Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mungu hahusiki na unyama wa Putin huko Ukraine.
Vita wameanzisha Ukraine na Watu wao dhidi ya urusi yaani vita vimeanzishwa na Ukraine (khazarian mafia) urusi anawamaliza tu.Angalia hapa zelisky akiwa na mabosi wake.nyie Watu wachache mnatakiwa mjue ukweli kwamba urusi sio mbaya bali hawa Watu.
20230923_221146.jpg


Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Ukisikia Dharau ndio Hii
China Bwana Aliteka Ndege Vita Ya Marekani Ambayo Inasifiwa Yakisasa na Bora Sana F-35
Nadhani wapo sahihi. Na wanayo jeuri ya kusema hayo.
====
Yet, given that the semiconductor has now been elevated to the status of the ultimate asset of this geopolitical struggle, and a centrepiece of national security, it is naive to think that China in particular, with all its money, resources, and expertise, is going to fail. This is more ironic given that Beijing is routinely accused of stealing American technology anyway, which calls into question the efficacy of such bans in the first place. Rather than preserving its own monopoly, what the US has done has broken the global semiconductor supply chain by overtly weaponizing it. This has forced other states to pursue survival and self-reliance strategies, which will damage the aforementioned American technological monopoly in the long run. In other words, the US is trying to swim against a current, to hold back multipolarity, and turn back the clock to a world where things were more advantageous for it – and that’s impossible.
 
Hii tabia yako ya kuquote sehemu kidogo ya coment Huwa ni Kwa maksudi au bahati mbaya?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ha ha ha haaaa! Video ama coordinates mahali tukio limetokea utatupatia au unabaki Nazo mfukoni.?
===
Kunukuu sehemu ndogo huwa ninafanya kwa makusudi, na sababu zake ni hizi:

1. Ni kusaidia Mtandao wetu wa JF usijazwe taarifa za kujirudia. Hivyo, ninasaidia server inayohifadhi mtandao huu usielemewe na mzigo usiohitajika ( relieving the JF host server of storage burden). Hii nadhani IT wa JF wataniunga mkono.

2. Lengo huwa ni kukuita uje u some nilichoeleza juu ya bandiko lako. Sasa kama lengo ni kukuita, huwa sioni mantiki ya kunukuu bandiko lako Zima.

3. Nina epuka ukakasi wa kunukuu taarifa ambazo hazijadhibitishwa kuwa ni za kweli kutoka kwenye ma bandiko yako.

Hizi ndizo sababu kukuu(msisitizo kuu)tatu ya kwa nini huwa nanukuu vipande vichache vya mabandiko yako na mambandiko mengine.

Asante.
 
Mwanzoni kabisa kabla SMO haijaanza Putin aliwaambia waweke silaha chini, wakakaza shingo!! Haya ndiyo madhara ya ukaidi!
Shida wanapokea maelekezo kutoka pentagon.
Na Putin analijua hili toka walaipoanza kua wakaidi kwenye meza ya mazungumzo.
Kitakachotokea ni ku wataluja kwenye meza ya mazungumzo wakiwa na bandeji vichwani.
 
Ukisikia Dharau ndio Hii
China Bwana Aliteka Ndege Vita Ya Marekani Ambayo Inasifiwa Yakisasa na Bora Sana F-35
China wameamua Kuirudisha kwa Marekani Huku wakisema Haina Jipya
yaani walijua Inakitu cha Maana Kwao Walipo Ikagua wakakuta Ni Ndege yakawaida sana na Haina Lolote View attachment 2759441
Kitu Cha ajabu kabisa sijui waliiteka vipi ndege hiyo,walimtoa vipi rubani ikiwa angani au uwanjani,maana inasemekana rubani alikitwa hoi.
Sijui walitumia mbinu Gani tukio hilo lisionekane na ama rada ama CCTV camera.hii kitu nahitaji kuifatilia kwa undani.
Kwa kweli USA kafanyiwa dharau na uchokozi wa wazi kabisa.
 
