Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mtu ambaye alitakiwa aliokoe jeshi la Urusi kuondokana na incompetency, rushwa, ukiritimba na matatizo mengine ni Anatoly Serdyukov. Huyu hata CV yake haidanganyi, kwanza alipitia kwenye kuongoza biashara zaidi kuliko siasa. Alivyoingia wizara ya ulinzi alileta mabadiliko makubwa kwa muda mchache akisaidia jeshi na military industrial production hasa renovations na upgrades. Miaka yake michache kama mitano aliyokaa jeshi likawa limenyooka baadae maofisa wakamchukia na Putin hakumtaka sana sababu ni competent na ana akili nyingiView attachment 2688031
Jamaa alikuwa hataki maofisa kukaa na hela, hela zinakaa na civilians alafu alipenda auditing aliyozoea kwenye biashara binafsi. Matokeo yake rushwa na ubadhirifu akaudhibiti na kesi za maofisa zikawa nyingi. Tendering ya silaha, orders na awards akafanya ziwe open kuwe na competition na iwe fair. Alafu hakuogopa kuchukua vitu vizuri kutoka nje, ndio aliondokana na hiyo aibu. Ndio aliwaleta Rheinmetall na makampuni mengine ya Ufaransa yalete teknolojia kubwa kwenye Murino training centre kambi kubwa pekee ya kisasa Urusi ambapo walifunga laser rangefinders, monitors, simulation rooms na vitu muhimu kwenye kufundisha tank crews, snipers na infantry. Hizo facilities zinasaidia pakubwa mafunzo yaliyokomaa ya wanajeshi wa Urusi.

Hawa viongozi waliofuata umuhimu ni ndio mzee kuliko uwezo wa kazi. Mfano nani anaona kazi ya Waziri Mkuu wa Urusi sasa hivi Bwana Mikhail Mishustin? Miaka mitatu sasa ila hata kusikika ni nadra.

Punyeto ina matatizo makubwa sana.

Yaani wewe upo huko kwenye mashamba ya mpunga, halafu eti unadai humsikii waziri mkuu wa Russia - Mikhail Mishusti.

Je, lini ulimsikia waziri mkuu wa Uganda? Unamfahamu hata anaitwa nani?

Punguza punyeto Bwana mdogo, Kila nchi ina mifumo yake ya ki-uongozi.
 
Achana na Uganda aseme kwa wakati huu Tanzania kati ya Majaliwa na Dk Slaa nani anatrendi.
.
.
KATAA PUNYETO NI HATARI KWA AFYA YA AKILI
 
Punyeto ina matatizo makubwa sana.

Yaani wewe upo huko kwenye mashamba ya mpunga, halafu eti unadai humsikii waziri mkuu wa Russia - Mikhail Mishusti.

Je, lini ulimsikia waziri mkuu wa Uganda? Unamfahamu hata anaitwa nani?

Punguza punyeto Bwana mdogo, Kila nchi ina mifumo yake ya ki-uongozi.
Kwamba mjomba ukipishana nae bafuni unakuta watoto kibao wa rangi ya maziwa wametapakaa kwenye floor
 
Wamarekani waanza kulialia kuhusu siraha mpya ya China ambayo ni kiboko ya Marekani.

IMG_20230715_095349_817.jpg

The Chinese army is developing a neuroweapon that will control the brain.

It is reported by The Washington Times.

The American edition published a report, which refers to the creation of special "neuroimpact" weapons by the specialists of the Chinese army.

It is assumed that such weapons are designed to influence and disrupt the brain activity of Western political leaders, including US President Biden. Or even the entire population.

Journalists believe that China is developing such weapons, seeking to win the role of the world's only superpower.

@Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
 
Unachekeshaga mda mwingine naona unaongelea mahaba zaidi kuliko uhalisia vipi Lin ulisikia kamala harson siku za karibuni kwenye shughuli zake zaidi ya ziara ya mwaka Jana tu afrika, alafu kila nchi inamfumo wake wa uongozi nchi nying za west waziri mkuu ndyo mtendaji mkuu na mratibu wa shughuli zote serikalin,miswada, sheria na miongozo yote wanasimamia na kuiratib wao raisi ni kama kivuli tu muidhinishaji vipi Lin ulisikia waziri mkuu wa China ameongelewa kokote au wajitoa ufahamu.

Alafu kila jeshi ni dhaifu sehemu yake ata awoo marekani unaowasifia kila ssiku kwamba wako competent kwenye maeneo mengi ni ssababu alipigana na vinchi ambavyo vilikosa usaidizi kokote kule Vietnam alikimbia baada ya kupata aibu ya karne au kudanganya namba ya watu waliokufa vitani. Ukrein anapata usaidizi kama aliopat vietnamu miaka ya nyuma tena zaidi ya kile ambacho vietnamu alikipata ila kurudisha ayo maeneo msahau tu itakuwa yaleyale ya Finland maeneo mchukuliwe alafu kkwenye vitabu mtaandika Russia alishindwa ili kujipoza machungu
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🙌🙌🙌🙌🇷🇺💪
 
Ndyo mawazo ya washindwa wazee wa NATO mkitoaga analysis zenu mtu anabakki kushangaa tu ivi ni kitu gani ambacho unaisi Russia hawezi ffanyaa et kwenye logistics kwa uchumi wa Russia hawezi aisee kweli vichhaaa ni wengi hii nchi
👏👏👏👏👏👏👏👏👏🤝🤝🤝🤝🤝🤝🙌🙌🙌🙌🙌🇷🇺💪
 
