mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Nimeiona ile video putin anatamani kucheka lakini aahhhhhh!Wapolland wahaha baada ya Rais wa Belarus kudai kuwa Wagner wanataka kwenda kushambulia Poland .
Lukashenko said at a meeting with Putin that the “Wagnerites” began to strain him - they want to go to Poland.
“Maybe I shouldn’t have said it, but I will. The "Wagnerites" began to strain us. "I want to go to the West. Let us." I say, why do you need to go to the West? “Well, go on an excursion to Warsaw, to Rzeszow. I keep them in the center of Belarus, as agreed, I would not like to relocate them there, because their mood is bad,” Alexander Lukashenko said.
Kwamba wao watumie, ila Russia akitumia ataonyesha hayuko tayari Kwa mazungumzo. Niwapumbavu Sana West.Jamani russia wanatakiwa wakipigwa shavu la kulia wao wageuze la kushoto.
😁😁😩
The retaliatory use of cluster munitions will once again indicate Russia’s unpreparedness for peace negotiations,” NATO Secretary General Stoltenberg.
Pole mkuu.Muda mchache mambo mengi ndio maana nashindwa kujifunza
Mtu na shoga yake wanatekenyana na kucheka wenyewe.Naona wameamua kuchekesha sasa!!!!!!!!!!!!
Lukashenko tells Putin Wagner fighters 'want to go west'
Vladimir Putin says Ukraine's counteroffensive "has failed" as he hosted Belarusian leader Alexander Lukashenko for talks in St Petersburg.
According to Russian news agencies, Mr Lukashenko said: "There is no counteroffensive."
The Russian president reportedly replied: "It exists, but it has failed."
Source:Sky news : 23/07/2023
Kweli kabisa, Lukashenko ni kibaraka wa Putin na anaitegemea mno Urusi kusalia madarakani.Mtu na shoga yake wanatekenyana na kucheka wenyewe.
Mkuu watu wanaowatetea the West wanajua wanachofanya si sawa.You know what,wapo kwenye payroll ya CIA,na wengi wao wapo kwenye NGOs, biashara(hawa wanapewa biashara kama camouflage.Unamuona mtu ana biashara kubwa unadhani ni yake,kumbe ni manager tu).Wengine wapo serikalini,wengine kwenye vyama vya siasa,they are simply many.Hawa wote kula yao inategemea kwa kiasi kikubwa sana the West,so lazima wawe pro-west.
Niwakumbushe kwamba hawa watu wanatumika pia kama "State Capture Tools," so in principle they are our enemies.
[emoji3][emoji3][emoji23]Af nimeona BBC wameandika et Baa la njaa kuikumba AFRICA, wakat Africa ilipokea kias kidg cha nafaka.
Sijui western wanatucjukuliaje!!!!!!
Mkuu, ulichoandika ni ukweli ambao wengi hawataki kuukubali.Western Goverments are controlled by Satan 100%, so they are agents,morons and minions of Satan.What does this mean,it means they are like Satan,and Satan is the father of lies.
Ukweli huu ni kweli watu wengi hawataki,but whether they like or not ndio ukweli.Unajua kwa nini,kwa sababu watu wengi wamemkataa Mungu and they don't know Satan either,so wanatumia akili zao ambazo ni apostate in their judgement.Kwa jinsi hiyo hawawezi kuwa na good and rational judgment.Mkuu, ulichoandika ni ukweli ambao wengi hawataki kuukubali.
Silaha zilizobaki labda ni Nuclear pekee ila tofauti na hapo hakuna iyo silaha ambayo haijatumika UkraineKuna silaha Ukraine wameomba wapewe, silaha za kisasa zaidi, lakini US wamakataa wakihofia teknolojia yake kuangikia kwa mahasimu. Hujasikia hilo?!
muulize huyu analyst wanachokifanya Russia na Belarus kina tofauti gani na anachokifanya US na washirika wake kiusalama. Si hata article 5 ya nato inataka hiki hiki Russia watakachokifanya Belarus akishambuliwa?Kweli kabisa, Lukashenko ni kibaraka wa Putin na anaitegemea mno Urusi kusalia madarakani.
=========================
Putin is invading Belarus by stealth - analysis
By Sean Bell, military analyst
Belarusian leader Alexander Lukashenko met Russian President Vladimir Putin earlier today, ostensibly to discuss developing a strategic partnership between the two countries.
Lukashenko is a "puppet" of the Putin regime and has been described as the "last European dictator".
President Putin framed the discussions as Russia providing security guarantees to Belarus.
Any attack on Belarus will be considered an attack against Russia and will provoke an appropriate response.
However, behind the rhetoric, Russia is steadily increasing the number of Russian military forces in Belarus.
Russia has mounted military operations against Ukraine from Belarusian soil. It has launched air attacks from Belarusian airfields and Russia has recently forward-deployed tactical nuclear weapons on its neighbour's soil.
Ove the past few days, Wagner military personnel have moved into "temporary" camps in Belarus and are apparently being used to train the Belarus military.
Putin has made no secret of his desire to create a buffer-zone between Russia and the West.
He invaded Ukraine to stop it joining NATO and despite the invasion faltering, Putin remains focused on securing a buffer - the Donbas - between the two countries.
By infiltrating Belarus with thousands of Russian military soldiers, Putin is invading Belarus by stealth.
If Putin does seize Belarus, what would the West do in response?
When Russia invaded Ukraine, President Zelenskyy asked for international support, which the West was very happy to provide.
However, President Lukashenko would be very unlikely to ask for support in the event of a Russian coup.
In practice, there would be very little the West could do in response, despite the fact that such a move would be as unwelcome by the Belarusians as it was to Ukrainians.
A very worrying period for the Belarusian population.
Ukraine war latest: Putin 'invading Belarus by stealth'; Russia blames Kyiv for Odesa cathedral attack; Lukashenko says Wagner fighters 'want to go west'
Maisha bila changamoto hayanogi kwa hiyo hakuna haja ya kutoa polePole mkuu.