Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mchawi lugha


Lkn braza lavrov yupo sahih
 
Kumbe sanctions zinatakiwa kutolewa kupitia UN, kilichotokea ni kwamba sanctions zinatoka kwenye nchi chache sana Washington, London, Berlin na Paris, ni kweli hatujawahi kusikia nchi zingine zaidi ya nchi hizo zikitoa sanctions kwa nchi husika

Hapa kweli Lavrov katufungua macho
 
Hii hotuba Ina Mambo mengi ya kujifunza ambayo tayari tunayajua.
UN imepoteza uhalali wake wa Kama chimbo chenye mamlaka duniani kusimamia amani.
UN ipo chini ya wamarekani ndio maana inatekeleza Kila kinachofanywa na wamarekani na kufumbia macho uvunjaji wa Sheria wa marekani.
West county na Marekani ndio chanzo cha migogoro wa Ukraine pia mkataba wa MINSIK ulisainiwa ili kuwapa muda Ukraine wajiimarishe kijeshi ilu NATO wapate muda wa kutimiza malengo yao.
Nimeelewa kwanini Urusi anamwondoa Ufaransa kwenye sehemu anazopora rasilimali Africa.
Kama alivyosema Putin baada ya hii Vita Mambo mengi yatabadilika.
 
Mchawi lugha
Scott Rotter - askari wa zamani wa kikosi Cha makomando wa jeshi la USA maarufu kama us marine,jasusi,na mkaguzi wa silaha wa UN asema vita vya Ukraine vimeonyesha kua Marekani haijawa tayari kwa vita kubwa.vita kama baina ya USA na Urusi.
Akimaanisha kua ktk vita vya Ukraine USA ikiwa in sapota mkubwa wa silaha,vifaa vita ushauri na mambo mengine imeonesha udhaifu mkubwa mno dhidi ya jeshi la Urusi.

(Tafasiri isiyo ya kitaalamu mno.)
 
Ahsante
 
Ukraine’s Counteroffensive: ’90% Of The Guys Will Die Here’ — The Times

According to a British reporter who spoke to elite Ukrainian soldiers near Zaporozhye, 90% of the guys on the front will die in the ongoing conflict with Russia.

Anthony Loyd writes that 75% of the men thrown into Russian defenses have been lost.

"The death toll is in four figures. The author writes, “ Ukrainian soldiers wonder what the price of such operations is, given the result of small villages razed to the ground,” he continues.

Subscribe to RT
 
RUSSIA LAUNCHES 50 MISSILES INTO UKRAINE; 48 HIT INFRA-STRUCTURE AND AMMO DUMPS

21 SEPTEMBER 2023

Breaking: Russia has bombed NATO Infrastructure across Ukraine as an apparent message is sent . . . loud and clear.

Logistics Hubs, Mercenary Bases, Weapons and Depleted Uranium Ammunition Depots have all been set ablaze in a gigantic strike with more than 50 missiles.

The only purely Ukraine target was the Rivne thermal power station . . . which was was completely destroyed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…