MwanaWA Ebrania
JF-Expert Member
- Oct 6, 2017
- 939
- 1,147
Balaaa imewakutaAskari wa Urusi waiga mbinu za jihadists/kigaidi kujitoa muhanga dhidi ya vikosi vya Ukraine [emoji848]
.....
Ukraine's General Staff shows suicidal attempt of Russian troops to advance in Zaporizhzhia Oblast
The General Staff of the Armed Forces of Ukraine (AFU) has shared a video of how the Russian occupiers carried out a suicidal attack on Ukrainian troops in Zaporizhzhia Oblast.www.pravda.com.ua
Mpunga utautunza wapi maghala yote Odesa yamekwenda na motoWakuu habari za masiku? nimekosekama jamvini nilikwenda kuvuna mpunga wangu, update ni aje?
baba hapa hapa bongo, mpunga bei kwa jumla kilo ni 2600 - yaani meno 32 yote nje. Kama upo hapa dar naweza kukupa walau kilo 20 utumie tumie home wakati tunatafakari namna Putin atakavyotoboa kwenye vita hii.Mpunga utautunza wapi maghala yote Odesa yamekwenda na moto
Sio vita braza ni spesho opereshenbaba hapa hapa bongo, mpunga bei kwa jumla kilo ni 2600 - yaani meno 32 yote nje. Kama upo hapa dar naweza kukupa walau kilo 20 utumie tumie home wakati tunatafakari namna Putin atakavyotoboa kwenye vita hii.
Inaenda kupoa hiyo operesheniSio vita braza ni spesho opereshen
Hawawezi Niger [emoji1183] labda ivamiwe toka nje ila ecowas hawatakaa wathubutu
Bwana yule alisema RUSSIA [emoji635] itapoteza ushawishi upande wa kijeshi[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️Map of African countries that have signed military agreements with Russia. western version)
Russia is increasingly isolated[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️
View attachment 2707504
Mbona hapa putin atapigana hata bureRussia anawatia vidole Ulaya.
Walisusia Gas ya Urusi waki buy time kuhusu pipeline kutoka Nigeria. Sijui itakuwaje sasa maana Niger mambo siyo shwari.
View attachment 2704314