Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu,hizi Zina utofauti gani na zile depleted uranium zilizotumwa mara ya kwanza!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
It hasn't failed,ila itachukua muda because NATO,the US and the EU are in the game.
 
Swali la msingi.vita kwa sasa ipo wapi?
 
opening celebration of
Msimamo wa Putin na Russia kwa ujumla ulikuwa kupinga jambo hili hasa Kwa minors. Msimamo huu unajidhihirisha katika mahojiano ya Putin na mwandishi/mtangazaji wa habari aliyofanya September 2015.

Kwa kipindi hicho alikuwa hajiliewa vizuri nadhani naye alikuwa kwenye uchunguzi kujua ukweli wa jambo hili kama alivyokuwa anafanya Rais Museveni. Ndiyo, maana baada ya kujiridhisha kama alivyofanya Museveni kapiga Marufuku upumbavu huo.

Ushahidi huu hapa.

View: https://youtu.be/NvTYMhbMbQ0?si=y2spJt71y6hVifYR
 
Urusi ilitumia asilimia 60 ya muda wake na fedha kujenga "defence lines",Wakati Ukraine wametumia muda mfupi kuvuka🤔
....
 

Russia 'deploying newly created reserve army' - ISW​

The Russian military has deployed elements of a newly created "reserve army" to enable units currently on the frontline in the eastern Luhansk region "to laterally redeploy to defend against the Ukrainian counteroffensive" in the south, the Institute for the Study of War (ISW) has said, citing a Ukrainian official.

In its latest report, the ISW said Ukraine's main military intelligence head, Kyrylo Budanov, had stated that the Russian military had deployed the 41st combined arms army (CAA) to an "unspecified area in southern Ukraine".

These units are likely degraded and have been operating without brigade and regiment level rotations like many frontline Russian units," the ISW noted.

The ISW had previously assessed that a lack of operational reserves would force the Russian command to conduct further lateral redeployments and make tough decisions about what sectors of the front to prioritise.

The American thinktank added: "Additional Russian lateral redeployments and the immediate commitment of intended operational reserves suggest that short term reinforcement needs are impeding intended long-term reconstitution efforts."

https://news.sky.com/story/ukraine-...updates-12541713?postid=6375628#liveblog-body
==========================

Hii bado ni SMO ( special military operation) au Vita kamili ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…