Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,449
- 23,124
We cannot go on like this,the situation has to change.
We cannot go on like this,the situation has to change.
Kwa lugha ya namba,Kila mmoja hapo kaua watu 3,666,666.67
Ha ha haa,hii Dunia ngumu sana hii.'Alkibulans'.....neno la lugha gani hiyo ?....
Zelensky atakuwa katoka kupuliza..yuko highKibao kimemgeukia Putin.......
Ukraine’s President Volodymyr Zelenskyy said there could not be “sustainable peace” in Ukraine unless Kyiv regains control of Russian-occupied territories, including Crimea.
Russia has always been and remains “absolutely invincible,” President Vladimir Putin told a group of students at an open lesson marking the start of the academic year on Friday. The mentality of the Russian people makes it impossible for the country to be defeated by anyone, he added.Ukraine’s President Zelenskyy said there could not be “sustainable peace” in Ukraine unless Kyiv regains control of Russian-occupied territories, including Crimea.
Nilidhani waliokuwa wameukimbia uzi ni pro-NATO akina vunjo, Fuso, Himars na wengine??!! Sasa naona mnarudi taratibu mkijfariji na mashambulizi ya drones...Lakini NATO wenyewe wana hofu na hatua hii ya Ukraine kutumia drones ndani ya Russia.....JANA vyombo vya habari vya magharibi vilikuwa vinatangaza kwa nguvu drone iliyopiga uwanja wa ndege wa Russia karibu na mpaka wa Latvia...vyombo hivyo vilikuwa vinarudia rudia kusema drones zimesafiri kilomita 700...hiyo ni disinformation kwani ukweli ni kuwa drone hizo zilisafiri umbali mfupi aidha zilirushwa kutoka ndani ya Russia au kutoka Latvia nchi ambayo ni ya NATO.....sasa hapo hofu imetanda...assuming imerushwa kutoka Latvia...hahahahahhahaha kazi ipo....Leo Russia imetangaza kuwa lilile kombora la masafa marefu litaingia kazini...tusubiri ....kuna watu watajichanganya wenyeweUzi sahivi unaenda taratibu sana. Zamani ilikuwa usipoingia masaa kadhaa unakuta porojo za Pro Russia page 10 wanaimba pambio za Putin.
Naona sikuhizi wamejichimbia shimoni baada ya kugundua ni propaganda tupu. Mrusi anapigika tu hata moscow watu wanafika.
Uzi sahivi unaenda taratibu sana. Zamani ilikuwa usipoingia masaa kadhaa unakuta porojo za Pro Russia page 10 wanaimba pambio za Putin.
Naona sikuhizi wamejichimbia shimoni baada ya kugundua ni propaganda tupu. Mrusi anapigika tu hata moscow watu wanafika.
Ulitakaje kwani!!? Ardhi imechukuliwa zaidi ya 25% rudisheni hiyo kwanza ndio muanze kutamba.... Jeshi limeparaganyika, NATO wemerusha taulo ulingoni misaada inayeya.... Nimekaa pale ....Uzi sahivi unaenda taratibu sana. Zamani ilikuwa usipoingia masaa kadhaa unakuta porojo za Pro Russia page 10 wanaimba pambio za Putin.
Naona sikuhizi wamejichimbia shimoni baada ya kugundua ni propaganda tupu. Mrusi anapigika tu hata moscow watu wanafika.
Na bado wanajiita washindi😀😀Ulitakaje kwani!!? Ardhi imechukuliwa zaidi ya 25% rudisheni hiyo kwanza ndio muanze kutamba.... Jeshi limeparaganyika, NATO wemerusha taulo ulingoni misaada inayeya.... Nimekaa pale ....
” the president said, adding that, even in the face of death, his grandmother was caring for her loved one. “How can we not take that for a model?” he added. Putin also said that all members of his family felt deep respect for each other and had a “strong inner culture.”Russia has always been and remains “absolutely invincible,” President Vladimir Putin told a group of students at an open lesson marking the start of the academic year on Friday. The mentality of the Russian people makes it impossible for the country to be defeated by anyone, he added.
The president recalled the history of his own family, telling students about his ancestors who lived through World War II. According to Putin, his grandmother was fatally shot by a Nazi soldier but, even as she was dying, she was still thinking about her husband and told Putin’s grandfather “not to cry” in order not to upset her in her final moments.
“Do you understand the depth of these relationships between the ordinary people, this love?” the president said, adding that, even in the face of death, his grandmother was caring for her loved one. “How can we not take that for a model?” he added. Putin also said that all members of his family felt deep respect for each other and had a “strong inner culture.”
LIVEUkraine kuendelea kupokea misaada ya aina hii huku Vita (operation maalum) ikiendelea kwa zaidi ya mwaka ni ishara kuwa 'demilitarization of Ukraine' imefeli ?
@Richard @TUJITEGEMEE
Sitaki kuamini kuwa, "Ras Simba" bado anahitajika kufanya kazi na Wewe Mkuu.Inasikitisha sana kuona Putin anategemea mizimu ( ancestors) kuishinda hii vita[emoji24][emoji24]
"The president recalled the history of his own family, telling students about his ancestors who lived through World War II. According to Putin, his grandmother was fatally shot by a Nazi soldier but, even as she was dying, she was still thinking about her husband and told Putin’s grandfather “not to cry” in order not to upset her in her final"Sitaki kuamini kuwa, "Ras Simba" bado anahitajika kufanya kazi na Wewe Mkuu.
===
Labda tumkodi Nyani Ngabu afanye kazi ya Ras Simba hapa JF. Sema dau la Nyani Ngabu linaweza kuwa kikwazo.
======
Kwa ufupi, hakuna mahali amesema anategemea mizimu bali alikuwa anafafanua msingi wa uimara wa nchi ya Russia kukabili changamoto yoyote inayojitokeza.