Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

​

VIDEO: Ukraine Troops SURRENDER en-masse; WHITE FLAGS on Tanks​

30 JULY 2023

VIDEO: Ukraine Troops SURRENDER en-masse; WHITE FLAGS on Tanks

Hundreds of Ukrainian troops, displaying white flags on their tanks and infantry vehicles, surrendered en-masse to Russia today. More and more common as troops see with their own eyes, it is hopeless to continue fighting.
Video from the battlefield shows the mass surrender.Too little,too late,many have lost their lives in this senseless war.

cc:Kipanya
Ulileta taarifa hapa kwamba NATO imeyaamrisha majeshi ya ukraine yaliyopo msitari wa mbele kuweka silaha chini na kujisalimisha,tupe update ya hiyo habari!
 
Ulileta taarifa hapa kwamba NATO imeyaamrisha majeshi ya ukraine yaliyopo msitari wa mbele kuweka silaha chini na kujisalimisha,tupe update ya hiyo habari!
Waliwashauri,lakini haikutekelezwa,I do not know what happened behind doors.Kubadilisha maamuzi ni kawaida baada ya ku-asses circumstances.Hiyo inatokea hata in personal life.
 
The commanders of "Azov" will participate in the war, there is no ban, — Commander of the National Guard Pivnenko

According to him, the Heroes-defenders of Mariupol are preparing and will perform their tasks, just like everyone else. In particular, the participation of Denys Prokopenko, depending on the situation at the front, is possible even within a month.

Join our telegram channel for more videos - link in comments

#
1690804737603.jpg
 
[emoji298]Tomorrow, Slovakia will officially hand over two 155-mm Zuzana 2 self-propelled artillery systems.

These are the first 2 out of 16 self-propelled artillery systems purchased by Germany, Denmark and Norway for Ukraine.

Join our telegram channel for more videos - link in comments

#
 
Tomorrow, Slovakia will officially hand over two 155-mm Zuzana 2 self-propelled artillery systems.

These are the first 2 out of 16 self-propelled artillery systems purchased by Germany, Denmark and Norway for Ukraine.

Join our telegram channel for more videos - link in comments

#
 
Tuko wengi tunaoamini hicho kitu.

Ila Sasa trend ya kuvunja vunja French Empire kule West Africa imeshika kasi na sijui Mfaransa atafanya nini?

Mali
Chad
Gabon
Burkina Faso
Niger
Ufaransa kwisha habar yake akimalizwa Niger [emoji1183] wanatafta wengine wanampiga Chini

Halafu kuna raia humu walikua wanajidanganya umshawishi wa RUSSIA [emoji635] utaanguka kisa SMO wakaangalie yanayojiri huko Niger [emoji1183]
 
Ila hii SMO imekuja kufumbua watu mambo mengi ambayo walikuwa awajui. Mwanzo walijuwa Russia anapigwa kumbe mwenzao kajipanga mda mrefu sana
 
[emoji779]️Urgent. France implies a threat of war if French "interests" are attacked in Niger. [emoji1183] [emoji632] [emoji635]

[emoji95]Niger responds by setting fire to the French Embassy
France [emoji632] inaona anguko lake Kule ingawaje hawawezi kuingia kijeshi Niger [emoji1183] kazi waliyopewa na Russia [emoji635] pale Ukraine [emoji1255] tu inawashinda
 
Scorn him off mkuu,hao ni part and parcel of the CIA propaganda and state capture machinery.I could also rightly say ni extension ya the Mockingbird Media.

Mkuu mbona umempa cheo kikubwa hivo ..
Hakuna kibaraka wa us wala CIA humu
Huyo ni ***** ndio maana anatetea maslahi yao .
Mashoga wote ndio wanatetea west huezi mkuta upinde aki support hii revolution
 
Back
Top Bottom