Mtu ambaye alitakiwa aliokoe jeshi la Urusi kuondokana na incompetency, rushwa, ukiritimba na matatizo mengine ni Anatoly Serdyukov. Huyu hata CV yake haidanganyi, kwanza alipitia kwenye kuongoza biashara zaidi kuliko siasa. Alivyoingia wizara ya ulinzi alileta mabadiliko makubwa kwa muda mchache akisaidia jeshi na military industrial production hasa renovations na upgrades. Miaka yake michache kama mitano aliyokaa jeshi likawa limenyooka baadae maofisa wakamchukia na Putin hakumtaka sana sababu ni competent na ana akili nyingiView attachment 2688031
Jamaa alikuwa hataki maofisa kukaa na hela, hela zinakaa na civilians alafu alipenda auditing aliyozoea kwenye biashara binafsi. Matokeo yake rushwa na ubadhirifu akaudhibiti na kesi za maofisa zikawa nyingi. Tendering ya silaha, orders na awards akafanya ziwe open kuwe na competition na iwe fair. Alafu hakuogopa kuchukua vitu vizuri kutoka nje, ndio aliondokana na hiyo aibu. Ndio aliwaleta Rheinmetall na makampuni mengine ya Ufaransa yalete teknolojia kubwa kwenye Murino training centre kambi kubwa pekee ya kisasa Urusi ambapo walifunga laser rangefinders, monitors, simulation rooms na vitu muhimu kwenye kufundisha tank crews, snipers na infantry. Hizo facilities zinasaidia pakubwa mafunzo yaliyokomaa ya wanajeshi wa Urusi.

Hawa viongozi waliofuata umuhimu ni ndio mzee kuliko uwezo wa kazi. Mfano nani anaona kazi ya Waziri Mkuu wa Urusi sasa hivi Bwana Mikhail Mishustin? Miaka mitatu sasa ila hata kusikika ni nadra.
Uko sawa sana
 
Ngoja nikuulize, kama hutaki Mishustin awe famous ni ipi ranking ya powerful men in Russia?
Russia haina Makamu, Waziri Mkuu Bwana Mishustin anaonekana wapi. Kwenye Victory Day Parade sherehe kubwa zaidi kitaifa haonekani, ziara kimataifa haonekani, kuunga mkono operation haonekani, media akifanya matangazo na hotuba hamna. Yani anafichwafichwa anatokea mara chache mno.

1. Dmitry Medvedev ni maarufu kumzidi, wakati Medvedev ndio aliondolewa kwenye nafasi ya PM na aliwahi kuwa Rais term moja. Sasa hivi yuko Security Council anasikika kuliko PM.
Pengine ni suala la mgawanyo wa majukumu zaidi, pengine PM ana deal zaidi na domestic issues kama elimu, afya, maji, miundombinu n.k ndio maana in respect na issues za int affairs ambazo sisi ndio tuko connected nazo zaidi kuhusu Russia, ndio maana hatumsikii kabisa.
 
Punyeto ina matatizo makubwa sana.

Yaani wewe upo huko kwenye mashamba ya mpunga, halafu eti unadai humsikii waziri mkuu wa Russia - Mikhail Mishusti.

Je, lini ulimsikia waziri mkuu wa Uganda? Unamfahamu hata anaitwa nani?

Punguza punyeto Bwana mdogo, Kila nchi ina mifumo yake ya ki-uongozi.
Badala ya kujibu alichoandika unamtukana.
 
Acha kujizima data basi kamala ana umaarufu gani kuliko waziri wa mambo ya nje au kuliko waziri wa ulinzi ukiachana na Biden anayefata ni waziri wa mambo ya nje na waziri wa ulinzi wengine wote hawasikiki kabisa tna kidogo kamala

Mishustin mwezi wa 5 alikuwa kwenye ziara ya China kumuwakilisha raisi sasa unataka asikike vip watendaji wakuu kwenye serikali za wenzetu hasa kwenye maswala ya kimataifa ni raisi au waziri mkuu kwa nchi nyingine waziri wa mambo ya ndani na waziri wa ulinzi awoo ndyo wanasikika sana kwenye midomo ya watu nchi zote kubw kuanzia marekani, uingereza, German ndyo mifumo ilivyo vipi ulishawai kumsikia waziri wa miundombinu wa USA au waziri wao wa elimu hii yote ni sababu wanahusika na maswala ambayo hayagusi nyanja za kimataifa moja kwa moja
Marekani ukitaja viongozi wakubwa watatu wanaotajwa sana Kamala yupo. Urusi ukitaja viongozi sita wanaotajwa sana Mishustin hayupo. Hiyo ndiyo tofauti
 
Mtu upo mashambani huko unashinda kwenye majaruba ya mpunga
Halafu eti unaleta habari kwamba Russia kwenye Military communications wapo nyuma sana.
Mara waziri mkuu wa Russia hajulikani, sio maarufu.

Fungua hii Link hapa chini uone USA wanavyolalamika Russia anavyo Jam GPS systems zao:
Sasa unawezaje kuingilia mawasiliano ya mtu ambaye anafanya jamming?

Link 1:

Link 2:

Punyeto sio kitu kizuri.
 
Back
Top Bottom