jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Labda tusubiri kipigo baada ya kuanza kazi.Ukraine wapokea Batch ya kwanza ya vifaru/tanks toka Marekani chapa :31M1 Abrahams,kusaidia kwenye counter offensive,ambapo Ukraine wameanza kupata "Breakthroughs"[emoji848]
.....
Zelensky confirms first Abrams tanks already in Ukraine
President Volodymyr Zelensky confirmed on Sept. 25 that the first U.S.-made Abrams tanks had arrived in Ukraine, without mentioning how many of the 31 tanks pledged had been delivered.kyivindependent.com
hahahahaha ! Zitachomwa moto Abrams tanks, bora wasizipeleke kuliko kuzipeleka, chezea Russia!Marekani yaitaka Urusi isifanye mawindo ya vifaru vya Abrama kama ilivyofanya kwa Leopard 2. Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin aliomba jeshi la Urusi kutopanga kuwinda Abrams kama ilivyofanya kwa Leopards. Cheza kwa kufata sheria."View attachment 2763680
Halafu jana amefufuka tenaKamanda wa kikosi cha Urusi,ni mmoja wa waliouwawa,Kati ya wanajeshi waliouwawa na shambulio la Kombora la Ukraine huko Black Sea fleet 🤔
Source: Al-Jazeera
......
Russian Black Sea commander seen in video after Ukraine said it killed him
Viktor Solokov, Moscow's top admiral in Crimea, was shown in a Russian defence ministry video conference.www.aljazeera.com
UCHIZI. naona marekani imepatwa na uchizi mkubwa sana. Yaani anataka vifaru vyake viachiwe vifanye maafa kwa urusi ili baadae aje apige promo PUMBAVUMarekani yaitaka Urusi isifanye mawindo ya vifaru vya Abrama kama ilivyofanya kwa Leopard 2. Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin aliomba jeshi la Urusi kutopanga kuwinda Abrams kama ilivyofanya kwa Leopards. Cheza kwa kufata sheria."View attachment 2763680
SawaWakuu bro abraham akipelekewa moto mtutumie picha ya scraper zake hapa.
.Jana naona walipata ahueni kidogo,ni miatatu na ishilini tu waliolambishwa mchanga View attachment 2763772
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tatizo ilikua nini? Kwasbb hata uzi zingine za sports zilikua hazifunguki.Finally huu uzi umefunguka after lots of months
Sijui ilikuwajeTatizo ilikua nini? Kwasbb hata uzi zingine za sports zilikua hazifunguki.
Lo!upo kwny ulingo wa ndondi halafu unampangia mpinzani wako wapi pa kupigaMarekani yaitaka Urusi isifanye mawindo ya vifaru vya Abrama kama ilivyofanya kwa Leopard 2. Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin aliomba jeshi la Urusi kutopanga kuwinda Abrams kama ilivyofanya kwa Leopards. Cheza kwa kufata sheria."View attachment 2763680