Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwanza mm sijashikwa akili hilo litambue kabisa!! Kingine ambacho unasema Kuwa Russia kaingia mazingira ambayo hayajazoea hivi umewai fuatilia history ya mataifa hayo mawili Ukraine na Russia na hiyo siyo mara ya Kwanza Ukraine kuvamiwa na Russia. Fuatilia ulijue hilo.

Secondly Russia ameingia vitani akiwa amejipanga tatzo ww hutaki kuifungua ubongo ufuatilie usishikwe akili na Ma Propaganda yanayo danganya,,, mm nitakuaminije Kuwa wanajeshi wa Russia wamefekelewa Mbali, wakati huo Ukraine ile military base aliyo Kuwa nayo imeisha porwa kwa Lugha nyepesi haipo, reason nyingine ameshindwa kulinda mipana yake Kila kukicha Russia anazidi kusonga Mbele.

Third, Reasons zako hazina Mashiko huwez sema Ukraine amejikamilisha Huku anapigwa kama mbwa na kama amejikamilisha kwann atembee kwenye mataifa makubwa kuomba Msaada wa silaha na wanajeshi. No no no tusidanganyane mambo yanaonekana kama Ukraine angekua na Nguvu Mpaka saiv angekua amerudisha maeneo yake yalio chukuliwa na angekua ameshawafukuza wavamizi kwenye Taifa lake.
You Guy stop 🛑 lying to Us.

Ni wazi umeshikiliwa akili maana kama mpaka sasa miaka miwili umeshupaza shingo licha ya aibu yote hii ambayo Urusi imepitia, yaani mumepofushwa na yale mafundisho yenu.
Urusi ilidhulumu ardhi ya Crimea, lakini haikuwahi kuvamia Kyiv au kufanya aina ya huu uvamizi ambao walithubutu kuiparamia Ukraine yote, ni dhahiri hawakushauriwa vizuri, waliishia kuangukia pua na maelfu ya wanajeshi wa Urusi kufa kama senene.
Na mpaka wanaendelea kuuawa huku wakiachia maeneo waliyokua wamenyakua, Urusi ilitumia mbinu za kijinga sana, sote tumeshuhudia humu, nimekua nikileta taarifa kila siku za wanavyopelekeshwa, hivyo wewe kuandika andika hizi insha zako hakubadilishi na bado naendelea kuwahabarisha.
 
TG channel ya Ukraine imeweka wazi kila kitu tangu counteroffensive ianze. Hebu jisomee mwenyewe taarifa kamili.

The Ukrainian military portal Deep State sums up the results of the Ukrainian Armed Forces’ summer offensive.

1. Bakhmut direction. The surrounding of the city is not yet possible. The liberation of Andreevka and Kleshchievka in the south provides opportunities for a further attack towards the route to Gorlovka. In the north, a “strategic mistake” was made - the assault on Berkhovka in a targeted lowland “cost us dearly,” and the initiative passed to the Russian Federation. Attempts to break through the Russian defenses at Zaliznyansky and Razdolovka were unsuccessful.

2. Vremevsky ledge. It was possible to cut off the ledge, but it was not possible to move further. In the first month there were significant losses of equipment. “The network contained footage of the destroyed columns of our brigades, which were supposed to break through the defenses in the style of Guderian-Hoth,” analysts write. In their opinion, the “tragedy of the 37th brigade brigade near Novodonetsk” also had a negative impact on the situation (probably we are talking about an unsuccessful assault on the village in early June, after which the brigade fighters recorded an appeal criticizing the command - Ed.). Due to the mistakes of June 5-7, all offensive actions here were of an “extremely difficult nature.” Other brigades had to suffer losses, because from Kermenchik (there are heights that the Russian army turned into a fortified area - Ed.) the tank fist of the Russian Federation spoiled all plans in this direction.

3. Rabotino. The operation, instead of several days, lasted for three months, since the Russian Federation had strengthened its position here in advance. Images of damaged Western equipment led to the emergence of “fear” in the ranks of the Ukrainian Armed Forces.

