Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwenye hii Biashara ya grain deal, kuna makampuni mengi sana ya western Europe yatapata financial shocks, Makampuni ya:

  • Meli - shipping companies
  • Shipping agencies
  • Banks
  • Insurance companies
  • Makampuni yanayohusika kuuza nafaka
  • Makampuni yanayofanya kazi ndani ya hizo meli, etc
Yaani mnyororo wa hasara ni mkubwa sana.
Sasa hivi, utasikia wazungu wanaanza kupiga kelele
 
Russia Navy wameifunga Black sea yote na kuanza kufanya mazoezi ya kijeshi.
Hakuna meli yoyote kukatiza.

Hii imefata baada ya kupiga maghala ya nafaka na miundombinu ya Oddesa port.

Hii inaonyesha Russia hawataki tena hizi habari za grain deal.



View attachment 2695845
Acha awanyoshe ili washike adabu!
 
Kwenye hii Biashara ya grain deal, kuna makampuni mengi sana ya western Europe yatapata financial shocks, Makampuni ya:

  • Meli - shipping companies
  • Shipping agencies
  • Banks
  • Insurance companies
  • Makampuni yanayohusika kuuza nafaka
  • Makampuni yanayofanya kazi ndani ya hizo meli, etc
Yaani mnyororo wa hasara ni mkubwa sana.
Sasa hivi, utasikia wazungu wanaanza kupiga kelele
Af nimeona BBC wameandika et Baa la njaa kuikumba AFRICA, wakat Africa ilipokea kias kidg cha nafaka.

Sijui western wanatucjukuliaje!!!!!!
 
Af nimeona BBC wameandika et Baa la njaa kuikumba AFRICA, wakat Africa ilipokea kias kidg cha nafaka.

Sijui western wanatucjukuliaje!!!!!!

Wewe unafikiri watu ambao wwnafikiria ni namna gani mwanamke atamwingilia kwanamke mwenzake; na namna gani mwanaume atamwingilia mwanaume mwenzake na wakaganya!!! Hao watu watakua na akili sawasawa??!?

Njaa iwakumbe wao, watusingizie sisi, Lol! Acha wanyooshwe na Dubu.
 
Kwenye hii Biashara ya grain deal, kuna makampuni mengi sana ya western Europe yatapata financial shocks, Makampuni ya:

  • Meli - shipping companies
  • Shipping agencies
  • Banks
  • Insurance companies
  • Makampuni yanayohusika kuuza nafaka
  • Makampuni yanayofanya kazi ndani ya hizo meli, etc
Yaani mnyororo wa hasara ni mkubwa sana.
Sasa hivi, utasikia wazungu wanaanza kupiga kelele
Let them continue to put out the fire with spit.
 
Af nimeona BBC wameandika et Baa la njaa kuikumba AFRICA, wakat Africa ilipokea kias kidg cha nafaka.

Sijui western wanatucjukuliaje!!!!!!

Wazungu ni washenzi sana.

Huku Africa chakula chetu kikuu ni ugali & wali - nyama, samaki, dagaa na maharage (pia kuna mihogo, viazi etc).
Sasa ukosefu wa ngano unasababisha vipi njaa kwa Africa.?

Wazungu hawali ugali, wanategemea vyakula vitokanavyo na ngano.

Na ndio maana Rais Putin alisema kwamba, kwenye hii grain deal, kiwango kikubwa cha ngano kimeenda ulaya.
 
Af nimeona BBC wameandika et Baa la njaa kuikumba AFRICA, wakat Africa ilipokea kias kidg cha nafaka.

Sijui western wanatucjukuliaje!!!!!!
We are a superior race,ndio maana wanatuchukia sana,na sio wao,mtizamo huo umewekwa ndani yao na Shetani. Just scorn them off.Watch the following clip👇,utajifunza mengi sana about Satan's plans specifically about Africans,but also about humanity.

 
We
Russia amejitoa kwenye dili la kusafirisha ngano, ulaya nzima wanalalamika.


Wakati wao wamemuwekea vikwazo vya kila aina.

Russia ni dude kubwaaa!!!
We chekelea tu huko kwenu si mnashindia chapati?

