mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Nina mashaka na hiyo taarifa!Nimeona live akihojiwq na sijaona akisema hayo zaidi ya kusema ana furaha sana na mambo yaliyowekwa mezani na Russia lakini pia akasema Putin ni rafiki yake![emoji28]Zimbabwean President Emmerson Mnangagwa rejects free grain from Russia, — Reuters
"We are very grateful. But now we don't have a shortage of grain," Mnangagwa said. According to him, the country is fully supplied with food, and there are no problems with supply.
At the same time, the African Union considers the restoration of the grain initiative a priority.
Join our telegram channel for more videos - link in comments[emoji298]
#
Achana na habari za kipanya hajielewiiiiNina mashaka na hiyo taarifa!Nimeona live akihojiwq na sijaona akisema hayo zaidi ya kusema ana furaha sana na mambo yaliyowekwa mezani na Russia lakini pia akasema Putin ni rafiki yake!
Adi kiatu Putin, nampa maua yake
Shoigu Yuko Korea Kaskazini kwa mazungumzo na kiduku.
Huyu kwa sasa ni mtu wa 2 maarufu mwenye nguvu ndani ya Urusi baada ya Putin.
Safi sana!📌 seek compensation for damage from colonial policy, promote the return of cultural property;
Mwaka Jana waziri wakilimo wa RUSSIA [emoji635] alisema wanamipango yakuuza nje nafaka zaidi ya million ngapi nishasahau alitaja ngapiCrane ya kupakilia Nafaka imeshambuliwa Katika shambulio kubwa lililofanyika odesa usiku wa kuamkia leo. Miundombinu nyingi za bandari zimeharibiwa ikimaanisha huu ndyo mwisho wa Ukraine kusafirisha Nafaka kupitia bandari.
Nakwahali ilivyo Russia [emoji635] atakuja kupita na ODESSA na KHARKOV kama bonusNawahurumia sana raia wa ukraine,maana wanapiganishwa vita ambayo kamwe hawatakuja kushinda. Donetsk, Kherson, Luhansk, and Zaporizhzhia zimeenda hivyo. Wawe wapole wajifunze kua kushirikiana na USA nikama kushirikiana na shetan.
Nandio ukweli wenyewe RUSSIA [emoji635] anajua kucheza na akili za watu hasa wamagharibiMimi nawaza tofauti kidogo. Kuna uwezekano Russia alikuwa anatafuta uhalali wa kujitoa kweli makubaliano ya kusafirishwa ngano ya Ukraine kubwa zaidi ikiwa ni baada ya kugundua deal hilo limekuwa likitumiwa kama mwanya wa kuingiza silaha kupitia bandari ya Odessa. Pia deal hilo limekuwa linachagiza survivability kwa Ukraine na Europe kiuchumi.
Hivyo ni rahisi Russia kufanya damage kwake na kuisingizia Ukraine
Itakua vyema sana sababu belarus [emoji1044] itakua ipo kwenye mikono misalama sanaaaaaPutin: Aggression against Belarus is an attack on Moscow
We're hearing more from Vladimir Putin's televised remarks to his security council.
He's accused Poland of having territorial ambitions in parts of the former Soviet Union.
Addressing Polish leaders, he said they had "forgotten" that the "western part of Poland is a gift of Stalin to the country."
Moscow would consider any aggression against close ally Belarus, which was part of the Soviet Union, as an attack on Russia, he said.
He warned the Kremlin would react to aggression against Belarus "with all means at our disposal".
The Russian president's comments come after Poland's latest response this morning to Wagner troops beginning their training under Yevgeny Prigozhin in neighbouring Belarus.
As we reported at 6.47am, Poland's defence minister has decided to move troops towards its eastern border with Belarus.
==========================
Huenda Urusi itakuja kuimeza Belarus huko mbeleni.