kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kama MOSCOVA, mfalme wa black Sea fleet alichakazwa unategemea nini zaidi kutoka Kwa hao wengine [emoji1787]Wana hiyo capability ya kuzuia meli za kirusi?
Hata Kerch bridge mmelipiga, Sasa unataka kusema nini?Kama MOSCOVA, mfalme wa black Sea fleet alichakazwa unategemea nini zaidi kutoka Kwa hao wengine [emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mbona Sasa unajijibu mwenyewe?Hata Kerch bridge mmelipiga, Sasa unataka kusema nini?
kuna jamaa alitwambia jeshi la urusi ni dhaifu kwenye nyanja ya mawasiliano, wanajeshi wao wanatumia radio call za mgambo.
We have a communication problem, the walkie-talkies do not work. They have such (strong) electronic warfare ... after a hundred meters I can’t hear a person on the radio. I see him, but I can’t hear him.”
— Sergey Alymov, captain of the 72nd mechanized brigade of the AFU
Wasogeze pua wanuse wataonaPentagon Spokesman John Kirby made clear the US will not send warships to escort commercial vessels from Ukraine.
Following the recent decision to cancel the grain deal between Russia and Ukraine, U.S. has officially announced its decision not to use warships to escort commercial ships leaving Ukrainian ports. "We have only one way left - land. This involves the
Mkisikia USA kuogopa ndio Huku.
Na mkisikia Urusi ni wababe ndio huku
Miamba ya Moscow imeshatoa Tamko,wasogeze meli zao na bendera za nchi zao ,halafu wasikilize mlio itatokea wapi.Wasogeze pua wanuse wataona
Russia Ni dubwana kubwaMiamba ya Moscow imeshatoa Tamko,wasogeze meli zao na bendera za nchi zao ,halafu wasikilize mlio itatokea wapi.
Halafu linafanya mambo yake bila papara,hatua kwa hatua.Russia Ni dubwana kubwa
Warusi wanapenda vita kuliko kula[emoji1787]Halafu linafanya mambo yake bila papara,hatua kwa hatua.
Unapewa kipogo Cha chini,ukiwa mjeuri unaongezwa dozi,ukiaza shingo unashushiwa dhahama,ukijifanya nunda unaangushiwa tsunami,ukija kushitika umekwisha chakaa .
Tutakula maharage ya ukweniNdugu yangu tuanze kujizoesha kunywa chai na magimbi asubuhi maana chapati na maandazi yataadimika
Acha uongoMbona Sasa unajijibu mwenyewe?
Ndio maana Ukraine kwa Sasa anaweza kufanya chochote hapo black sea..,kwa Hali hiyo kama wizara ya ulinzi ya Ukraine ilivyotangaza,meli zote., ziwe za abiria au za mizigo kuelekea port za urusi zikae mkao wa kula!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
akili lazima imkaeZelensky amuomba turkey kuescort meli zake ........ unfortunately turkey wamtolea nje
Ukrainian grain ships transiting the Black Sea are unlikely to get an escort from Turkish warships, according to reports in US media on Tuesday.
After the Black Sea grain deal allowing for the export of Ukrainian and Russian grain and fertilizers was allowed to expire on Monday, Kiev has been struggling to find ways to get its product to market. One option was apparently to appeal to Ankara for help, but the NATO ally is unlikely to take such “a highly risky move,” according to an official familiar with the matter who spoke with a US newspaper on Tuesday.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ndugu zake wa vikwazo wanasemaje?, Waweke vikwazo mpaka mzigo uwe unapita hapo black seaZelensky amuomba turkey kuescort meli zake ........ unfortunately turkey wamtolea nje
Ukrainian grain ships transiting the Black Sea are unlikely to get an escort from Turkish warships, according to reports in US media on Tuesday.
After the Black Sea grain deal allowing for the export of Ukrainian and Russian grain and fertilizers was allowed to expire on Monday, Kiev has been struggling to find ways to get its product to market. One option was apparently to appeal to Ankara for help, but the NATO ally is unlikely to take such “a highly risky move,” according to an official familiar with the matter who spoke with a US newspaper on Tuesday.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwa hesabu za panya urusi tayar nimepoteza wanajeshi milion 8Usihangaike na huyo Kp Kipanya 44. Huyo ni copy ya yule Afande Rama