Ngoja ngano ipande bei ndio akili zitawakaa sawa. Sisi huku wala ugali hatuna noma hata hilo zao likipotea kabisa.
 
Wazungu ni washenzi sana.

Huku Africa chakula chetu kikuu ni ugali & wali - nyama, samaki, dagaa na maharage (pia kuna mihogo, viazi etc).
Sasa ukosefu wa ngano unasababisha vipi njaa kwa Africa.?

Wazungu hawali ugali, wanategemea vyakula vitokanavyo na ngano.

Na ndio maana Rais Putin alisema kwamba, kwenye hii grain deal, kiwango kikubwa cha ngano kimeenda ulaya.
Wajinga wameaminishwa kwamba Africa tutapata njaa,kwa kuwa ngano ya Ukraine haiji kwetu,how stupid.Mbona sisi ngano is not part of our diet after all.

Halafu kuna utapeli mwingine mkuu. Tumeaminishwa kwamba mafuta yamepanda kwa sababu ya vita ya Ukraine na Urusi,wakati sisi mafuta yetu yanatokea Uarabuni! Mtu mwenye akili ungejiuliza,mbona China na India wanapata mafuta ya Urusi at a discount,why not us.Unapata jibu kwamba kuna uhuni na utapeli unaofanywa kwenye biashara hiyo,which has nothing to do with the Ukraine-Russia War.
 
❗️Russian MoD briefing on the progress of the special military operation in Ukraine during the last 24 hours:

🔺Russian forces repelled 24 enemy attacks, stopped four sabotage groups;

🔺Ukraine lost over 780 servicemen;

🔺Two ammunition depots, a jet fuel depot, 15 drones, two tanks, 20 armored vehicles, 16 vehicles, a US-made artillery system, two self-propelled artillery systems and 10 howitzers, including one UK-made, have been destroyed;

🔺Fifteen HIMARS multiple rocket launchers, three HARM anti-radar missiles, and one Storm Shadow cruise missile have been intercepted;

🔺In total, since the beginning of the special military operation, Russian forces destroyed 456 aircraft, 243 helicopters, 5,169 unmanned aerial vehicles, 426 anti-aircraft missile systems, 10,811 tanks and other armored combat vehicles, 1,139 combat vehicles of multiple rocket launchers, 5,562 field artillery pieces and mortars, as well as 11,803 units of special military vehicles
 
Ila west ni wabinafsi sana na sijui wanaowatetea hua wanafikra gani. Pamoja na bank ya kilimo ya Russia kuwekewa vikwazo hivyo kupelekea mazao na mbolea ya Urusi kutoweza kuuzika duniani bado Russia alikubaliana na hii deal inayoruhusu mazao ya Ukraine kufika sokoni na mostly kwa west ambao ndo wameweaka vikwazo kwa mazao na mbolea ya Urusi. Leo Urusi wanaona hii sio fair tunazuia mazao ya Ukraine kufika sokoni mpaka na sisi mtuhakikishie kwamba mazao yetu yatafika sokoni bila vikwazo bado west wanamlaumu Urusi. Hivi mnaowatetea west hua mnawaelewa sera zao au nini hasa hua kinawavutia kuwatetea hawa watu? Mbona wana double standards sana?
 
100,000 Russian Soldiers And 900 Tanks: Kiev Alarmed By Massive Offensive

Russian forces have advanced two kilometers on the northern front near the embattled Kremennaya area. Meanwhile, Ukraine's military command has sounded the alarm over a build-up of 100 thousand Russian soldiers and a large number of tanks in the north.

RT's Murad Gazdiev reports.

Subscribe to RT
 
NATO Told Zelensky Why It Won't Enter Conflict - Deputy Sec Gen

NATO Deputy Secretary General Mircea Geoana said that the alliance informed Vladimir Zelensky about its unwillingness to enter into a conflict with Russia at the summit in Vilnius on July 11-12, explaining it would lead to a conflict with Russia, "which is not included in the plans" of the organization.

