jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
"Yule ambaye alipanga na kuandaa uasi wa kijeshi, ambaye aliinua silaha dhidi ya wenzake, alisaliti Urusi. Na watajibu kwa hilo. ." PUTIN Juni 24
Jamaa hajafa sasa hivi ndio anashuka MOSCOW kwenda kupata LUNCH na PUTINNimeumia sana basi sina namna
"Yule ambaye alipanga na kuandaa uasi wa kijeshi, ambaye aliinua silaha dhidi ya wenzake, alisaliti Urusi. Na watajibu kwa hilo. ." PUTIN Juni 24Poleni na msiba mzee Yevgeny.
Mtazika Russia au mtasafirisha kwenda Belarusia?.
Tunaendelea kusonga mbeleWanachama wapya wa BRICS watakuwa
Saudi Arabia,
Argentina,
Falme za Kiarabu,
Iran, na Misri.
wataalamu watujuze, hizo nchi tano zinaleta faida gani kimkakatiTunaendelea kusonga mbele
Hapo kwenye falme za kiarabu ni shida.wataalamu watujuze, hizo nchi tano zinaleta faida gani kimkakati
A death to the so called petro-dollar ✍...wataalamu watujuze, hizo nchi tano zinaleta faida gani kimkakati
Bila Shaka ukiwemo na weweNa bado
New composition of BRICS will control 80% of world oil production With the addition of Saudi Arabia, the United Arab Emirates and Iran to the BRICS, the Union will be able to control the lion's share of the world's oil production. The same goes for the sharp GDP growth of the new BRICS countries. It will amount to 30% of world GDP and exceed $30 trillionwataalamu watujuze, hizo nchi tano zinaleta faida gani kimkakati
Ni mzawa wa Urusi na alikuwa anapigania maslai ya Urusi.kwa iyo jibu unalo kuwa atazikwa wapi[emoji635][emoji635][emoji635]Poleni na msiba mzee Yevgeny.
Mtazika Russia au mtasafirisha kwenda Belarusia?.
Unataka nani aseme kuwa zipo.[emoji23][emoji23][emoji23]Kwani kuna taarifa inayosema tayar vifaru vya marekani viko kwenye uwanja wa vita?
wamekufa wakiwa Soldiers siyo dogs, They died while fighting for their country rather than die a slave.💪💪[emoji1255] Graveyard in Kiev planned for 200,000 fallen soldiers.
View attachment 2726336
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app