Somoche
Platinum Member
- Oct 6, 2010
- 7,095
- 9,755
Fundi anaeshona zile suruali za kiduku haogopi?? mana siku moja kiduku akagundua hazimpendezi fundi ataumia
Mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa
Sio kinadharia.Mfano Angalia makombora ya kujilinda ya Israeli dhidi ya magaidi, huelekezwa maeneo muhimu,ukiona kombora limedondoka ni kwenye open field.Yale yote yanayolenga maeneo muhimu hudunguliwa na IronDome.Kwa kawaida mifumo ya ulinzi haiwezi kuelekezwa maeneo ambayo hakuna madhara 🤔Maelezo yako yamejikita kinadharia zaid inaonesha huna taarifa ya kiwango cha madhara yaliyotokana na hayo manne yaliyopenya
Fake newz Ukraine hawawezi kutoa habari za ukweli.trump anasema Ukraine wanapigika mpaka hawataki kutoa habari za ukweli.sasa mtu mwenye akili kubwa Trump anasema hivyo nyie waukraine wa buza mnasubiri Ukraine kushinda.Ukraine yaharibu drones 27 Kati 30 ,chapa Shaheed yaliyotengenezwa Iran,pamoja na Ballistic missiles,Chapa Iskander,yaliyorushwa na Urusi,kwa usiku mmoja [emoji848]
sawa sisi hatutoe takwimu zenu tena mwishoni msishangae kubaki na under 12 lakini.Hii ni Jana tu, zaidi ya mia sita wamelambishwa mchanga 🥱🥱🥱View attachment 2753152
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Akili zakuambiwa Changanya Na ZakoUkraine yaharibu drones 27 Kati 30 ,chapa Shaheed yaliyotengenezwa Iran,pamoja na Ballistic missiles,Chapa Iskander,yaliyorushwa na Urusi,kwa usiku mmoja 🤔
Wenye kutoa habar za kweli na kukufurahisha ni urusi?Fake newz Ukraine hawawezi kutoa habari za ukweli.trump anasema Ukraine wanapigika mpaka hawataki kutoa habari za ukweli.sasa mtu mwenye akili kubwa Trump anasema hivyo nyie waukraine wa buza mnasubiri Ukraine kushinda.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Ndiyo ukweli ndiyo ngao ya warusiWenye kutoa habar za kweli na kukufurahisha ni urusi?
A New York Times investigation 'strongly suggested' on Monday that Ukrainian forces were responsible for a deadly missile strike at a Donbass market, on the day US Secretary of State Antony Blinken visited the country.Mkuu tupe na kavideo sisi
Hii sasa ni kiama Iskander 1000 hujui zimelengwa wapi
Hii ndio video? Mbona unakuwa mpumbavu unawaangusha pro Russia wenzio.A New York Times investigation 'strongly suggested' on Monday that Ukrainian forces were responsible for a deadly missile strike at a Donbass market, on the day US Secretary of State Antony Blinken visited the country.
The incident on September 6 in the Kiev-controlled Donbass city of Konstantinovka killed at least 15 civilians and injured scores of others.
Ukrainian President Vladimir Zelensky immediately accused Russia of launching the strike and claimed that any “attempts to deal with anything Russian” meant turning a blind eye to “the audacity of evil.” Many Western media outlets and some governments endorsed his statement.
View attachment 2754783
Usiwe mjinga hii habari zipo mpaka vituo vya kimataifaHii ndio video? Mbona unakuwa mpumbavu unawaangusha pro Russia wenzio.
Kama huna video si ungeacha tu.?
Dogo acha porojo kama huna video pita kushoto.Usiwe mjinga hii habari zipo mpaka vituo vya kimataifa
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Ha ha haa jamaa Msanii zele angekua anakulipa hata buku kwa mweziHii ni Jana tu, zaidi ya mia tano walichinjwa 🥱🥱🥱🥱View attachment 2754439
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Pole utapona. Jitahidi kumaliza dozi ya Dawa. Na tujitahidi kujua ukweli wa ubaya wa watu wa magharibiMbona unakuwa
Walisema wameishiwaUkrein Wameanza Kushikwa na Wasi wasi
urusi Kapaki Makombora ya Iskander zaidi ya 1000 Kuzunguka Mpaka wake
Pia Kuna Wanajeshi 53000
Wanahaha Kuwa wajiandae na Kipindi cha Winter
[emoji117][emoji117][emoji117] Ukrainians are being told that Russia has 1000 missiles (Iskander) around the Ukrainian borders + 53 000 soldiers on the border with Sumy. The message is that they need to be ready for a difficult winter.
[emoji1745]
Ungetumia neno mma.View attachment 2753179
1. Ndege vita 472 nimekwenda na maji
2. Chopa 249 zimekwenda na maji
3. Drone 6,838 zimeliwa
4. Air defense 437 dimechomwa moto
5. Vifaru 11,919 vimeliwa
6. MRLs 1,151 vimekwenda na maji
7. Mizinga 6,411 imeliwa
8. Magari vita 13,090 yamekwenda na maji
Tuangalie sasa je, hivi vifaa vyote vinatoka nchi gani?
Nitaelezea zaidi hapa chini:...........