Geoana explained the bloc's communications at a security forum organized by the Aspen Institute, while also insisting that the summit in Vilnius brought Ukraine closer to NATO.

Subscribe to RT
 
Ukraine Counteroffensive Produced ‘No Results’ - Putin

Russian President Vladimir Putin told a meeting with the permanent members of the Russian Security Council that western curators of the Kiev regime are clearly disappointed with the much-vaunted counteroffensive, as well as:

[emoji828]️ Ukraine’s mobilization resources and stockpiles of western weapons are depleted, while technological capabilities prevent them from being replenished quickly

[emoji828]️ Although US elites benefit from the prolongation of the Ukrainian conflict, people in Ukraine are "gradually, slowly getting sobered up," public opinion is changing in Europe as well

[emoji828]️ Traitors in Ukraine are ready to "open the gates" for foreign masters in the West and sell the country again

[emoji828]️ Polish leaders apparently expect to form a coalition under the NATO umbrella, intervene in the conflict in Ukraine and tear off a bigger piece, and want some of land in Belarus

Subscribe to RT
 
US Ambassador To China Hacked - report

Cyber thieves reportedly connected to Chinese authorities hacked into the emails of US Ambassador to China Nicholas Burns and US Assistant Secretary of State for East Asian and Pacific Affairs Daniel Kritenbrink, gaining access to hundreds of thousands of government messages, according to the Wall Street Journal.

Access to Burns and Kritenbrink's mailboxes could have given the hackers insight into Washington's planning for a recent series of visits by senior US President Joe Biden administration officials to China, as well as intra-agency discussions about US policy on China.

Cyber attacks began in May, but were first detected in mid-June ahead of US Secretary of State Anthony Blinken's visit to China, according to State Department cybersecurity experts and Microsoft.

Subscribe to RT
 
Putin Warns Of Poland’s Intentions In Ukraine And Belarus

Polish leaders are planning to form a NATO-backed coalition to intervene in the Ukraine conflict and take over parts of western Ukraine as well as, possibly, of Belarus, Russian President Vladimir Putin claimed on Friday.

Speaking at a meeting with permanent members of Russia’s Security Council, Putin said the government in Kiev is willing to go to any lengths to stay in power, including selling out its own people and handing over Ukrainian territories to “foreign owners.”

The first in line, according to the Russian president, are the Poles, who he claimed “probably expect to form some kind of coalition under the ‘NATO umbrella’ and directly intervene in the conflict in Ukraine, in order to then 'tear off' a bigger piece for themselves, to regain, as they believe, their historical territories – today’s western Ukraine.”

Subscribe to RT
 
North Korea Threatens US With Nuclear Retaliation

North Korea has threatened a nuclear response if the US deploys aircraft carriers, bombers, and missile submarines in South Korea, according to a statement shared by state media channel KCNA.

Pyongyang claims that despite repeated warnings, Washington and Seoul held a meeting of the “nuclear consultative group” on July 18 to allegedly discuss using nuclear weapons against North Korea.

North Korean Defense Minister Kang Sun-nam accused Washington and Seoul of going “beyond the ‘red line’ in their military hysteria,” and argued that the deployment of nuclear submarines and other strategic assets falls under the conditions for the use of nuclear weapons specified in North Korean military doctrine.

Subscribe to RT
 
Most Ukrainian Grain Does Not Reach Africa – Italian Def Min

Italian Defense Minister Guido Crosetto told La Stampa news outlet on Friday that only a tiny fraction of Ukraine’s grain exports are going to Africa, contrary to the goals of the Black Sea Initiative.

“Ninety-five percent of exported Ukrainian grain does not go to Africa, and when those countries don’t have the supplies they need they look elsewhere, and inevitably the global prices rise, making it even more difficult for African nations to import. It is destabilizing regions that are already in difficulty, and this problem clearly also affects Europe,” Crosetto said.

Russia has repeatedly criticized the West for failing to use the grain deal for its original purpose – to avert famine in poorer countries. According to Moscow, the vast majority of agricultural goods that should have been delivered to poorer nations, including those in Africa, have still not reached them and have instead ended up in Europe.

Subscribe to RT
 
Back
Top Bottom