Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Trump anakumbia Vyombo vya Habari Fake na Vya uongo vya Marekani Tokea Vimeacha Kutoa Taarifa ya Vita ya Ukrein Hii imekuwa Habari mbaya Kwa Ukrein
yaani anasema Ukrein Inapokea Kipigo ndio maana Media Fake Zipo Kimyaaa na Uzushi wake


“Fake” American media have stopped talking about military operations in Ukraine, and this is bad news for Kyiv, former US President Donald Trump said in an interview with NBC. According to the politician, this indicates the dishonesty of American journalism, which has completely discredited itself, and also that Ukraine is actually suffering a defeat. Trump himself, according to him, refuses to take sides in the conflict and advocates stopping killing people.
 
Maelezo yako yamejikita kinadharia zaid inaonesha huna taarifa ya kiwango cha madhara yaliyotokana na hayo manne yaliyopenya
Sio kinadharia.Mfano Angalia makombora ya kujilinda ya Israeli dhidi ya magaidi, huelekezwa maeneo muhimu,ukiona kombora limedondoka ni kwenye open field.Yale yote yanayolenga maeneo muhimu hudunguliwa na IronDome.Kwa kawaida mifumo ya ulinzi haiwezi kuelekezwa maeneo ambayo hakuna madhara 🤔
 
Ukraine yaharibu drones 27 Kati 30 ,chapa Shaheed yaliyotengenezwa Iran,pamoja na Ballistic missiles,Chapa Iskander,yaliyorushwa na Urusi,kwa usiku mmoja 🤔
 
Ukraine yaharibu drones 27 Kati 30 ,chapa Shaheed yaliyotengenezwa Iran,pamoja na Ballistic missiles,Chapa Iskander,yaliyorushwa na Urusi,kwa usiku mmoja [emoji848]
Fake newz Ukraine hawawezi kutoa habari za ukweli.trump anasema Ukraine wanapigika mpaka hawataki kutoa habari za ukweli.sasa mtu mwenye akili kubwa Trump anasema hivyo nyie waukraine wa buza mnasubiri Ukraine kushinda.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Wenye kutoa habar za kweli na kukufurahisha ni urusi?
 
Mkuu tupe na kavideo sisi
A New York Times investigation 'strongly suggested' on Monday that Ukrainian forces were responsible for a deadly missile strike at a Donbass market, on the day US Secretary of State Antony Blinken visited the country.

The incident on September 6 in the Kiev-controlled Donbass city of Konstantinovka killed at least 15 civilians and injured scores of others.

Ukrainian President Vladimir Zelensky immediately accused Russia of launching the strike and claimed that any “attempts to deal with anything Russian” meant turning a blind eye to “the audacity of evil.” Many Western media outlets and some governments endorsed his statement.
 
Hii ndio video? Mbona unakuwa mpumbavu unawaangusha pro Russia wenzio.
Kama huna video si ungeacha tu.?
 
Walisema wameishiwa
 
Ungetumia neno mma.
 
There are massive problems with the Leopard 1A5 tanks, which Germany, Denmark and the Netherlands supply to Ukraine. A few days ago, Ukraine rejected the delivery of 10 Leopard 1A5 tanks due to the partly poor condition of these tanks The German Ministry of Defense sent a team to Rzeszów to inspect the tanks. There, it was discovered that the Leopard 1A5s were already badly worn during the training and needed repairs. It also turned out that out of ten Leopard 1A5 tanks already delivered to Ukraine in July, several failed due to similar problems.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…