Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vikosi vya Urusi vyasalimu Amri na kuyakimbia baadhi ya maeneo huko Bakhmut[emoji108]
......
Wamesalimu amri wapi mbona hii habari yako haisemi hivyo?hapo wameandika partial success unajua maana ya partial success?Acha upotoshaji
 
Ni kweli mkuu ilikuwa lazima deal la chakula kusitishwa, maana mwaka Jana walisema kama mrusi Asiporuhusu chakula kutoka nchi za kiafrika zingekufa njaa, na shirika la chakula la kimataifa likakazia hayo maneno na kusema kuna tishio la njaa afrika na dunia Kwa ujumla, cha kushangaza mwaka Jana zilitoka tani 32•1milioni za chakula na afrika zilikuja tani 900,000 tu zilizobaki zote zilienda ulaya, Kwa hiyo kiufupi muathirika mkuu wa hili kufa na ulaya na Siyo afrika

Africa inatumika kama kiombeo [emoji23][emoji23]
Kwanza walitukana hata ule msafara wa marais wa africa kua walichofata ni kuendekeza matumbo Yao hii ilikua kejeli kubwa na tusi kwa wa africa
Ila bdo mijitu inawatetea west pumbavuuu
 
Vikosi vya Urusi vyasalimu Amri na kuyakimbia baadhi ya maeneo huko Bakhmut[emoji108]
......
Anayesalimu amri atakimbiaje? Au haujui maana ya kusalimu amri?

Takataka a.k.a takotako wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamesalimu amri wapi mbona hii habari yako haisemi hivyo?hapo wameandika partial success unajua maana ya partial success?Acha upotoshaji
Hii ndio "Title/Kichwa cha habari"
......
"

General Staff: Russia retreats from positions near Orikhovo-Vasylivka in Bakhmut direction"​

Neno "Retreat "kwenye kamusi ya kiswahili ni:kurudi nyuma/kusalimu amri.
Soma artcle nzima sio unasoma nusunusu halafu unakimbilia kujibu!
 
kuna jamaa alitwambia jeshi la urusi ni dhaifu kwenye nyanja ya mawasiliano, wanajeshi wao wanatumia radio call za mgambo.

We have a communication problem, the walkie-talkies do not work. They have such (strong) electronic warfare ... after a hundred meters I can’t hear a person on the radio. I see him, but I can’t hear him.”
— Sergey Alymov, captain of the 72nd mechanized brigade of the AFU

Russia FM LAVROV: "We know what we are fighting for. Let the West discuss Ukraine’s fake offensive every day, the difficulties created by Russia for the counteroffensive and for their goals of liberating all territory within the 1991 borders...Let them stew in their own juice in their flourishing garden (as Josep Borrell put it). As for “the jungle,” as Borrell called the Global South, let it determine its actions proceeding from its national interests."
 
Huyu Msanii akija kujua sio hii sio sanaaa amebakia na gofu
.
JamiiForums-609949113_111137.jpg
 
Ukimwaga mboga namwaga ugali

[emoji298]From July 21, 2023, all ships on the Black Sea heading to Russian ports and Ukrainian ports temporarily occupied by Russia could be considered by Ukraine as potential carriers of military equipment with all the relevant risks, the Ukrainian Defense Ministry has said.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Itakuwa aisee[emoji38]wanawapenda wa Ukraine
Ila sijui watu wa Ukraine wapoje nilidhani wajinga ni Afrika tu kumbe na weupe illiteracy ipo kichwani. Wanashindwaje kukomaa na Zalensky aachie madaraka kwa hasara anayoipa nchi? Wanapoteza watu wengi sana vitani na raslimali nyingi. Na wapo comfortable tu
Chanjo walizowachanja + mapz ya jinsia Moja mtu akili itatoka wap!!!![emoji848]
 
C.c MK254 ukimwaga mboga namwaga ugali

Urusi juzi ilitangaza kupiga meli zinazoenda Ukraine, haya na Ukraine wamejibu, watapiga meli za mizigo zinazopita baharini kwenda Urusi.

KYIV, July 20 (Reuters) - Ukraine's Defence Ministry said on Thursday it would consider all ships travelling to Russian ports and Ukrainian ports on the Black Sea that are occupied by Moscow as potential carriers of military cargo from July 21.

A day after Russia said that any ships travelling to Ukraine's Black Sea ports will be seen as possibly carrying military cargoes, the Ukrainian defence ministry said it could repel what it called Russian aggression at sea.
---

"The fate of the cruiser 'Moskva' proves that the Defence Forces of Ukraine have the necessary means to repel Russian aggression at sea," the ministry said, referring to the flagship of Russia's Black Sea Fleet which was sunk last year.

"Ukraine's Ministry of Defence warns that from 00:00 on July 21, 2023 (2100 GMT on Thursday) all vessels heading in Black Sea waters in the direction of the Russian Federation's seaports and Ukrainian seaports on Ukrainian territory temporarily occupied by Russia may be considered by Ukraine as carrying military cargo with all the relevant risks."

Russia this week quit the Black Sea Grain Initiative that was brokered by the United Nations and Turkey a year ago and allowed safe Black Sea shipments of Ukrainian grain, and revoked guarantees of safe navigation.

Ukrainian officials want to continue the Black Sea grain shipments and are trying to establish a temporary route.

The Ukrainian Defence Ministry also said that navigation in the northeastern part of the Black Sea and the Kerch-Yenikal Strait of Ukraine was banned as dangerous from 05:00 a.m. (0200 GMT) on July 20.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ukimwaga mboga namwaga ugali

[emoji298]From July 21, 2023, all ships on the Black Sea heading to Russian ports and Ukrainian ports temporarily occupied by Russia could be considered by Ukraine as potential carriers of military equipment with all the relevant risks, the Ukrainian Defense Ministry has said.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wana hiyo capability ya kuzuia meli za kirusi?
 
Back
Top Bottom