Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia anapambana na wanazi
20230925_103735.jpg
 
Hii haiwezi kuaminika kwa sababu, Kuna tuhuma lukuki kuwa Kuna ufanyaji wa Biashara za viungo vya binadamu kwa askari wa Ukraine lengo ni kukwepa kulipa fidia familia za askari hao.

Kwa hiyo, Ukraine haishidwi kuweka "insignia " yaani nembo za wapinzani wake kuficha uovu inayofanya dhidi ya askari wake majeruhi na waliotangulia mbele ya haki.
 
Kuamini kwako sio issue, ila kimsingi mizoga ya Warusi imetapakaa na wanaendelea kusaidia kama mbolea kwenye nchi ya watu.
 
Mvamizi ndiye hufa sana, jifunze kufuatilia kinachoendelea acha kuskliza hao makobaz wenzio huko.
Siyo Mvamiz ndo hufa sana Mkuu. Hii kauli yako siyo Kweli, hapa tunangalia nani? Bora kwenye Vita Alie Bora ndo ataathiri upande wa Pili.
Na utambue kwamba vita inapotokea pande zote mbili lazma kuwepo na mauaji tu Alie Bora ndo ataua wengi,
Kwaiy ndo hivyo usiseme Russia na Huku Ukraine inateketea kwa mauaji pamoja na Miundombinu yake kuharibiwa vibaya Mno
 
Mvamizi Urusi kaja alitumia mbinu za kizamani sana, foleni la msafara wa vifaru liliwa na wanajeshi wake wameuawa tena wengi mno, unavamia nchi yenye teknolojia za kisasa ukitumia mbinu za kizamani, Mrusi hatokaa asahau huu ujinga alioufanya.
 
Commander of the Russian Black Sea Fleet was eliminated during the special operation in Crimea

On September 22, 34 officers were killed during the strike on the headquarters of the Russian Black Sea Fleet in temporarily occupied Sevastopol, including the commander of the Russian Black Sea Fleet, Vice Admiral Viktor Sokolov, the Ukrainian Special Operations Forces reported.

"After the Russian Black Sea Fleet headquarters was hit, 34 officers were killed, including the Black Sea Fleet Commander. Another 105 occupants were wounded. The headquarters building is beyond repair," the statement said.

In addition, the Ukrainian Armed Forces updated information on enemy losses as a result of a special operation to destroy the large landing ship Minsk.

Since Minsk was scheduled to go on combat duty the day after the attack, the personnel were present. Irreversible losses amounted to 62 occupiers.

Join our telegram channel for more videos - link in comments

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mvamizi Urusi kaja alitumia mbinu za kizamani sana, foleni la msafara wa vifaru liliwa na wanajeshi wake wameuawa tena wengi mno, unavamia nchi yenye teknolojia za kisasa ukitumia mbinu za kizamani, Mrusi hatokaa asahau huu ujinga alioufanya.
Point yangu inabaki pale pale hakuna vita ya silaha isiyo Kuwa na Umwagaji damu kwa pande zote mbili, upande wenye Nguvu ndo utaua wengi naomba unielewe hapa Mkuu kwaiyo Ukraine pamoja na hiyo technology yake lakin anapigwa vibaya mno

Lakin hata hivyo Russia ndo anaongoza kuteka sehemu kubwa na Kuwa himaya yake pamoja na huyo Ukraine mwenye Technology ya kisasa lakin amepigwa wanajeshi wake karibia wote wameangamizwa, Miundombinu yake imeharibiwa, wananchi wake wamekimbia Nchi yao, Sasa huyo Mchekeshaji wao (zelensky) amebaki kuzurura kwenye mataifa kuomba msaada kama Leo yupo Marekani akiomba msaada kwa sabab Nguvu kazi zake zote zimeisha.

Au ww unasemaje Mkuu maana hayo.maneno yako hayaringani kabisa na Kile Russia anachokifanya Kule Ukraine
 
US anaweza kuwa amehusika kumuharibia France kwenye makoloni yake( kumbuka safari ya Nulad Niger), kwa sababu, Ufaransa alikuwa anazishawishi nchi za Ulaya ziunde jeshi lake ziache kuitegemea NATO!

Hili lilikuwa chukizo kwa US. Sasa, nadhani, Niger na majirani zake wakajiongeza kuwa hawa (US) nao wanataka kututumia tu Bora tukodi Wagner(Russia)!!
Ni kweli kabisa,kwana USA ni taifa la kinafiki mno.

Hebu fikiria yeye anawaambia EU waiwekee vikwazo Urusi wakati yeye Kuna biashara anafanya na Urusi kwa Siri.
 
Point yangu inabaki pale pale hakuna vita ya silaha isiyo Kuwa na Umwagaji damu kwa pande zote mbili, upande wenye Nguvu ndo utaua wengi naomba unielewe hapa Mkuu kwaiyo Ukraine pamoja na hiyo technology yake lakin anapigwa vibaya mno

Lakin hata hivyo Russia ndo anaongoza kuteka sehemu kubwa na Kuwa himaya yake pamoja na huyo Ukraine mwenye Technology ya kisasa lakin amepigwa wanajeshi wake karibia wote wameangamizwa, Miundombinu yake imeharibiwa, wananchi wake wamekimbia Nchi yao, Sasa huyo Mchekeshaji wao (zelensky) amebaki kuzurura kwenye mataifa kuomba msaada kama Leo yupo Marekani akiomba msaada kwa sabab Nguvu kazi zake zote zimeisha.

Au ww unasemaje Mkuu maana hayo.maneno yako hayaringani kabisa na Kile Russia anachokifanya Kule Ukraine

Vita vyote watu humwaga damu pande zote, na hata kwenye hivi vita Ukraine pia wamekua wahanga ila sio kwa wingi kama ilivyo kwa Warusi, maana Warusi ndio walivamia watu kwenye nchi yao, tena wakitumia mbinu za kizamani sana za WWII, tumeshuhudia humu, nimekua nawaletea updates wala sio kitu cha mbali, nimejaza server za watu kwa updates za namna Warusi wanapokea kichapo, hivyo haya mengine ni hadithi tu.
 
Back
Top Bottom