Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Af nimeona BBC wameandika et Baa la njaa kuikumba AFRICA, wakat Africa ilipokea kias kidg cha nafaka.

Sijui western wanatucjukuliaje!!!!!!
Sisi Na Machapati wapi na wapi waaache Ujinga...
labda uarabuni huko ila sisi..
tuna option kibao:

viazi vitamu
viazi mviringo
Ndizi mzuzu
Magimbi
Mahindi

So sisi hatuna shida wao ndio wanafakamia Maburger huko kwao Majunk food ukienda super market pale London Nusu nzima imejaa madude hayo..
 
Wajinga hawa mashetani wakubwa ndio wanafadhili hii vita na kukatumia kale kamtu kajinga sana kuharibu nchi ile
 
Hao ni wapuuzi, Serikali zetu ni za Kishenzi.
Watafikwa na uhaba wa chakula kwao, watahonga serikalini watabeba chakula chetu choote kwa bei poa kabisa, wakatuacha tukisubiri msaada wa chakula kutoka kwao tena.

Hawatanii.
 
Wanatutupia Mzigo, kama kwenye Corono walivyosema tutakufa kama nzige. Hawana amana
 
Dah.

Ikweli mchungu huu
Pole sana mkuu mlidanganywa sana,na ninyi hamkujali kutafuta ukweli mkakubali uongo wao.Western Goverments are controlled by Satan 100%, so they are agents,morons and minions of Satan.What does this mean,it means they are like Satan,and Satan is the father of lies.Once more pole,but you should have been smarter.You have not been.
 
Ongezea mtama, ulezi, mihogo, ming'oko n.k.
 
Mkuu watu wanaowatetea the West wanajua wanalofanya,si kwamba hawajui.You know what,wapo kwenye payroll ya CIA or MI 16,lakini hasa CIA,na wengi wao wapo kwenye NGOs, biashara(hawa wanapewa biashara kama camouflage.Unamuona mtu ana biashara kubwa unadhani ni yake,kumbe ni manager tu).Wengine wapo serikalini,wengine kwenye vyama vya siasa,they are simply many.Hawa wote kula yao inategemea kwa kiasi kikubwa sana Western governments,hasa the US,so lazima wawe pro-west.

Niwakumbushe kwamba hawa watu wanatumika pia kama "State Capture Tools," so in principle they are our enemies.
 
Mchawi lugha
 
Ukraine has developed and is now testing its own medium-range air defense systems, Verkhovna Rada official Yehor Cherniev said during a televised broadcast on July 22.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]While Belarusian is one of the two official state languages in Belarus, under Lukashenko's regime the decision to speak, read, and write it can be a dangerous choice for Belarusians.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…