Only in mid-August did the Russians begin to retreat and bring in reserves. Often, after deep breakthroughs, the Ukrainian Armed Forces had to roll back due to lack of success on the flanks.

It was not possible to achieve strategic success, but there are still prospects in the Rabotino region. But there is little time left for this. New lines of defense are already being built by the Russians.

“The summer demonstrated that the war will not end on our terms in 2024. We need to prepare for new challenges that we will soon have to face,” the analysts summarize.

Anaejua kirusi soma hapa
Украинский военный портал Deep State подводит итоги летнего наступления ВСУ.

1. Бахмутское направление. Окружение города пока не получается. Освобождение Андреевки и Клещиевки на юге дает возможности для дальнейшего удара в сторону трассы на Горловку. На севере была допущена "стратегическая ошибка" - штурм Берховки в пристрелянной низменности "дорого нам стоил", а инициатива перешла к РФ. Попытки пробить оборону РФ у Зализнянского и Раздоловки не принесли успеха.

2. Времьевский выступ. Срезать выступ удалось, продвинуться дальше - нет. В первый месяц были существенные потери техники. «В сети были кадры подбитых колонн наших бригад, которые должны были в стиле Гудериана-Гота прорывать оборону», - пишут аналитики. По их мнению, отрицательно повлияла на ситуацию и «трагедия 37 ОБрМП возле Новодонецкого» (вероятно идет речь о неудачном штурме села в начале июня после чего бойцы бригады записали обращение с критикой командования - Ред.). Из-за ошибок 5-7 июня все наступательные действия здесь носили "крайне тяжелый характер". Другим бригадам приходилось нести потери, потому что из Керменчика (там находятся высоты, которые российская армия превратила в укрепрайон - Ред.) танковый кулак РФ портил все планы на этом направлении.

3. Работино. Операция вместо нескольких дней растянулась на три месяца, так как РФ заранее укрепила здесь позиции. Кадры подбитой западной техники привели к появлению "страха" в рядах ВСУ.

Только в середине августа россияне начали отступать и вводить резервы. Нередко после глубоких прорывов ВСУ приходилось откатываться из-за отсутствия успехов на флангах.

Стратегических успехов добиться не удалось, но в районе Работино ещё есть перспективы. Но для этого остается мало времени. Новые линии обороны уже строятся россиянами.


"Лето продемонстрировало, что война не окончится на наших условиях в 2024 году. Нужно готовиться к новым вызовам, которые уже скоро придется встречать", - резюмируют аналитики.
 
Hatimae


Jamhuri ya Niger

Urais wa Jamhuri ya Niger

Baraza la Kitaifa la Ulinzi wa Nchi ya Baba

Habari

Vizuizi vya anga ya Niger kwa ndege za Ufaransa

Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari ya Jumamosi Septemba 23, 2023 iliyotumwa kwa Shirika la Usalama wa Usafiri wa Anga barani Afrika (ASECNA), Niger imeamua kuzuia ufikiaji wa anga yake.

Hii bado iko wazi kwa safari zote za ndege za kitaifa na kimataifa, isipokuwa ndege za Ufaransa na zile zinazokodishwa na Ufaransa, pamoja na meli za Air France.

Kwa kuongezea, safari zote za ndege za kijeshi na safari maalum za ndege bado ni marufuku, isipokuwa zimeidhinishwa na mamlaka.

Uamuzi huu unaashiria hamu ya watu wa Niger, kupitia sauti ya serikali yao, kurejesha udhibiti kamili wa anga na eneo lao.

Baraza la Kitaifa la Ulinzi wa Nchi ya Baba

Recycle nyuma
 
Wameshakomboa kilometa ngapi?
Screenshot_20230905-204547.png
 
Kamanda wa kikosi cha Urusi,ni mmoja wa waliouwawa,Kati ya wanajeshi waliouwawa na shambulio la Kombora la Ukraine huko Black Sea fleet [emoji848]
Source: Al-Jazeera
......
Naomba utupe na taarifa la shambulio la hotel Hapo odesa ila kiufupi NATO 120 wamekula chuma.
 
