India
Executive branch of the Indian Government
Style
    • Rāṣṭrapati‍ Mahodaya
      (Within India (Hindi))[1]
    • Hon’ble President
      (Within India (English))[1]
    • His/Her Excellency
      (Outside India)[1]
    • The Honourable
      (WithinCommonwealth)
TypeHead of state
AbbreviationPOI
Residence

President of the State of Israel
נשיא מדינת ישראל‎
Presidential Standard of IsraelSquare.svg
Presidential standard
Isaac Herzog, July 2021 (D1233-049).JPG
Incumbent
Isaac Herzog

since 7 July 2021
StyleHis Excellency
ResidenceBeit HaNassi
AppointerKnesset
Term lengthSeven years, non-renewable
Inaugural holderChaim Weizmann
DeputySpeaker of the Knesset
SalaryUS$173,255 annually[1]
WebsiteIsrael presidential website

​

​

Wenzetu wako vizuri hadi mshahara wa rais unawekwa wazi, Sisi huku kwetu hata mshahara wa mtendaji ni Siri mshahara unaojulikana ni wa mwalimu tu😄😄😄😄😄😄
 
Pro Nato wote sijui hawaoni aibu[emoji16] kipindi kile taarifa zikija kuwa Bakhmuti ishachukuliwa na Urusi wanahoma utasikia urusi wanachakazwa huko bhakhimuti, ikaenda media za ulaya propaganda zikaacha kabisa story za bhakmuti, leo hata hawakumbushii, sory imeisha Russia ni mwamba pale bhakhmuti.

Wakaja na counteroffensive hii walikuwa wanaipigia promo bila kusema wanataka kuirudisha bhakhmuti wakawa hawataji jina la mji wanasema tu kurudisha maeneo ya Ukraine.

Leo counteroffensive imekufa kabisaaa. Russia ia a king na isingekuwa sheria za kimataifa. Ukraine ingebak historia Duniani
 
Sio sheria za Kimataifa, Russia hakuna cha kumzuia sema Russia wana huruma sana.
 
Sio sheria za Kimataifa, Russia hakuna cha kumzuia sema Russia wana huruma sana.
Itakuwa aisee[emoji38]wanawapenda wa Ukraine
Ila sijui watu wa Ukraine wapoje nilidhani wajinga ni Afrika tu kumbe na weupe illiteracy ipo kichwani. Wanashindwaje kukomaa na Zalensky aachie madaraka kwa hasara anayoipa nchi? Wanapoteza watu wengi sana vitani na raslimali nyingi. Na wapo comfortable tu
 
Back
Top Bottom