Na bado kuna watu wanaona hawa ndio waungwana kuliko wote duniani.
Anajinadi wazi kabisa kua ndani ya Miezi 18 ati Ukraine imerejesha Nusu ya eneo lao, Na hakuna Raia wa Marekani aliyekufa. NATO imeweza kujitanua, Uchumi wa Russia umeporomoka na Jeshi lake pia limekua destroyed. So huo ni uwekezaji mzuri sana kufanywa na Marekani. Anaendelea kwa kusema kua ndani ya miaka 20 toka Sept 11 wamepigana vita ila this time around wanajivunia hawajapoteza mwanajeshi yoyote. Kisha anamalizia kwa kusema wanajivunia such a partner... "This is a partner I dreamed of".
Lakini bado kuna watu wanashindwa kuelewa,
1. This is not just Ukraine-Russia War, Hii ni vita ya US na NATO wenzao against Russia kupitia mgongo wa Ukraine kwasabab wanaamini kupigana direct na Russia ni Vita ya Nukes.
2. Hawajali chochote kuhusu Ukraine, fikiria anajivunia kua hakuna Soldier wa Marekani aliyekufa ilihali mamia elfu ya wanajeshi wa Ukraine wanakufa kwa ajili ya Interest zao. So kwao huo wanaita ni uwekezaji bora kabisa kufanywa na wao.
3. Anasema wazi kabisa kua wamekua Vitani for 20 yrs, lakini tukiuliza hapa nani mgonvi au mpenda vita tutakimbia kumnyooshea vidole Russia na nchi zinginezo upande wa East kama North K. Lakini huyu for 20 yrs na bado anaitwa mtunza amani.
4. Wanaji'proud kua Ukraine ni Partner they were dreamed of, na ni kweli kwasabab hakuna regime duniani ya kipumbavu kama iliopo kyiv ya kuteketeza Taifa na Raia wake for someone's else Interests.
5. So ni wazi kabisa, US pesa anayotoa ni ya kununua Roho za Ukrainians to die for their courses and Interests. So Ukrainians wanakufa ili US asipoteze raia wake kutimiza anayoyataka katika Agenda zake.
6. Kuuharibu Uchumi na Jeshi la nchi nyingine kwa US ni uwekezaji bora kufanywa... Really? Halafu anageuzwa Russia tena kuonekana kama Mgonvi.
Na hapo hatujazungumzia usahihi wa aliyoyaeleza. Kwasababu the "poor" old man can't explain the fact that billions of dollars have been spent, The Russian federation is not bankrupt, Oil price inakaribia 100$ per barrel huku nako BRICS ikizidi kujitanua kule waarab wakiwahama na kibaya zaidi China ikizidi kujiimarisha na hapo hapo West wakizidi kupoteza Ushawishi duniani kote especially katika bara la Africa.
Ila kwa kifupi tu inakupa picha lile ni taifa la aina gani yet bado wanajiziba macho na kutafuta point ya kutetea au kuhamisha shutuma kwingine.
In Lavrov Voice, Kwanini hatupendi kutaka kujua mzizi wa huu mgogoro bali tunapenda kutupa shutuma kwa Russia kisa USA na Collective west wanatuambia hivyo?