D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Kuanzia sasa India inaitwa Bharat
Hii itazifanya nchi zingine zibadili majina ya nchi zao ziendane na Utamaduni wa nchi husikaKuanzia sasa India inaitwa Bharat
View attachment 2744699
Kudili na wacheza Chess ni kazi ngumu sana.
Kama hizo game changer zilishindwa kutumika Afghanistan,hazitaweza kufanya kitu kwa Russia.game changer ATACMS imeishia wapi
Naona umembishia mtu anaesifia Russia.Mnasemaga vitu gani lakini?? Historia inaonyesha kwamba ndani ya miaka 400+ tangu Amerika wapate uhuru ni miaka 26 au 30 bayo haijawahi kushiriki kwenye vita some where around the World - lakini nyinyi muko overly obsessed by everything Russian - story nyingi niza kutunga tu na kuweka chumvi nyingi - hatukumbukuki hatajinsi Urusi ilivyo jitolea kuokoa Dunia dhidi ya fasist NAZI Hitler - zaidi ya Warusi millioni 43+ walipoteza maisha kuokoa Dunia, Merikani ilipoteza 500,000 na Uingereza 400,000 lakini ndio huwa wanajifanya the most vocal kuhusu historia za WW2.
Hapo sasaKweli njaa haina baunsa na nikweli adui yako muombee njaa tu,ZELE utapia mlo unamuhusu.Sasa kama wao ni vidume si watumie nguvu au wanaogopa kitu gani?
Marekani hana hata miaka 300 tangu apate uhuru.Historia inaonyesha kwamba ndani ya miaka 400+ tangu Amerika wapate uhuru
Huyo mpuuzi ni kinyonga,Gen Mark Milley
Wakati huohuo.............
30 fighting days left for Ukraine’s offensive - US Army chief
Ukraine has little more than 30 days left of fighting before the weather hinders its counter-offensive, the top-ranking US military officer says.
Speaking to the BBC's Sunday with Laura Kuenssberg programme, Gen Mark Milley said colder conditions would make it much harder for Ukraine to manoeuvre.
Source: BBC: 10/09/2023
Hii point number 2, ni kiboko sana.The new proposed deal:
- A Russian state-owned bank is to be reconnected to SWIFT
- The UN is willing to insure Russian ships against Ukrainian attacks
- Frozen funds must be given back to Russia
- Permission for Russian ships to dock in countries such as Germany to be reinstated
Spati picha akitokea mwakilishi mmoja wa bunge la urusi akatoa kauli kama hiyo[emoji1787]Huyu Gen. Milley alishawahi kutoa assessment yake mbele ya senate na kusema Ukraine haiwezi shinda hii vita.
Spati picha akitokea mwakilishi mmoja
Sio muongo alizungumzia full scale war Sasa hivi Urusi anafanya smo.Huyo mpuuzi ni kinyonga,
Aliwahi kusema kyiv itaanguka ndani ya siku 3 ikiwa russia watafanya uvamizi wa nguvu.
Cha ajabu maneno hayo akageuziwa putin kuwa ndiye aliyesema.
![]()
Gen. Milley says Kyiv could fall within 72 hours if Russia decides to invade Ukraine: sources
Chairman of the Joint Chiefs of Staff Gen. Mark Milley told lawmakers that Kyiv could fall within 72 hours if a full-scale Russian invasion of Ukraine took place, multiple congressional sources tell Fox News.www.foxnews.com
Nani mwenye kipimo cha kusema hii ni Special Military Operation (SMO) inaendelea au ni "Full Scale war"??Sio muongo alizungumzia full scale war Sasa hivi Urusi anafanya smo.
Unavuta Picha, In three Months of the so called "well planned and calculated counter- offensive" watu wamejongea Kilomita 1 mbele. Wastani wa Mita 12 kwa siku ndani ya miezi mitatu.... Ili tuiweke sawa wameweza kujongea umbali huu urefu wa basi Moja la Yutong kwa siku 🤣.Narudia tena tunaenda mwezi wa tatu huu kilichopatikana ni hiki hapa! Juhudi zote zile.....na inawezekana bado wanadanganya!
Ukraine says has advanced more than a kilometre in south
Ukraine said Sunday its forces leading a difficult counteroffensive had made modest headway in an area of the southern front line.
“We are moving forward! Defence Forces in the Tavria area have advanced more than one kilometre,” Ukrainian army commander Oleksandr Tarnavskyi said in his daily update.
Source: France 24 : 10/09/2023