kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,389
- 4,935
Hakika usilolijua ni kama usiku wa kiza, hutaona lolote zaidi ya giza totoro. Wakati Russia anatangaza SMO zaidi ya mwaka na miezi kadhaa sasa wapo watu walioitabiria vibaya sana Russia, utabiri wao mbaya dhidi ya Russia, ulijengwa kwenye misingi ya West kua na nguvu kubwa kiuchumi na kijeshi, hivyo kudhania kua Russia aliingia mwenyewe choo cha kike... lakini Russia intelligence agencies zilikua na macho na Eagle katika kutazama mbali na kua na plan B na C, how?
Vikwazo vizito sana alivyopewa Russia, havijawahi kutokea kwa nchi yoyote nyingine toka ulimwengu kuumbwa!!! Kifupi Russia alikua anawekwa mtegoni, akishaingia kwenye mtego (kuingia vitani) awekewe vikwazo vya kiuchumi, awe weak na apigwe kivita.
Hesabu za West zilikua nzuri sana kwenye karatasi, ila zimekuja kubumba vibaya sana kwenye uhalisia. Mfano rahisi ni wa ulaya kuacha kutegemea nishati ya Urusi, hili limeonekana kua gumu sana kwao, wanalazimika kununua nishati ya urusi kupitia mtu wa tatu (third part) kwa bei mara mbili ya waliyokua wananunua awali. Ukitaka ushahidi ni simple tu ingia Google angalia bei ya nishati na mafuta na gesi kwa ulaya kabla na baada ya vita.
West walikua smart kutafuta alternative ya nishati, na mda huu walitaka kuigeukia Africa, walitaka kutengeneza bomba litakalosambaza nishati kutoka Nigeria mpaka kwao, Urusi ni kama wanacheza Chess kwa kusukuma kete nzito nzito, nchi ambazo bomba litapita kumetokea mapinduzi ya kijeshi, na serikali hizo z kijeshi zina uhusiano mzuri sana na Moscow.
Katika kupalilia mahusiano hayo, Moscow inatuma 'military machine' yao ya PMC Wager Group kwenda kulinda amani kwenye nchi hizo... nini kinaweza kutokea?
Masilahi ya west yanaguswa pakubwa, wakikubali kile kilichotokea africa magharibi, wataonekana dhaifu na ushawishi wao utapungua sana... watakua na machaguo mawili, kuingia vitani kupitia nchi marafiki wao (vibaraka) kuivamia kijesh Niger, au kukaa na Moscow kwenye meza ya majadiliano. Kwa sasa tusubiri na kuona kinachotokea pale Africa magharibi.