1695720434773.png


🇷🇺🇺🇦 Ukraine is fated either to capitulate on Moscow’s terms or cease to exist as a state - Vyacheslav Volodin, speaker of the Russian State Duma .

"When speaking about the conflict in Ukraine, [US President Joe] Biden, [NATO Secretary General Jens] Stoltenberg and other Western officials have started calling it 'a war of attrition.' They have put huge amounts of money into militarizing the Kiev regime. Where has it gotten them? The simple facts are these: the West is experiencing weapons and ammunition shortages, people in Europe and the US have lost trust in politicians, and the Kiev regime’s counteroffensive has failed," Volodin stated.

According to him, the outcome of the "war of attrition" also includes economic problems in Europe and the US, a lack of manpower for the Ukrainian armed forces, and ultimately bankruptcy and demographic disaster for Ukraine. "These seven facts speak for themselves: Ukraine will cease to exist as a state unless the Kiev regime capitulates on Russia’s terms," Volodin stressed.

"More than 10.5 million people have fled Ukraine. Another 11.2 million residents of Crimea, Sevastopol, the Donetsk and Lugansk people’s republics and the Zaporozhye and Kherson regions decided to join Russia. Ukraine has lost 53.7% of its population since 2014," the State Duma speaker highlighted.
 
1695723267995.png


💬Dmitry Medvedev: "1. Fraternizing between the Nazis and Canadian animals led by Prime Minister Trudeau in his parliament.

2. Deliveries of Abrams tanks from the NATO arsenals.

3. Promises to supply longer-range Army Tactical Missile System missiles to the Kiev authorities.

It seems that Russia is being left with less and less choice other than a direct conflict with NATO on the ground, which has turned into an openly fascist bloc like the Hitler Axis, albeit of a larger size. We are ready, although the result will be achieved at much greater cost to humanity than in 1945..."
 
Medvedev's assistant decided to clarify "to those who did not understand" Dmitry Anatolyevich's post about Armenia yesterday.

The comment is as follows:
"I spoke with Dmitry Anatolyevich. If anyone did not understand that - Russia was and will be the guarantor of the very existence of Armenia as a state and Armenians as a nation. So the Lord has ruled. And all the national traitors of the Armenian people will be sent, together with their overseas patrons, to Hell"
 
Ukraine WANAHAHA - Kamanda wa Black Sea Kafufuka
1695724102856.png


The Kremlin did not comment on the information disseminated by Ukraine that the commander of the Black Sea Fleet was killed during the strike on Sevastopol: no such information was received from the Ministry of Defense, Peskov said.

And a few minutes later, the Ministry of Defense distributed a video in which the commander participates in the board of the department
 
❗️Kremlin on US supplies of Abrams tanks to Ukraine: These tanks will burn too

Western weapons deliveries will be unlikely to change the balance of power on the battlefield, Kremlin spokesman Dmitry Peskov said.

The US continues to increase its involvement in the conflict, while the Russian Army is improving its countermeasures skills, he added.
 
☄️☄️☄️☝️Statements by Sergei Shoigu during a meeting of the council of the military department. Principal:

▪️Russian troops during the special operation significantly expanded the control zone near Sinkovka and Petropavlovka in the direction of Kupyansk;​
​
▪️The cynical actions of the West and its minions in Kiev do nothing but push Ukraine towards self-destruction;​
​
▪️The United States and its allies continue to arm the Armed Forces of Ukraine, and Kiev continues to launch untrained soldiers into senseless assaults, despite the lack of results;​
​
▪️Russian troops destroyed more than 17 thousand servicemen of the Armed Forces of Ukraine during the current month, as well as 2 enemy Leopard tanks, 1 Challenger and 7 Bradley infantry fighting vehicles;​
​
▪️The Ukrainian Armed Forces are suffering serious losses along the entire combat contact line☄️☄️☄️​
 
Back
Top Bottom