TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Na hili litekelezwe pasipo kupepesa macho!!! Maana wamechekewa sana!Kumekucha,
Statements by the Russian Ministry of Defense on the grain deal.
“In connection with the termination of the Black Sea Initiative and the curtailment of the maritime humanitarian corridor, from 00.00 Moscow time on July 20, 2023, all ships en route to Ukrainian ports in the Black Sea waters will be considered as potential carriers of military cargo.
The flag countries of such vessels will be considered involved in the Ukrainian conflict on the side of the Kyiv regime.”
Ndugu yangu tuanze kujizoesha kunywa chai na magimbi asubuhi maana chapati na maandazi yataadimikaZelensk ameamua kutuletea njaa Africa.sijui nani alimpa ushauri wa kwenda kupiga daraja la Crimea.kasababisha ngano yote imekwenda na mma
Russia anaweza kujaza hilo gap kwa sababu ndio ya kwanza au ya pili kwa uzalishaji wa ngano dunianiNdugu yangu tuanze kujizoesha kunywa chai na magimbi asubuhi maana chapati na maandazi yataadimika
High life in russia maybe , kadirisha gani hako kama kukuJamaa kaonekana Belarus anaishi kifahari
View attachment 2687778
Prigozhin in Belarus living the high life.
Jana watu walikuwa wanashangilia daraja kushambuliwa ila sisi tulijua kabisa kinachoenda kuwakumba ndugu zetu.sasa zaidi ya tani elfu 60 za ngano zimeteketeaNdugu yangu tuanze kujizoesha kunywa chai na magimbi asubuhi maana chapati na maandazi yataadimika
Jana watu walikuwa wanashangilia daraja kushambuliwa ila sisi tulijua kabisa kinachoenda kuwakumba ndugu zetu.sasa zaidi ya tani elfu 60 za ngano zimeteketea
Nato ni mashetani wao walijua kile kikao chao cha juzi kimedoda huyo comed wanaemtumia kama choo kaambiwa makavu kutokana na uhalisia wa uchumi wa nchi za Nato ambazo ziko hoi...Chai tu ya rangi kule kwaoni tsh 8000 kikombe tuDuh 😒
View attachment 2693707
View attachment 2693708
View attachment 2693709
After these photos 👆 not a single grain trader will put the ship on loading.
As we wrote earlier, Ukraine earned $9.2 billion from the “grain deal”.
Repair of the Crimean bridge will cost about $12-15 million and take up to 4 months.
Well, it was worth it 🤣
Hii think tank ya West inabidi ichunguzwe, wametoa boko si kidogo.
Watairudisha hiyo bandari! Wameweza kurudisha miundo mbinu ya umeme nchi nzima kwa week ijekuwa bandari 1Nato ni mashetani wao walijua kile kikao chao cha juzi kimedoda huyo comed wanaemtumia kama choo kaambiwa makavu kutokana na uhalisia wa uchumi wa nchi za Nato ambazo ziko hoi...Chai tu ya rangi kule kwaoni tsh 8000 kikombe tu
ukiagiza nyama robo na viazi 2 Euro 31 sawa na elf 88 maisha magumu sana kwa watu wao....
Wakaona wakipiga hapo Crimea basi watapata kiki imagine...
Sasa Bandari yao yote chali sio mchezo...
Hizo ndo akili zako au bado siyo zenyewe? Au unawatia moyoWatairudisha hiyo bandari! Wameweza kurudisha miundo mbinu ya umeme nchi nzima kwa week ijekuwa bandari 1
Tafuta mashamba morogoro. Magimbi na mihogo juiNdugu yangu tuanze kujizoesha kunywa chai na magimbi asubuhi maana chapati na maandazi yataadimika
Kwani imebebwa. Bado wanayo . Sema wataikarabatiWatairudisha hiyo bandari! Wameweza kurudisha miundo mbinu ya umeme nchi nzima kwa week ijekuwa bandari 1
Mkuu walirejesha 50% na mafundi hakuna , juzi walilalamika kuwa mafundi wote walipelekwa mstari wa mbele na wengi wao wameshauliwa.Watairudisha hiyo bandari! Wameweza kurudisha miundo mbinu ya umeme nchi nzima kwa week ijekuwa bandari 1
Inabid wale jamaa wa vikao waitishe ili kujadili hii kadhiaDuh [emoji19]
View attachment 2693707
View attachment 2693708
View attachment 2693709
After these photos [emoji115] not a single grain trader will put the ship on loading.
As we wrote earlier, Ukraine earned $9.2 billion from the “grain deal”.
Repair of the Crimean bridge will cost about $12-15 million and take up to 4 months.
Well, it was worth it [emoji1787]
Hii think tank ya West inabidi ichunguzwe, wametoa boko si kidogo.