Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hakika usilolijua ni kama usiku wa kiza, hutaona lolote zaidi ya giza totoro. Wakati Russia anatangaza SMO zaidi ya mwaka na miezi kadhaa sasa wapo watu walioitabiria vibaya sana Russia, utabiri wao mbaya dhidi ya Russia, ulijengwa kwenye misingi ya West kua na nguvu kubwa kiuchumi na kijeshi, hivyo kudhania kua Russia aliingia mwenyewe choo cha kike... lakini Russia intelligence agencies zilikua na macho na Eagle katika kutazama mbali na kua na plan B na C, how?

Vikwazo vizito sana alivyopewa Russia, havijawahi kutokea kwa nchi yoyote nyingine toka ulimwengu kuumbwa!!! Kifupi Russia alikua anawekwa mtegoni, akishaingia kwenye mtego (kuingia vitani) awekewe vikwazo vya kiuchumi, awe weak na apigwe kivita.

Hesabu za West zilikua nzuri sana kwenye karatasi, ila zimekuja kubumba vibaya sana kwenye uhalisia. Mfano rahisi ni wa ulaya kuacha kutegemea nishati ya Urusi, hili limeonekana kua gumu sana kwao, wanalazimika kununua nishati ya urusi kupitia mtu wa tatu (third part) kwa bei mara mbili ya waliyokua wananunua awali. Ukitaka ushahidi ni simple tu ingia Google angalia bei ya nishati na mafuta na gesi kwa ulaya kabla na baada ya vita.

West walikua smart kutafuta alternative ya nishati, na mda huu walitaka kuigeukia Africa, walitaka kutengeneza bomba litakalosambaza nishati kutoka Nigeria mpaka kwao, Urusi ni kama wanacheza Chess kwa kusukuma kete nzito nzito, nchi ambazo bomba litapita kumetokea mapinduzi ya kijeshi, na serikali hizo z kijeshi zina uhusiano mzuri sana na Moscow.

Katika kupalilia mahusiano hayo, Moscow inatuma 'military machine' yao ya PMC Wager Group kwenda kulinda amani kwenye nchi hizo... nini kinaweza kutokea?

Masilahi ya west yanaguswa pakubwa, wakikubali kile kilichotokea africa magharibi, wataonekana dhaifu na ushawishi wao utapungua sana... watakua na machaguo mawili, kuingia vitani kupitia nchi marafiki wao (vibaraka) kuivamia kijesh Niger, au kukaa na Moscow kwenye meza ya majadiliano. Kwa sasa tusubiri na kuona kinachotokea pale Africa magharibi.
Mungu ajaalie wachague maongez lkn endapo km watachagua kulibwaga sisi raia wa kipato cha chini tutaisoma namba


Makosa atakayofanya Tinubu kwa kuingilia mambo ya ndan ya naija yanafanana na makosa aliyofanya Nyerere kwa kumsaidia Obote hali iliyopelekea uchumi wa bongo yetu kudorora na tukalazimika tufunge mkanda
 
Watu wanaharibu potential military target, super pawer anakazana kupiga maghala ya nafaka[emoji1787]
1691255232239.jpg
 
Endeleeni kupiga maghala ya nafaka,sisi tunapiga kwenye mshono

[emoji298]It will be "problematic" for Russia to repair its landing vessel Olenegorskiy Gornyak, which was reportedly hit by a surface drone on Aug. 4, in the near future, the Defense Ministry's Main Directorate of Intelligence's spokesperson Andrii Yusov said on Ukrainian TV on Aug. 5.

Learn more here: https://kyivindependent.com/militar...lenegorskiy-gornyak-in-near-future/[emoji298]
 
Tupate matangazo!!!!!!!!!!!!


Wagner forces in Niger instructing coup fighters - reports​


Wagner Group fighters are on the ground in Niger, "instructing" members of armed forces participating in an ongoing military coup, according to some media outlets.

LSi Africa report "instructors of the group of Russian mercenaries, Wagner" have arrived in the capital of Niamey to train putschists, having travelled from Mali.

This comes after reports emerged that the military junta had asked for help from the Wagner Group - with the expiry of the ultimatum imposed by the Economic Community of West African States (ECOWAS), scheduled for tomorrow.


Source:Sky news:05/08/2023
 
Watu wanaharibu potential military target, super pawer anakazana kupiga maghala ya nafaka[emoji1787]View attachment 2709440
Vifaru 10 tu vya Leopard unapata iyo ikiwa mpya kabisa.Warusi wameitumia sana na imepata majeraha tu sio kuwa imezama au imeteketa.

Sasa ebu tuje kwenye zile Leopard, zimepata majeraha au zimeteketea na kutelekezwa[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Tupate matangazo!!!!!!!!!!!!


Wagner forces in Niger instructing coup fighters - reports​


Wagner Group fighters are on the ground in Niger, "instructing" members of armed forces participating in an ongoing military coup, according to some media outlets.

LSi Africa report "instructors of the group of Russian mercenaries, Wagner" have arrived in the capital of Niamey to train putschists, having travelled from Mali.

This comes after reports emerged that the military junta had asked for help from the Wagner Group - with the expiry of the ultimatum imposed by the Economic Community of West African States (ECOWAS), scheduled for tomorrow.


Source:Sky news:05/08/2023
Bila kapicha ni ubatili mtupu....
 
Kivumbi na jasho [emoji23][emoji23] western Kila sehemu wanabanwa


Niger’s coup generals have asked for help from the Russian mercenary group Wagner as the deadline nears for it to release the country’s removed president or face possible military intervention by the West African regional bloc, a news report says.

The request came during a visit by a coup leader – General Salifou Mody – to neighbouring Mali, where he made contact with someone from Wagner, Wassim Nasr, a journalist and senior research fellow at the Soufan Center, told The Associated Press.



Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
[emoji1070][emoji1183] Chad rejects Niger coup intervention

Chad will not intervene in a coup in neighbouring Niger, the country's defence minister Daoud Yaya Brahim has said.

He made his remarks on state television on Friday, just as West Africa's regional bloc, ECOWAS, said it has devised a possible plan to reinstate ousted President Mohamed Bazoum.
IMG_20230805_215241.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Russia is "disrupting" the high-tech weapons used by Ukraine, rendering them useless , said Brian Clark, a senior research associate at the Hudson Institute of the American analytical center.

He claims that Russia is currently deploying hundreds of small mobile radio electronic warfare units along the front line.

Clark also claims that Russian technologies are able to block the coordinates of missiles coming from GPS, to eject Ukrainian drones and hide the signals of Russian radars that Ukraine uses to determine targets for attack.
IMG_20230805_220253.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1255] "12 Hours to Kyiv": Former Ukrainian Armed Forces General Warns of Impending Russian Army Offensive

[emoji404] "In the coming months, the Ukrainian Armed Forces should prepare for the 'worst-case scenarios'," warns retired Major General of the Ukrainian Armed Forces, Sergey Krivonos.

In his opinion, Kyiv is clearly underestimating the might of the Russian army, which could lead to devastating consequences, including a lightning-fast capture of the capital.

[emoji779]️The former officer is convinced that after the setback in the counteroffensive, the Russian Armed Forces will strike Ukraine and are capable of seizing Kyiv within 12 hours.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom