Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tatizo la Niger wamepakana na Burkina Faso, Mali kule upande wa Magharibi ambao hawampendi kabisa Mfaransa na Ubeberu wake.
wacha nisaidie na map ya russia prescence in africa
na kama kuna nchi sijawekelea bendera nikumbushe
tt.jpg
 
Ukraine waendelea kukomboa ardhi yao.
Mdogomdogo mpaka watafikia malengo[emoji848]
.....

Hii chai ni mwaka 2 tunaenda mnakunywaga lakini mpaka sasa hakuna kilichofanyika. Wake up
 
Ukraine mmeshaimaliza ?
Wanasahau kwamba Poland ni NATO,wakimgusa basi Urusi inaanza kuoga mabomu ya masafa marefu ambayo Ukraine imenyimwa na kupewa mabomu ya masafa mafupi ya kuoperate ndani ya ukraine.
Naamini mpaka sasa ndo maana hawajafanya uamzi wa kuigusa Poland ,hapo NATO na USA wataingia mazima na mrusi ameishatepeta ni kumalizwa kabisa,tupate mafuta maana tumeichoka hii vita.
 
The Ukrainian military lost over 20,800 troops and more than 2,200 items of military hardware, including 10 Leopard tanks over the past month, Russian Defense Minister Sergey Shoigu told a conference call with military commanders: https://vk.cc/cpQlwg
Ok na mashambulizi dhidi ya poland yanaanza lini?
 
Wanasahau kwamba Poland ni NATO,wakimgusa basi Urusi inaanza kuoga mabomu ya masafa marefu ambayo Ukraine imenyimwa na kupewa mabomu ya masafa mafupi ya kuoperate ndani ya ukraine.
Naamini mpaka sasa ndo maana hawajafanya uamzi wa kuigusa Poland ,hapo NATO na USA wataingia mazima na mrusi ameishatepeta ni kumalizwa kabisa,tupate mafuta maana tumeichoka hii vita.
Yugoslavia mbona NATO mlitimba tu.... Watu tunaangalia habari mara mabomu au ulikuwa Mtoto!??...
 
[emoji636][emoji288] After the Russia-Africa Summit, the United Kingdom has decided to intensify its engagement with African countries. The UK's Foreign Secretary, James Cleverly, made this statement, emphasizing that London is "ready to seriously consider any requests from African leaders regarding capacity building and training in the British armed forces."

Cleverly stated that British troops can export the professionalism of the British military to the African continent, as he claimed that Russia and China have allegedly made "superficially attractive offers" to some African countries regarding security provision.

Cleverly's statements seem peculiar, especially considering that the UK government has reduced its aid budget to African countries by almost 19%, to £1.1 billion. Despite this, Cleverly intends to visit Ghana, Nigeria, and Zambia next week to take steps towards enhancing "mutually beneficial commercial relationships" with African nations.

Desperation.
 
France has the fourth largest gold reserves, 2.436 tons
without a single gold mine in France.
Mali, which was occupied by France, does not have any gold reserves in its banks,although it has 860 gold mines and produces 50 tons per year.

How did France get all that gold?
[emoji848]
#BurkinaFaso
#Niger
#Mali
IMG_20230801_025939.jpg
 
Africa

Is a continent with large reserves of gold, diamonds, copper, iron ore, bauxite & platinum.

South Africa is the world's largest producer of platinum.
DR Congo is the world's largest producer of cobalt and a significant producer of copper.
And at least 10 African countries feature among the world’s top 50 producers of gold.

Besides minerals, Africa has vast reserves of oil and gas, arable land & favourable climate, making it a significant producer of agricultural commodities including cocoa and coffee.

Africa is not underdeveloped, it is overexploited!

With proper administration and the right leadership, this continent will regain its former luster in a couple of generations!
IMG_20230801_030729.jpg
 
Wanajeshi wa Ukraine muda wowote wanaweza kuingia Crimea 🤔
....
 
IMG_20230801_073858_467.jpg


Joint statement of Mali and Burkina Faso:

"Any military intervention against Niger would be a declaration of war against Burkina Faso and Mali 🫡

Algeria also announced today that it will intervene militarily if anyone dares to attack Niger🪂

Its time to send some western weapons in Niger so French can feel it.
 
Back
Top Bottom