Kitu Cha ajabu kabisa sijui waliiteka vipi ndege hiyo,walimtoa vipi rubani ikiwa angani au uwanjani,maana inasemekana rubani alikitwa hoi.
Sijui walitumia mbinu Gani tukio hilo lisionekane na ama rada ama CCTV camera.hii kitu nahitaji kuifatilia kwa undani.
Kwa kweli USA kafanyiwa dharau na uchokozi wa wazi kabisa.
Ukute nyuma yake kuna Urusi ikiwa ni mbinu ya kuizima hitaji la kupata F-35 kutumwa Ukraine

Message sent hiyo, kazi USA kujipima aendelee na uchokozi au la
 
Sijui walitumia mbinu gani tukio hilo lisionekane
Ndiyo maana yule self-styled World Prefect anatamani sana kwa udi na uvumba vita viendelee ili ajitathmini kiwango cha matobo aliyo nayo kiteknolojia na kimkakati.

Baada ya kugeuzwa machuma chuma, Ulaya wamekuja na mpya. Wanasema zile silaha nzito nzito kwenda Ukraine walizozisifia sana eti zilikuwa mbovu tu na za WW2 huko. Mzigo halisi wenyewe utafika soon.
 
Ndiyo maana World Prefect anatamani sana kwa udi na uvumba vita viendelee ili ajitathmini kiwango cha matobo aliyo nayo kiteknolojia na kimkakati.

Baada ya kugeuzwa machuma chuma, Ulaya wamekuja na mpya. Wanasema zile silaha nzito nzito kwenda Ukraine walizozisifia sana eti zilikuwa mbovu tu na za WW2 huko. Mzigo halisi wenyewe utafika soon.
Ah AA ha haa,
Yaani Wana maneno mengi utadhani wafanya mazingaombwe
 
US government stopped me from interviewing Putin – Tucker Carlson
The former Fox News host has questioned why ‘you’re not allowed to hear’ the Russian president’s voice
US government stopped me from interviewing Putin – Tucker Carlson
Former Fox News television personality Tucker Carlson speaks to guests at the Family Leadership Summit on July Tucker Carlson has alleged in a recent interview that unnamed figures in Washington obstructed his attempts to interview Russian president Vladimir Putin.

“I tried to interview Vladimir Putin, and the US government stopped me,” Carlson claimed in an interview with Swiss publication Die Weltwoche published on Thursday. He also explained that he felt let down by the lack of support for his situation that he says he received from US news media.

He said: “I don’t think there was anybody who said ‘wait a second. I may not like this guy but he has a right to interview anyone he wants, and we have a right to hear what Putin says’.” The 54-year-old added: “You’re not allowed to hear Putin’s voice. Because why? There was no vote on it. No one asked me.”

The often-controversial media personality didn’t elaborate on the circumstances under which he says there was government intrusion into his plans to interview Putin but it appeared to suggest that it was the current Biden administration which was behind the meddling. Carlson also didn’t mention when the interview with the Russian leader was supposed to take place.

Tucker Carlson blasts ‘creep’ US ambassadorREAD MORE Tucker Carlson blasts ‘creep’ US ambassador
“I’m an American citizen,” Carlson told Die Weltwoche. “I’m a much more loyal American than, say, Joe Biden or Kamala Harris, who didn’t even grow up in this country; she grew up in Canada. And they’re telling me what it is to be a loyal American?”

Carlson –previously Fox News’ biggest star– parted ways with the broadcaster in April shortly after the news network settled for $787.5 million a lawsuit with voting-machine company Dominion Voting Systems. Fox News had regularly discussed claims on some of its shows that Dominion’s machines were involved in ‘rigging’ the 2020 US presidential election.

Carlson’s show Tucker Carlson Tonight, during which he frequently discussed issues like gender, race, sexuality and ‘woke’ ideology, was specifically referenced in the Dominion lawsuit.

Since leaving Fox News, Carlson has broadcast abridged versions of his news show on X (formerly Twitter) which regularly draw tens of millions of views.

Meanwhile, Russia TV news channel Rossiya 24 has aired a teaser trailer for a weekend show it says is to be hosted by Carlson. The promo was first broadcast earlier this month and again on September 22 along with the words “at the weekend.” It adds that the “high-profile American presenter is moving to another level. Here.”
 
Back
Top Bottom