Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Julian Assange yupo visiwani anakula bata si ndio.. Mu wajinga sanaaaa aseee...
 
JESHI LA WAGNER KUINGIA JIJINI NIAMEY NCHINI NIGER

Jeshi la Wagner linatarajia kuingia jijini Niamey wakati wowote kuanzia hivi sasa na kuhusika na ulinzi wa nchi dhidi ya maadui waliotangaza kuingia vitani nchini Niger.

Niger imebakiza siku nne tu zilizopewa na ECOWAS kuurudisha utawala wa zamani wa Niger uliokuwa unaoongozwa na Bazoum.
 
Ukimaliza kulia uandike vizuri🤣🤣🤣
 
Hii movie ilishatengenezwa?

Baada ya bakhmut, Prigozhin alisema mwezi august anarudi uwanjani ila akasema haitokuwa ukraine.

Prigozhin anafanya mapinduzi ya kijinga yanayomhalalishia kufukuzwa rasmi kwenye mipango ya jeshi la urusi huko ukraine.

Niger wanapindua nchi,

August 4, raisi wa Nigeria anawaruhusu wanajeshi kufanya operesheni ya kijeshi.

Wagner inasemekana wameweka makubaliano na serikali ya Niger.

August 5 ndio kesho, prigozhin alisema wanarudi mzigoni ila mpaka sasa ni kimyaa.

Ngoja nirudishe application ya telegram nikapate ubuyu wa Wagner
 
Hawa ECOWAS wanataka kupigana na Niger kwa maslahi ya nani hasa!
Afrika tuna shida sana,ni ngumu kujikomboa kwenye makucha ya mkoloni.
Tunahitaji vizazi zaidi ya 8 kujinasua kwenye ukoloni.
Wanataka kulibwaga kwa maslah ya sponsa


Braza Tinubu kwa umri wake na hali yake ya kiafya bila shaka anatafuta mwisho mwema


Sasa akisema awadindie west fasta utasikia shekau kafufuka
 
Ule wa prigo haukua uhaini, lilikua game kuwahadaa NATO[emoji28]
 
Sipati pcha Wanajeshi wa Nigeria watavopigwa kipigo Cha mbwa koko na Wagner[emoji16]
 
⚡️⚡️⚡️Hungary allowed to leave the European Union.

The former head of the Hungarian central bank, Andras Simor, said that the country is approaching the scenario of leaving the EU and this could become a real alternative to the current situation.

"If last year its probability was 10%, now it has increased to 20%-30%," the economist said in an interview with ATV⚡️⚡️⚡️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…